Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Usilale nyumbani siku 2 uchekewe tu? Si bora ubebe virago vyako usirudi kabisa?Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.
Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.
Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Ukirudi lazima upokee kichapo.