Mtu akija ukampa kumiliki wa muda 99 years si umemuuzia tayari kwa miaka 99Unapoteza mantiki ya hoja Kwa kuandika vitu vya kijinga.
Kuna Nchi yeyote imewahi uza Hifadhi au kipande Cha Ardhi miaka ya Karibuni?
EIA?Hasara ni ipi? Nimeulizanaelewa maana ya EIA?
NdioEIA?
Nani aliyepewa huo umiliki?Mtu akija ukampa kumiliki wa muda 99 years si umemuuzia tayari kwa miaka 99
Au nyie maccm kuuza ni tofauti na sisi tunayofahamu
Eeeee! Jimama limeamua. Hizi helicopter anazonunua si mchezo. Wananchi msipoamka tumekwishaSwala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.
Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.
Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.
Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.
Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.
Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.
Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.
Jinga we we hata kama una undugu na mama samia au una allegiance na uarabuHasara ni ipi? Nimeulizanaelewa maana ya EIA?
Hili ni jipya kwako?..Kuna Nchi yeyote imewahi uza Hifadhi au kipande Cha Ardhi miaka ya Karibuni?
Naelewa hio,,bado wako kimya?Ndio
Hii nchi si yetu tena, bado lile tangazo kwenye jengo mnara uarabuniLongido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Labda akifaKatiba ipige marufuku Mzanzibari kuwa Rais wa Jamhuri ya Muunhano maana hawana uchungu Na rasilimali zilizoko bara (Tanganyika)
We popoma nipo hapa Mundarara naona hizo harakati...Manzese ya Longido mambo mazito sana Mto wa mbu GazaUnapoteza mantiki ya hoja Kwa kuandika vitu vya kijinga.
Kuna Nchi yeyote imewahi uza Hifadhi au kipande Cha Ardhi miaka ya Karibuni?
Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.
Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.
Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.
Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.
Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.
Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.
Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.
We boya jikite kwenye hojaWe popoma nipo hapa Mundarara naona hizo harakati...Manzese ya Longido mambo mazito sana Mto wa mbu Gaza
Kina nani?Naelewa hio,,bado wako kimya?
Taja hizo Nchi zilizouzwa hifadhiHili ni jipya kwako?..
Hao watu waEIAKina nani?
Mkuu tunaunganisha dot.Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.
Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.
Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.
Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.
Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.
Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.
Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.
How..??Swala la kuchimba madini kwenye hifadhi za Taifa kuna Move kari sana inachezwa ni kama zile Move za Kihindi, Stering wa move atakufa akiacha move ikiendelea.
Target ya kutaka kuchimba Madini kwenye hifadhi za wanyama ni ili kumega na baade kuuza baadhi ya hifadhi kwa kutengua sheria za hifadhi za Taifa na Mapori ya akiba.
Madini yatachimbwa chimbwa na baadae watu aatajimilikisha maeneo.
Kuna Mapori ya akiba kama Simanjiro, Longido na Maswa, haya yanauzwa moja kwa moja ni muda tu unangojewa hasa baada ya uchaguzi.
Longido inachukuliwa na waarabu wa UAE, huku Maswa ikichukuliwa na Wazungu na Simanjiro pia ni Waarabu bado kuna mvutano mkari sana kwa Pori la Simanjiro make kuna Wafaransa wanalitaka na walichabgia sana Royal tour hivyo wanaina wanasalitiwa kwa sababu mashariti ilikuwa wamilikisjwe Simanjaro sasa kuna Waarabu wamepanda Dau zaidi kuliko wazungu. Ile Ziara ya Ufaransa hili swala la Simanjiro lilizungumziwa kule.
Uchimbaji wa Madini ni itatumika kubadili sheria na kukata baadhi ya hizo hifadhi kwa kigezo cha madini na baadae wata jimilikisha mapori na kuendelea na utalii wao. Kuna Move kari sana inachezwa ambayo kwa sisi wajinga hatuwezi ng'amua kitu zaidi ya kushangilia ujinga.
Na kuna maeneo maalimu mabayi ni target kuu sasa yale maeneo dhaifu yatatumikankama chambo cha kugeuza sheria.
Hifadhi ya Serengeti kwa mfano ndio target kuu, na itakuwa Muhanga wa kwanza wa uchimbaji madini hifadhini na baadae wahuni watajimilikisha sehemu ya hifadhi ya Serengeti.
Pia kuna Hifadhi ya Manyara nayo kina kipande kitamegwa kwa Move ya kuchimba madini.
Ukiachana na Hifadhi zingine hizo.
Move itaanza mapema baada ya uchaguzi ujao ndio sheria zitabadilihswa.
Ili uchimbe madini kwenye hifadhi ya taifa ni lazima ubadili sheria inayolinda hifadhi za taifa..ukishaanza kuonja kubadili hizi sheria ndipo tunaanza kwa mbaali kuona rushwa kwa wabunge ili wajitoe ufahamu..kifuatacho ni kumkumbuka baba wa taifa la Tanganyika!!Sishanikii mtu au kundi ila iam speaking my mind.
Kuna shida kuchimba Madini kwenye Hifadhi?