Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactKuna walakini mahali hapo...
Mwanaume uliyekamilika huwezi kusema maneno hayo...Eti unamwambia mkeo apige kazi usiku na mchana halafu unasingizia Mungu hajakujalia umekaa tu unapost insta!!
Mungu husaidia wale wanaosaka na kuonesha bidii...sio unakaa umtegemee mkeo tu kwa kila kitu
Pathetic!!!
Kwa mwanaume mkuu aisee ngumu uanaume ni zaidi ya kufanya mapenzi ndio maana akaitwa kichwa cha familiaMbona Kawaida tu