Utani jmn ni kweli imemkuta PK hii?.na umafia wake wote ule!.kweli wahuni sio watu wazuri
Gasana alikua ni barozi wa Rwanda UN jamaa alishamuwinda amle nyama ameshindwa na mpaka hivi Yuko mafichoni nchini Marekani
Gasana alikua ni barozi wa Rwanda UN jamaa alishamuwinda amle nyama ameshindwa na mpaka hivi Yuko mafichoni nchini Marekani
Waache tu wakigeuziwaga kibao hawachelewi kununua mkaaChonde chonde msitupe sababu za kuchepuka,, nadhani mnazijua adhabu zetu zinavyouma eh
hili kosa tamadun zote zimeshindwa kulihimili. ikiwemo tamadun za kiyahudi kwenye kitab chao cha biblia. kwakweli siku dawa ya wivu na hofu ya mke w kutoingiliwa na mwanamme mwingine ikipatikana , naoa. mengine yote yanarekebishika na kuvumilika.Ni kweli kabisa, hata kiafya sio salama kabisa.
Yaani hivi kweli ufanye mapenzi na mtu ambae ametoka kukojolewa huko ndani na mwanaume mwingine kweli, eti na wewe unaingiza hapohapo duuuuhhhh.
Mimi hili kosa huwa halina msamaha milele daima.
Wanawake wabaya Sana.Tutazamie mfano wa Samson na Deliha.Ni watu hatari Sana ndio maana haki zao sawa zimekuwa zikikandamizwa Karne na Karne zilizopita.lakini Sasa Mambo yamebadilika mjiandae kupandwa vichwani.kuna sababu wahenga walikuwa hawawapi say wanawake katika jamii.
Sema Neno Mkuu..mmmh aisee
unaweza jifunza kwa maarifa ya baadaye mkuuKwetu sisi tusio oa hsituhusu