Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

Ndiyo...
Tanzania imemuuzia mwarabu eneo la ardhi Loliondo... Pale Serikali imemegea mwekezaji OBC kiasi cha 1,500sq km ili waunde Paloleti Game Reserve.
Huu ndio ujinga nasema na shida hapa ni chuki Kwa Waarabu na sio race zingine,Sasa Mimi siwezi shabikia mambo ya kijinga Kwa sababu uwekezaji wa uwindaji wa kitalii haijawahi kuwa uuzaji na Wala haijaanza Sasa hivi.

In fact Wazungu wako huko kabla hata ya Waarabu but non of you walikuwa wanaoiga kelele ila Sasa walivyoanza Waarabu chuki zimekuja,kwani shida ni ipi Waarabu Wakiwa wawekezaji?
 
Wakichimba madini Serengeti Tanzania itasusiwa na watalii wengi sana.
 
Ishu siyo chuki...
Wewe tukana uwezavyo...
Lakini almost kila hifadhi nyeti (yenye madini na wanyama adimu) inaelekea kuchukuliwa na wenye fedha! Waarabu! Wazungu! Wachina!
Kama unaona watu kuhoji hizo hifadhi kumegwa na kupewa hao wageni basi wewe ni zaidi ya mwerevu!
 
Nani anatukana? Naelezea ujinga mlioanzisha.

Nimekwambia Wazungu wako kwenye hizo Hifadhi siku nyingi kabla ya Waarabu na hao hao Wazungu ndio wawekezaji kwenye migodi.

Sasa inakuaje Waarabu kuingia kwenye biashara ya Utalii inakuwa nongwa? Why not Wazungu?
 
Unapoteza mantiki ya hoja Kwa kuandika vitu vya kijinga.

Kuna Nchi yeyote imewahi uza Hifadhi au kipande Cha Ardhi miaka ya Karibuni?
Wewe ni mkazi wa hii Dunia kweli au ndio umefika kutoka mars? Mbona unauliza swali la kitoto ambalo hata mtoto wa chekechea hawezi kuuliza
 
Kwani hao waTanganyika wanaofukuzwa huko makwao kuhamishiwa Handeni si ndio movie hiyo hiyo au unatuona wajinga kama Chura Kiziwi wako anavyotuona. Huyo secretari hawezi kutuzidi akili
Na mkumbuke watu wa bara wananyanyaswa huko Zanzibar,hii msiisahau kabisa,unafungua mlango kwa jirani kwako unaweka kufuri la dhahabu
 
= kali

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
= kali

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Watu wamevurugwa wanaangalia maokoto, sababu mwenye elimu anaweza geuka ombaomba at any time tea.Angalia mafanikio hapo mtaani kwako,non educated wako mob and doing ok.Benki zimegeuza watu wajinga riba kubwa na riba kubwa hiyo 95% ni tozo,mikopo ya nje ni shida kubwa,biashara zio hoi,sasa,sasa,kwa mawazo yake anafikiri akiuza au akichima.madini ya mbugani mzigo utapungua,la hasha,mzigo ni wa muda mrefu,Job was right!
 
Unapoteza mantiki ya hoja Kwa kuandika vitu vya kijinga.

Kuna Nchi yeyote imewahi uza Hifadhi au kipande Cha Ardhi miaka ya Karibuni?
Ukute wewe ni mtoto wa Samia.
Inatia shaka kuamini unaweza kufikiria vizuri labda tu uwe una maslahi na wauza Mapori tengefu/Mbuga zetu.
Inaweza kuwa una macho huoni au una masikio na husikii.
 
Ukute wewe ni mtoto wa Samia.
Inatia shaka kuamini unaweza kufikiria vizuri labda tu uwe una maslahi na wauza Mapori tengefu/Mbuga zetu.
Inaweza kuwa una macho huoni au una masikio na husikii.
Kwa nini niwe mtoto wa Samia? Madini yakichimbwa yanamfaidisha Samia?

Mbona mnakuwa wajinga hivi?
 
Leo tunaona raisi anasema mapori ya hifadhi yachimbwe madini anacho taka ni fedha anahisi ni Saudi hapa.
Na waziri anashangilia na kufurahi ili
Namna hii. Hifadhi ichimbwe madini 😭😭yaani tunaharibu maliasili kisa madini na upigaji wa waziwazi serikali imekosa pengine pa kupiga kodi haiwatoshi nini🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…