Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Nadhani hiyo ilikuwa piga nikupige bahati mbaya shishi akazidiwa 🤣
 
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.

Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.

Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.

Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
Halali nyumbani siku 2? Aisee huyo ni mwanamke au ni shetani wa kike?
 
Hapo sasa Kijana hakujua kanuni ya kula nakipofu

Sema nn, unakuta Anaenda sana chumvini kwa Shilole + kula na Tgo..

Vijana wengi wakifanya hivo vitu, wanakua wanajihakikishia KUTOKUACHWA ikiwa mtendewaji hawezi pata wakumfanya hayo.
Hahaaaaa!!!sasa uchebe yeye ndo analishwa yeye anavalishwa na umaarufu kapewa bado anapiga pia.
 
Tatizo kubwa sana Mwanaume ukizidiwa kipato
Hawakuumbwa kuwa juu,uchebe utaua hata kama mwaka jana,mwamamke akichelewa tu kurudi ujue ni tatizo,wa kwako analala nje siku mbili bado upo nae!
Kwhy ukilala nje ndo asitafute source ila amuache tuu..ila na hapo pia ana makosa?Na kaongeza akimuuliza anakuja juu yeye atulie tuu amuache si ndio?
 
Uchebe kazi anayo sababu as a society tulishakubaliana mwanamke ni kiumbe wa thamani na hapigwi haijalishi ni kiasi gani kakosea. Ajiandae kisaikolojia tu hana haki tena hata ajitetee vipi jamii ilishaamua kua huwa viumbe hawapigwi.

Hii ndio one disadvantage of being a man kwenye ndoa, ukieleza matatizo ya mkeo unamdhalilisha au unajidhalilisha, ukimpiga kesi, suluhisho ni kutoa talaka tu.
jamii gani imeamua kuwa wanawake hapigwi??mbona kesi za wanawake kupigwa zipo nyingi sana mitaani
 
Uchebe kamtoa mbali hawezi kumuacha!
1397208023969.jpg
 
Huyo Uchebe alikuwa hajui Shilole machepele alivyokubali kuwa naye?
 
 
Ni kweli kabisa mwanamke hapaswi kupigwa ila wengi hamumjui Shilole!

Shilole mwenyewe ni ngumi mkononi, anapigana yule kama mwanaume! Nishashuhudia vurugu zake, msikie kwa mbali hivyo hivyo! Usije kulogwa kuingia kwenye 18 zake.

Alikuwa anamchapa kijana wa watu Nuhu Mziwanda kama mtoto tena club.

Siku aliyopigwa walipigana sana ndipo Shilole akazidiwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Narudia simtetei Uchebe, ila Shilole ni jeuri, mbabe na mtemi! Kosa dogo kukuchapa mangumi yeye hajali bila kuangalia mpo wapi! She deserves, wacha apate funzo!

CC Khantwe
Aaah, wanasema shilole anamlea jamaa, ana hela gani ya kumuhonga mwanaume?ye mwenyewe anadanga
 
Mwanamke malaya anapigwa tu kwa nini alitaka kuolewa ....iwe fundisho kwa malaya wengine wanaumeeeee
 
Back
Top Bottom