Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

Wapi Tanapa wamelalamika?
Mkuu sina haja ya kuzusha jambo. Msimamo wangu hapa JF huwa ni kusema ukweli, na kupata Elimu.

Jisomee hapa chini.
===
Amefafanua kuwa, maeneo yaliyopo chini ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) bado hayaruhisiwi kufanya shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo mpaka sasa. Aidha, kwenye hifadhi za misitu amefafanuwa kuwa, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) haijazuia shughuli za uchimbaji madini.

"Maeneo ya hifadhi ya wanyamapori hakuruhusiwi shughuli za kibinadamu, za uchimbaji madini zinazoruhusiwa ni za aina mbili tu, kutafiti mafuta na gesi na kuchimba madini ya nishati," amesisitiza Dkt.Biteko.

Chanzo>>>>https://www.madini.go.tz/page/827f77fa-6c61-4703-8d6b-25373906a5cd/
====
Chanzo kingine cha habari>>>>KWELI - Watetezi TV imewahi kuchapisha taarifa ya Rais Samia akisisitiza kuanza uchimbaji wa Madini kwenye hifadhi za taifa
 
Mimi ni mtanzania mzalendo, akija mwekezajin mzungu akatupiga nikijua naumia na Huwa nakasirika na kuandika sana kupinga uwekezaji

Nimejijengea utamaduni huo kwa miaka mingi Toka enzi za stan katabaro

Niliandika na nilipinga sana uwekezaji wa bulyankhuli na geita kwa kuwa ulikuwa wa kifisadi

Sina na ushirika na uwekezaji wa kiufisadi unaofanywa na wazungu

Nimekuwa nilipinga uwekezaji wa kifisadi unaofanywa na wachina

Sasa nimejitokeza kupinga uwekezaji wa kifisadi unaofanywa na waarabu kushirikiana na wanasiasa Wetu

Siwapingi kwa sababu ya dini zao au rangi zao napinga mikataba ya kifisadi na uharibifu wa mazingira

Kawa kuwa bado hatujaandika katiba mpya, tusubiri kuuza,kukodisha hizi rasilimali mpaka tutakapokubaliana

Hapo baadaye Tutawauzia awe mzungu, mchina au mwarabu. Bila kujali dini

Sasa Tunashangaa tunapokaribia uchaguzi serikali imeanza mchakato wa kuuza Kila kilicho mbele yake

Ndo maana tunahoji baada ya uchaguzi Kuna rasilimali itabaki bila kuuzwa kifisadi??
Swali kwani uwekezaji unatakiwa kufanywa huko kwenye uhifadhi umeona frameworks zake kwamba hautakuwa na faida?

Au ishu ni Kwa vile ni hifadhini?
 
Tanganyika imepata hasara kubwa sana kutawaliwa na mtu mkimbizi kutoka Nchi ya nje ya zanzibar.kilakitu anauza Kwa manufaa ya taifa lake la kigeni Zanzibar a.k.a kizimkazi
 
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.

Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.

Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.

Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.

Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.

Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.

Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.

Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.

Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.
 
Back
Top Bottom