Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) 2019/20 imeonesha changamoto zinaweka ugumu kwenye mazingira ya uwekezaji Tanzania. Changamoto hizo ni pamoja na Maafisa wa Kituo cha Uwekezaji kukosa mamlaka ya kutoa baadhi ya huduma.
Pia ucheleweshaji wa majibu ya maombi ya uwekezaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilichelewesha kujibu maombi 37 ya vivutio vya kodi kutoka kwa wawekezaji kwa kipindi cha miezi sita hadi miaka miwili.
Tanzania imeshuka nafasi 8 kwa mazingira ya uwekezaji ambao mwaka 2015 ilikuwa ya 131 duniani, mwaka 2020 imekuwa ya 141 kati ya nchi 190.