Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Duuh uchebe umetudhalilisha sna sisi wanaume wa kwel kisa tu unamuonekano kama wetu
So sad kwamba wazee wako walijua wamezaa kidume
 
Usimlau mtu ambae hujui katoka wapi na nini kilicho mfikisha hapo.

Pengine ungejua ungetoa pongezi na si kudeal na fikra za uchebe.

Kwanini mnakuwa Marofa ya kufikiri?
 
Hii account inamilikiwa na nuhu mziwanda maalum kumchafulia ustadh uchebe!
 
Mnalalamika watu wanawaonea oneni sasa nini hiki!? Kweli kidume anamwambia mkewe ahustle kwa bidii ili wasije kosa hela!? You hoes ain't loyal kabisa!

Oneni akili za wanaume wa Dar!




Hahaa mjini msingi kiuno akikizunguusha usiku ndio mtaji wenyewe anakula,kulala na kuoga bureeee sababu ya kiuno ndio vijana wengi wa sasa wanachopenda.
 
Huyu kula kulala. bado ana utoto wa kutegemea mwanamke? Duuu
 
Na mimi Mama Gaude wangu inabidi apige kazi ili mumewe nisikose hela za bia. Unajua Kombe la Dunia linachezwa mwaka huu? Bila kula bia Kombe la Dunia halinogi kabisa, linakuwa kama Kombe la Mbuzi tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] mkuuu umeuaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…