Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

Pia usijindanganye bro eti kuchepuka kwa mwanaume ataendelea kumpenda mke wake kwa dhati. Wewe hujui tu. Ni kweli kuchepuka kwa mwanamke ndio kuna madhara zaidi ila pia kuchepuka kwa mwanaume pia kuna madhara.
Mwanaume anapochepuka na ana familia hapo hujitwika mzigo mwingine. Na wanawake wengi siku hizi hususani michepuko hutumia uchawi(limbwata) kumpumbaza mwanaume ili ampe anachotaka(pesa na mali), tena michepuko hutumia mbinu zote ili kumpumbaza mwanaume. Sasa hapo polepole jamaa ataanza kumchukia na kumtesa mkewe na hata nyumbani kwake maendeleo yatapungua na hata kustop kabisa, wengine hutelekeza hata familia kisa michepuko. Pia mchepuko hawezi kuwa na wewe peke yako, so unaweza ukamletea mkeo nyumbani UKIMWI au magonjwa ya Zinaa mkaharibu kizazi chenu.
Mwanaume hawezi kuwapenda wanawake wawili au zaidi kwa kiwango sawa, lazima mmoja atateseka na mwingine atafurahi.
Michepukp ndio chanzo cha mwanaume kumkinai mkewe, kumchukia, kukimbia familia, kutofanya maendeleo nyumbani, kumpiga mkewe n.k.
Tunachepuka kwa matamanio sio mapenzi,hiyo ni ligi mwenye ulimbukeni ndio atasahau wajibu wake kwa familia yake
 
Mapenzi au ndoa yana uwanda mpana saana mama Jeanette kagame wa rwanda alizaa na mchepuko ( Egeuni Gasana) akiwa tayari kwenye ndoa lakini kagame bado yupo na mwamke huyo na wapo wengi ktk jamii , hivyo wanaume wanaosamehe uchepukaji wa wake zao wapo sema inategemeana na vitu vingi
Utani jmn ni kweli imemkuta PK hii?.na umafia wake wote ule!.kweli wahuni sio watu wazuri
 
Kifo gani unachosema wakati watu wazaa kabisa watoto na unaweza usijue mpaka unakufa, mwanaume chepuka tu mke naye akichoka ni kimya kimya kama kumkimbiza mwizi uchochoroni

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Pia usijindanganye bro eti kuchepuka kwa mwanaume ataendelea kumpenda mke wake kwa dhati. Wewe hujui tu. Ni kweli kuchepuka kwa mwanamke ndio kuna madhara zaidi ila pia kuchepuka kwa mwanaume pia kuna madhara.
Mwanaume anapochepuka na ana familia hapo hujitwika mzigo mwingine. Na wanawake wengi siku hizi hususani michepuko hutumia uchawi(limbwata) kumpumbaza mwanaume ili ampe anachotaka(pesa na mali), tena michepuko hutumia mbinu zote ili kumpumbaza mwanaume. Sasa hapo polepole jamaa ataanza kumchukia na kumtesa mkewe na hata nyumbani kwake maendeleo yatapungua na hata kustop kabisa, wengine hutelekeza hata familia kisa michepuko. Pia mchepuko hawezi kuwa na wewe peke yako, so unaweza ukamletea mkeo nyumbani UKIMWI au magonjwa ya Zinaa mkaharibu kizazi chenu.
Mwanaume hawezi kuwapenda wanawake wawili au zaidi kwa kiwango sawa, lazima mmoja atateseka na mwingine atafurahi.
Michepukp ndio chanzo cha mwanaume kumkinai mkewe, kumchukia, kukimbia familia, kutofanya maendeleo nyumbani, kumpiga mkewe n.k.
Yaani umeongea jambo la msingi sana, yaani ukifuatilia wazazi wakiume wanao lalamikia watoto wao kuwatenga, ukifuatilia nyuma yamaisha yao waliterekeza familia wakichoka ndiyo wanaanza kusumbua watoto, wanasahau kama waliwatesa wakiwa wadogo, mchepuko hupata matumizi makubwa kuliko mke wa nyumbani.
 
Hata kama hatotumia uchawi.. Kuchepuka ni Kuchepuka tu. Kuimba na kucheka yote ni makelele tusitake kuhalalisha upuuuzi. Mwenza yoyote akishachepuka kuna athari kubwa sana anaileta kwenye moyo wa mwanamke,kubwa sana.
Na ikifika hatua akasema basi, inakuwa basi kweli.
Usemalo ni kweli kabisa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
kweli kabisa mkuu wanaume wachache Sana wenye uwezo huo aisee, Mimi binafsi siwezi sijawahi kuwaza kusamehe kwa kweli
Nenda kusini mwa Tanzania ndiyo utajua wana ndoa wanaishi vipi.[emoji44], wanaume uchepuke mke akusikilizie wapi haya yaongelee hapa hapa, ,tena akijua ndiyo imekula kwako na hauwezi kumwacha.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Chonde chonde msitupe sababu za kuchepuka,, nadhani mnazijua adhabu zetu zinavyouma eh
 
Back
Top Bottom