BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.
Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.
Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.
Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.
Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.
Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.
Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.