Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

View attachment 1501624
Hili jamaa nalo sijui kama anatambua psychological torture anayompa mwanaume mwenzie hata kama Shishi ni rafiki yake ila usela unapitiliza na kutotambua behind huyo rafiki yako kuna mumewe na ana hisia, si siafiki alichofanya uchebe ila marafiki design ya huyu mwamba si wema kwa mkeo . Kujitia kiherehere kiasi hiki ni kukosa uelewa kama mwanaume.
Hovyo sana hiĺo jamaa.
 
Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.

Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.

Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Wanaume acha Tu yani km sio wale mnaovuana nguo mkala raha.Tunawapenda sana lakini shida ni ukatili tukishindwana tuachane kwa Amani.Vipigo jamani sio vzr mnafanya watoto waathirike kisaikikojia na sio vzr
 
Semea kwamba ni wazi hakukua nandoa plus kulelewa .Nikuvalishe?? Nikulishe.??nikukaze??? Nikutunze nakukupa huduma kama mtoto??? Unafanya lolote kwa Pesa yangu, watoto wale kwa Jasho langu namengineyo mengi......

Alafu ulale nje ?? Unisaliti??? Hahahhaah Ukijua unalala, hamia hukohuko , Ukinisaliti hata km sijajua anza kua na mpango B , kwasababu hata kama ni baada ya mwaka ,miaka, Siku nikijua UTAONDOKA TU.. hamna namna.
Hahaaaaa!!!sasa uchebe yeye ndo analishwa yeye anavalishwa na umaarufu kapewa bado anapiga pia.
 
Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.

Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.

Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Kipigo hakitibu[emoji854][emoji854]
 
Shadeeya nakusalimu!

Pamoja na shida nyingi za wanawake lakini hatupaswi kuwapiga.
Mke wangu analala nje bila taarifa yoyote, halafu hataki aulizwe kwa nini imekuwa hivi kutomtandika na kumfukuza kabisa ni ujinga mkubwa sana. Uchebe mwanaume wa ajabu sana katika uvumilivu yaani mpaka amepitilizaaa. Hata katika vitabu vya imani kitendo anacho fanya shilole hukumu yake ni talaka tu.
 
Tutaamini vipi? Mwenzie Shilole ana ushahidi na yeye mwenyewe Uchebe kakiri kumpiga. Bado niko palepale hakuna kosa linalohalalisha kipigo cha namna hiyo....kwanza mpaka mtu anafikia hatua ya kulala nje ni wazi hakuna ndoa hapo


Kupigwa kupo pale pale sasa halali kwake siku 2 unategemea nini??

Tena kama ningekuwa me uchebe akirudi tu tena nyumbani namtandika ili apige picha za ukweli ukweli sasa
 
Kwa hiyo we uchebe mwaka jana ulikuwa unaruhusiwa kumpiga dada wa watu? Ila nawe dada acha kulala nje huo ni upuuzi utaoeta Magonjwa bure
 
Utetezi hafufu kabisa,,,,nilidhani angesema hakuwahi kumpiga shilole,,,mwaka huu sijampiga,,nilimpiga mwaka Jana...duu
 
Ila jamaa hajui kupiga mtu asilale nyumbani siku mbili halafu ndo kampapasa hivyo kwa mahaba tena loooh ...aje huku kanda maalumu tumuelekeze jinsi ya kupiga
 
Yani uchebe hapo ndo kaonekana kilaza...sasa kumpiga mtu mwaka jana ndio kunamsafisha?
Nuhu Mzuwonder alipokua anapewa kipigo kila siku watu walikua wanamponda! Dah Dunia hatari.

Stop Violence in Relationship!
 
Back
Top Bottom