Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Umeongea ukweli kabisa na nakuunga mkono. Kimsingi shilole ana Ego inampelekesha na kumcrowd judgements zake.

Niliitazama ile interview na nilitazama namna anajibu maswali sensitive kama yale ya kimahusiano. Kwa mwanamke mwenye heshima angesema tu kuwa yeye na mume wake wanapendana na wanashirikiana kufanya maisha pamoja, mwanaume wake ni mpambanaji sana na anajituma sana kuhudumia familia yao. Na anashuruku sababu mbali na yeye kuwa maarufu ila huyu mwanaume amemsaidia kukaa sawa kimaisha na kutulia kufanya maisha.

Ila sasa sio mtu anaanza jitapa, sijui nimemtengeneza, hizi simu zake nimemnunulia mimi, me niliposikia yale maneno automatically nikamuonea huruma sana uchebe... Mwanamke wake anamdhalilisha kwa dharau sana.

So kama uchebe anampaga kichapo ni katika ile hali ya kupambana na tabia na mwenendo wa huyu mwanamke.
 

Hili jamaa nalo sijui kama anatambua psychological torture anayompa mwanaume mwenzie hata kama Shishi ni rafiki yake ila usela unapitiliza na kutotambua behind huyo rafiki yako kuna mumewe na ana hisia, si siafiki alichofanya uchebe ila marafiki design ya huyu mwamba si wema kwa mkeo . Kujitia kiherehere kiasi hiki ni kukosa uelewa kama mwanaume.
 
Kumbe hujasoma hata mada?
Punguza ukimbelembele,kama hujui kitu piga kimya,acha kujishaua ili uchekewe au na wewe uonekane eti umecomment.
Hahahaaaa. Lol.

We ndio wa kupunguza kimbelembele sababu sikuandika kwa ajili yako na usitake kile unachokitaka wewe basi ndo kila mmoja aandike.

Huna sababu ya kunichekea wewee. Hunijui sikujui.
 
Pole sana ndugu Uchebe, umelikoroga mwenyewe usitafute wa kumtwisha zigo
 
Tuambie wewe unayejua, maana nimesoma kwa Msando pia kuwa hata ingekuwa imepita miaka 20, jinai hainaga muda
Ukileta ujinga na madharau lazima uonywe
Ukileta kidomodomo lazima unyamazishwe
 
Mjinga sana huyo, anamtetea MTU asiyejua tabia zake. Hata hajui zamani hizo aliwahi kusema nini.

Your browser is not able to display this video.
 
Tatizo wengi wanarukia rukia tu. Shilole kafanya vile kutaka huruma za watu.
Kama kafanyiwa hivyo alitibiwaje hospital bila PF3?
Mkuu humu JF kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu aisee! unaweza kukuta mtu anacomment maisha ya ndoa ya watu huku yeye wala hajawahi kuoa au kuolewa,

Ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia uicheze.
 
Hilo janaa linatakiwa Uchebe atafune mkongoraa wa kutosha likija lipigwe viks kingo za kutosha then imeisha hio.

Linakuaga lofa sana na nyimbo zake za watoto.
 
Hahahaaaa. Lol.

We ndio wa kupunguza kimbelembele sababu sikuandika kwa ajili yako na usitake kile unachokitaka wewe basi ndo kila mmoja aandike.

Huna sababu ya kunichekea wewee. Hunijui sikujui.
Atakupiga sasa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…