Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

Tunachepuka kwa matamanio sio mapenzi,hiyo ni ligi mwenye ulimbukeni ndio atasahau wajibu wake kwa familia yake
 
Utani jmn ni kweli imemkuta PK hii?.na umafia wake wote ule!.kweli wahuni sio watu wazuri
 
Kifo gani unachosema wakati watu wazaa kabisa watoto na unaweza usijue mpaka unakufa, mwanaume chepuka tu mke naye akichoka ni kimya kimya kama kumkimbiza mwizi uchochoroni

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Yaani umeongea jambo la msingi sana, yaani ukifuatilia wazazi wakiume wanao lalamikia watoto wao kuwatenga, ukifuatilia nyuma yamaisha yao waliterekeza familia wakichoka ndiyo wanaanza kusumbua watoto, wanasahau kama waliwatesa wakiwa wadogo, mchepuko hupata matumizi makubwa kuliko mke wa nyumbani.
 
Usemalo ni kweli kabisa

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
kweli kabisa mkuu wanaume wachache Sana wenye uwezo huo aisee, Mimi binafsi siwezi sijawahi kuwaza kusamehe kwa kweli
Nenda kusini mwa Tanzania ndiyo utajua wana ndoa wanaishi vipi.[emoji44], wanaume uchepuke mke akusikilizie wapi haya yaongelee hapa hapa, ,tena akijua ndiyo imekula kwako na hauwezi kumwacha.

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Chonde chonde msitupe sababu za kuchepuka,, nadhani mnazijua adhabu zetu zinavyouma eh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…