Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Duh! Ila kwa hiyo Shilole alienda kufungua kesi kwenye dawati la Jinsia- Polisi? Au ni kiki alikuwa anatafuta. Hizi drama za wasanii bana.🙂
 
Huyu anatafuta kiki na anataka kurudi kwenye biashara yake kuu ya kudanga na kutifuliwa mtaro.

Uchebe alikosea sana kulioa lidangaji.

Punguzeni kuamini maneno ya mtandaoni.
 
Hivyo kwa upande wako kipigo ndo suluhisho cha matatizo? lol

Wacheni kunyanyasa wanawake nyiee.

Akikukosea kama huna njia nyingine ya kupata suluhu ni bora umuache aende na si kipigo.

Ni kweli kabisa mwanamke hapaswi kupigwa ila wengi hamumjui Shilole!

Shilole mwenyewe ni ngumi mkononi, anapigana yule kama mwanaume! Nishashuhudia vurugu zake, msikie kwa mbali hivyo hivyo! Usije kulogwa kuingia kwenye 18 zake.

Alikuwa anamchapa kijana wa watu Nuhu Mziwanda kama mtoto tena club.

Siku aliyopigwa walipigana sana ndipo Shilole akazidiwa 😂😂😂

Narudia simtetei Uchebe, ila Shilole ni jeuri, mbabe na mtemi! Kosa dogo kukuchapa mangumi yeye hajali bila kuangalia mpo wapi! She deserves, wacha apate funzo!

CC Khantwe
 
Ni wenye akili kama zake tu ndio walimuamini Shilole na hizo sanaa zake.
 
Mwanamke akileta dharau lazima umpe kipigo hiyo sheria ya kwamba mwanamke hapigwi ni ya kijinga sana, kuliko kumrudisha kwao bora umpe kipigo ili maisha yaendelee.
Na mwanamke ambae anajitambua hawezi kuweka mambo ya ndani hadharani, maswala ya ndani yanaishia ndani. Ndoa siku zote ni uvumilivu kwenye shida na raha.
Shilole ni mjinga sana na ipo siku atamuomba msamaha uchebe, hata kama mmeo akiwa hana kitu unatakiwa umuheshimu.
Uchebe najua wengi wamekuona mkosaji lakini ukweli wote unaujua, kubali adhabu itakayotolewa ila najua Mungu wako atakusimamia.
 
Hivyo kwa upande wako kipigo ndo suluhisho cha matatizo? lol

Wacheni kunyanyasa wanawake nyiee.

Akikukosea kama huna njia nyingine ya kupata suluhu ni bora umuache aende na si kipigo.
Kwenda ataenda na kipigo kiko pale pale
 
Tatizo Uchebe hana sifa ya kuitwa mwanaume sababu alikuwa analelewa....
 
Wanawake wa siku hizi mimi huwa si sympathize nao hata kidogo sababu najua the way wanapenda kumanipulate situation kupata public attention na sympathy.

Before sijaenda kwenye kesi yake na uchebe, nigusie swala na tabia za wanawake kujustfy makosa yao na vitu wanafanya halafu wanapobambwa huwa ni wepesi kutaka waonekane walisababishiwa kufanya hayo makosa.

Kwa mfano, mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa na mume wake anampatia kila anachoweza mudu kumpatia...... Hii ni psychological abuse and extortion kwa mwanaume na jamii inachukulia poa na kusema ndio wanawake au watatafuta gear ya kutetea kuwa mwanamke sijui anatulizwa na maneno matamu, mara sijui nini but no body pays attention kuhusu maumivu anayopokea mwanaume.

Its alike automatically wanawake wanakuwa branded innocent at any scenario.
 
You said it all chief!
 
Aisee umeongea ukweli tu. Tukiweks sheria kama za uarabuni kuwa mwanamke akibainika anatoka nje ya ndoa akachapwa mawe hadi kufa hautaona hizi kelele sijui za mwanamke hapigwi zinaletwa tena hapa.

Wanawake wanawasababishia wanaume maumivu ya kisaikolojia more than wanaume wanaowapiga wanawake. Imagine mtu unakwenda kutafuta chakula kwaajiri yake na kumhudumia kwa mahitaji ya msingi, halafu huyu mtu anataka akupande kichwani kwa dharau..... Wakati alitakiwa kukuonyesha heshima na upendo.....

Hapo hasira zake lazima umpatie kichapo heavy.......
 
Wanaume kwenye ndoa wanapitia mengi sana na hawana pa kuongezea mwisho wa siku huishia kupiga, kuua na kujiua.
Hakuna kilichobora kwa mwanaume zaidi ya kumrudisha ingawa pia ukifikiria watoto kulelewa na another man inauma but ni bora hilo sababu katika kupiga always jamii itakuhukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…