I Iyoma New Member Joined Mar 8, 2019 Posts 1 Reaction score 0 Jul 2, 2026 #1 Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma. Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari
Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma. Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,351 Reaction score 5,556 Jul 2, 2026 #2 CCM hao,mpaka uwahonge..
TANESCO Official Account Joined Jul 12, 2014 Posts 5,210 Reaction score 2,779 Jul 6, 2026 #3 Iyoma said: Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma. Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari Click to expand... Habari Iyoma, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe namba ya ombi kwa msaada zaidi. ^GK
Iyoma said: Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma. Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko tayari Click to expand... Habari Iyoma, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe namba ya ombi kwa msaada zaidi. ^GK