Kee_tah
Senior Member
- Feb 26, 2019
- 136
- 243
Mapigano ndani ya ndoa yanaitwaje kwaniDomestic violence, are u sure?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapigano ndani ya ndoa yanaitwaje kwaniDomestic violence, are u sure?!
Kwani si tunakomenti kwa kilichosemwa? Unataka tuandike yaliyo nje ya mada? Kwani wewe una uhakika hakulala nje?Una hakika alikuwa analala nje?
Au umejisikia tu kuniropokea?
Uchebe Hapo Katutia WasiSasa mtu halali siku mbili why unaishi nae? Si Bora muachane bila ugomvi?
Kama unaweza chukua benki za ya 10M CASH (eg ESCROW) utashindwa PF3?Hivi unaweza tibiwa hospital ukiwa hivyo bila PF3?
Hovyo sana hiĺo jamaa.View attachment 1501624
Hili jamaa nalo sijui kama anatambua psychological torture anayompa mwanaume mwenzie hata kama Shishi ni rafiki yake ila usela unapitiliza na kutotambua behind huyo rafiki yako kuna mumewe na ana hisia, si siafiki alichofanya uchebe ila marafiki design ya huyu mwamba si wema kwa mkeo . Kujitia kiherehere kiasi hiki ni kukosa uelewa kama mwanaume.
Siku nyingine, kama kuna uliyemdhamilia kumfikishia ujumbe, mpelekee PMHahahaaaa. Lol.
We ndio wa kupunguza kimbelembele sababu sikuandika kwa ajili yako na usitake kile unachokitaka wewe basi ndo kila mmoja aandike.
Huna sababu ya kunichekea wewee. Hunijui sikujui.
Wanaume acha Tu yani km sio wale mnaovuana nguo mkala raha.Tunawapenda sana lakini shida ni ukatili tukishindwana tuachane kwa Amani.Vipigo jamani sio vzr mnafanya watoto waathirike kisaikikojia na sio vzrDuuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.
Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.
Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
HahaaaaaaaaHahahhhahhahha wakurya bhana
Hahaaaaa!!!sasa uchebe yeye ndo analishwa yeye anavalishwa na umaarufu kapewa bado anapiga pia.Semea kwamba ni wazi hakukua nandoa plus kulelewa .Nikuvalishe?? Nikulishe.??nikukaze??? Nikutunze nakukupa huduma kama mtoto??? Unafanya lolote kwa Pesa yangu, watoto wale kwa Jasho langu namengineyo mengi......
Alafu ulale nje ?? Unisaliti??? Hahahhaah Ukijua unalala, hamia hukohuko , Ukinisaliti hata km sijajua anza kua na mpango B , kwasababu hata kama ni baada ya mwaka ,miaka, Siku nikijua UTAONDOKA TU.. hamna namna.
Kipigo hakitibu[emoji854][emoji854]Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.
Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.
Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Mke wangu analala nje bila taarifa yoyote, halafu hataki aulizwe kwa nini imekuwa hivi kutomtandika na kumfukuza kabisa ni ujinga mkubwa sana. Uchebe mwanaume wa ajabu sana katika uvumilivu yaani mpaka amepitilizaaa. Hata katika vitabu vya imani kitendo anacho fanya shilole hukumu yake ni talaka tu.Shadeeya nakusalimu!
Pamoja na shida nyingi za wanawake lakini hatupaswi kuwapiga.
Tutaamini vipi? Mwenzie Shilole ana ushahidi na yeye mwenyewe Uchebe kakiri kumpiga. Bado niko palepale hakuna kosa linalohalalisha kipigo cha namna hiyo....kwanza mpaka mtu anafikia hatua ya kulala nje ni wazi hakuna ndoa hapo
Nuhu Mzuwonder alipokua anapewa kipigo kila siku watu walikua wanamponda! Dah Dunia hatari.Yani uchebe hapo ndo kaonekana kilaza...sasa kumpiga mtu mwaka jana ndio kunamsafisha?
Mwanaume akipigwa hatetewiNuhu Mzuwonder alipokua anapewa kipigo kila siku watu walikua wanamponda! Dah Dunia hatari.
Stop Violence in Relationship!
Eti mwaka huu sijampiga 🤣🤣🤣