Usilale nyumbani siku 2 uchekewe tu? Si bora ubebe virago vyako usirudi kabisa?Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.
Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.
Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Ndio maana hatuko ulaya wee vp.Uchebe angekua Ulaya au Marekani angekua na wakati mgumu sana
Waweza kukuta kaongeza chumvi tuMy hili la kuamshwa kitandani nae migumi nalo ni Jambo.
Uchebe ana shabaha za uso tu, au ndiyo kuharibu reception wengine wasimpende!Waweza kukuta kaongeza chumvi tu
Wote tu.Uchebe angekua Ulaya au Marekani angekua na wakati mgumu sana
Ushasema ulaya mkuu huko kwenye vichaa wanaoruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane๐๐ Hapa tupo Tanzania sehemu yenye maadili sio kwa vichaa haoUchebe angekua Ulaya au Marekani angekua na wakati mgumu sana
Kama unajua mwanamke akikuzid kipato sijui na umaarufu atakuwa ni changamoto kwako, kwanini usioe unaefanana nae yani wa level yako, uchebe alikuwa na mama watoto wake ambaye ni level yake akamwacha akakimbilia kwa shilole kafata mseleleko (kitonga) . Na hata kama aliona kamshindwa si angempa talaka tu aendelee na maisha yake lakini sio kumpiga hadi amjeruhi vile mwenzie.Mabaharia wengi sana wanampongeza Uchebe kwa alichokifanya ingawa wanampongeza kimoyomoyo ingawa ukimuuliza anaonyesha kumsikitia Shilole kinafiki
Mademu hawa wanaodanga ni kichefu chefu sana kwenye ndoa na unakuta mwanaume anaumizwa sana kisaikolojia na kulipiza hawezi kutokana na maadili na tabia alizolelewa na kutoa hasira anaamua kutoa kichapo kupunguza uchungu.
Wanawake wana maudhi sana haswa wakimzidi mwanaume umaarufu na kipato.
Ndio maana mpaka leo hakuna Jamhuri, Wanaharakati au Polisi aliyejitokeza kufungua mashitaka dhidi ya Uchebe. Wote wanaona sawa tu alichotendewa kutokana na tabia zake.
Na nina uhakika walipigana wala sio kuwa alipigwa ila kutokana na Shishi kupiga picha tena kimkakati ili aje ku-create attention kipindi hiki cha kura za maoni ndio anaonekana kaonewa.
Kwanini ung'ang'anie kuwa na star wakati unajua you can't handle the pressure ๐๐๐Wanawake wana maudhi.Hasa hawa mastaa.Huyu Shishi mi siwezi mtetea,ni kibano tu!