ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rushwa za nini ikiwa Serikali itajenga hoja Kwa nini wanataka Madini? Kwani sheria ni maneno ya msaafu au biblia?Ili uchimbe madini kwenye hifadhi ya taifa ni lazima ubadili sheria inayolinda hifadhi za taifa..ukishaanza kuonja kubadili hizi sheria ndipo tunaanza kwa mbaali kuona rushwa kwa wabunge ili wajitoe ufahamu..kifuatacho ni kumkumbuka baba wa taifa la Tanganyika!!
Kama Madini yanahitajika kusaidia uchumi Kwa nini yasichimbwe?