Ni kweli kabisa mwanamke hapaswi kupigwa ila wengi hamumjui Shilole!
Shilole mwenyewe ni ngumi mkononi, anapigana yule kama mwanaume! Nishashuhudia vurugu zake, msikie kwa mbali hivyo hivyo! Usije kulogwa kuingia kwenye 18 zake.
Alikuwa anamchapa kijana wa watu Nuhu Mziwanda kama mtoto tena club.
Siku aliyopigwa walipigana sana ndipo Shilole akazidiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia simtetei Uchebe, ila Shilole ni jeuri, mbabe na mtemi! Kosa dogo kukuchapa mangumi yeye hajali bila kuangalia mpo wapi! She deserves, wacha apate funzo!
CC
Khantwe