Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Aisee . . . . picha linaendeleaUchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
mmekubaliana na nani bana? Eti "as a society", wanawake weusi ni viburi na wajuaji, bila kipigo hamna ndoa. Mwanamke mweusi ndio mwanamke pekee duniani anaeweza kufanya shughuli zinazofanywa na mwanamme. Kwahiyo mkiwa ndani ya nyumba inakua ni kushindana tu nani ana uwezo mkubwa wa akili, kulea watoto n.k. Ndio maana wanamichezo maarufu wanaoa wanawake weupe, sasa mweusi bila kipigo hamuendi. Hamna alieoa atakae kubali upuuzi wa kutompiga mwanamke.Uchebe kazi anayo sababu as a society tulishakubaliana mwanamke ni kiumbe wa thamani na hapigwi haijalishi ni kiasi gani kakosea. Ajiandae kisaikolojia tu hana haki tena hata ajitetee vipi jamii ilishaamua kua huwa viumbe hawapigwi.
Hii ndio one disadvantage of being a man kwenye ndoa, ukieleza matatizo ya mkeo unamdhalilisha au unajidhalilisha, ukimpiga kesi, suluhisho ni kutoa talaka tu.
Kuna jamaa yangu mke wake alienda kusoma St. John degree in nursing science huko chuo akakutana na wadogo zake x wake ambaye walisoma wote Kazima sec Tabora. Kilichofata wadogo zake x wake wakamuunganisha na Kaka yao ambaye wakati huo alikuwa mlinzi wa pinda( waziri mkuu). Penzi likakolea mpaka mme kakamata msg. Mme alilia machozi Sana akamsamehe mkewe ambaye alieleza a to z ilivyokuwa, ikabidi mme awajulishe tunguze wanaofanya kazi(tiss) na huyo mpz wa mkewe kitu kilichopelekea mwenye mke kukutana ana kwa ana na mke wa jamaa anayetembea na mkewe. Mpaka naandika ujumbe huu wawili hawa ni wapenzi kwenye penzi zito kupita maelezoSemea kwamba ni wazi hakukua nandoa plus kulelewa .Nikuvalishe?? Nikulishe.??nikukaze??? Nikutunze nakukupa huduma kama mtoto??? Unafanya lolote kwa Pesa yangu, watoto wale kwa Jasho langu namengineyo mengi......
Alafu ulale nje ?? Unisaliti??? Hahahhaah Ukijua unalala, hamia hukohuko , Ukinisaliti hata km sijajua anza kua na mpango B , kwasababu hata kama ni baada ya mwaka ,miaka, Siku nikijua UTAONDOKA TU.. hamna namna.
Nilimuona akihojiwa kipindi cha shilawadu yule mtangazaji alimuuliza habari za Nuhu Mziwanda Shilole alimrushia kiti yule mtangazaji kilimkosa kingempata ilikuwa ni hatariNi kweli kabisa mwanamke hapaswi kupigwa ila wengi hamumjui Shilole!
Shilole mwenyewe ni ngumi mkononi, anapigana yule kama mwanaume! Nishashuhudia vurugu zake, msikie kwa mbali hivyo hivyo! Usije kulogwa kuingia kwenye 18 zake.
Alikuwa anamchapa kijana wa watu Nuhu Mziwanda kama mtoto tena club.
Siku aliyopigwa walipigana sana ndipo Shilole akazidiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia simtetei Uchebe, ila Shilole ni jeuri, mbabe na mtemi! Kosa dogo kukuchapa mangumi yeye hajali bila kuangalia mpo wapi! She deserves, wacha apate funzo!
CC Khantwe
Ndo hapo ssSasa mtu halali siku mbili why unaishi nae? Si Bora muachane bila ugomvi?
[emoji23][emoji23]napita tuAcha kushadadia ujinga wewe.
JANAMKE lenye domo domo lazima likung'utwe. Tena lidundwe kweli kweli!
Bila hivo wanawake wote tutakua na mamidomo kama Wangari Maathai au Khantwe.
UkiuaaMwanamke akileta dharau lazima umpe kipigo hiyo sheria ya kwamba mwanamke hapigwi ni ya kijinga sana, kuliko kumrudisha kwao bora umpe kipigo ili maisha yaendelee.
Na mwanamke ambae anajitambua hawezi kuweka mambo ya ndani hadharani, maswala ya ndani yanaishia ndani. Ndoa siku zote ni uvumilivu kwenye shida na raha.
Shilole ni mjinga sana na ipo siku atamuomba msamaha uchebe, hata kama mmeo akiwa hana kitu unatakiwa umuheshimu.
Uchebe najua wengi wamekuona mkosaji lakini ukweli wote unaujua, kubali adhabu itakayotolewa ila najua Mungu wako atakusimamia.
Ukiua jeumuache alafu watoto wateseke? dawa ya mwanamke mkorofi ni kumdunda tu
Umepiga umeua.... Utafanyajehuyu uchebe nae fala, mwanamke analala nje siku mbili unamuangalia tu, ilitakiwa amdunde kisawasawa sasa hivi awe yuko ICU katundikiwa drip za damu
Wanachukulia mambo rahisi rahisiIdadi ya watu wanao support domestic violence kwenye hii post is alarming and scary [emoji848][emoji848]
Fundi garage alimpata star [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa!!!sasa uchebe yeye ndo analishwa yeye anavalishwa na umaarufu kapewa bado anapiga pia.
Mtandike kisawasawa. Wewe ni mume halali.Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.
Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.
Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.
Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
AkapagawaFundi garage alimpata star [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Hahaaaaa! Akajisahau bwanaHapo sasa Kijana hakujua kanuni ya kula nakipofu
Sema nn, unakuta Anaenda sana chumvini kwa Shilole + kula na Tgo..
Vijana wengi wakifanya hivo vitu, wanakua wanajihakikishia KUTOKUACHWA ikiwa mtendewaji hawezi pata wakumfanya hayo.
Fundi garage alimpata star [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Tatizo huyu dem anajifanya kapindaNilimuona akihojiwa kipindi cha shilawadu yule mtangazaji alimuuliza habari za Nuhu Mziwanda Shilole alimrushia kiti yule mtangazaji kilimkosa kingempata ilikuwa ni hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akapagawa
Haina tatizo kama nae anataka hakiTuitishe jinai na yeye alivyokuwa anampiga nuh mziwanda?