Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

Rushwa za nini ikiwa Serikali itajenga hoja Kwa nini wanataka Madini? Kwani sheria ni maneno ya msaafu au biblia?

Kama Madini yanahitajika kusaidia uchumi Kwa nini yasichimbwe?
 
Inasikitisha sana hawa wenye kuimba mama mitano tena. Mama nakundi lake yuko kujitajirisha tu kwa kuuza nchi. Ukisikiliza jinsi anavyoingiza kila toleo jipya ya kile wanakwenda kuuza utaona lugha ya hadaa. Juzi hapa ndio kasema kuna maeneo wataruhusu uwekezaji kwenye hifadhi zataifa. Tunachojua waarabu na wazungu wako kushindana kununua afrika. Rais mroho na asiye na uchungu na wananchi wake, hana uzalendo maarifa wala maono ni hatari kabisa. Tumekaa miaka yote nchi hii bila kupigana wenyewe kwa wenyewe ila hili la kuuza maeneo ya nchi yetu litatuletea mfarakano mkubwa. Rais samia anawadanganya raia kama pesa tu ndio muhimu tuwape tu wawekezaji wafanye sisi mradi tupewe hela. Haoni uhuru na heshima na kuweza kujitegemea wenyewe kama ni muimu na ndio maendeleo. Bila shaka tukishawapa kila kitu wageni ili eti tupate pesa ambazo bila shaka zitakua mikononi mwa vigogo na bwanyenye peke yao wageni watatugeuka na kututawala. Hawatatupa haki kwenye mapato ila watatutawala. tutapoteza uhuru wa nchi yetu na heshima yetu kama binadamu.
 
Ile Rais Samia alipokwenda Marekani na kukaa takribani mwezi akizindua royal tour,na mshenga akiwa Rostam Aziz tulipigwa ile mbaya
 
Huyo anakuwa ni msomi tu lakini hajaelimika. Elimu hailetwi kutokea kwenye kuta nne.
 
Una hasira dogo kunywa maji

Unajiuma umma tu

Sasa wenye nchi hatumpi mama yako next term
Arudi kwao kizimkazi tone hao waarabu wake atawauxia Nini??
Sijui Wala sijikanyagi,kwani hayo Madini yanahitajika na Samia au na Nchi kusukuma maendeleo?

Kwani Samia asipokuwa Rais ndio itafanya maskini kuwa na pesa.? Sana sana watazidi kuwa mafukara maana miaka hii ya mama amewasaidia walau kupumua.

Sheria sio biblia na Wala Tanzania sio ya kwanza unless mna matatizo yenu binafsi.

Mwisho awe Rais au asiwe Rais Mimi siendeshi maisha Kwa kutegemea Samia au siasa ilanaongea hoja.Je Kuna shida kuchimba Madini kwenye Hifadhi?
 
yanahitajika na Samia mwenyewe
 
Hilo litafanyika baada ya uchaguzi
 
Ile Rais Samia alipokwenda Marekani na kukaa takribani mwezi akizindua royal tour,na mshenga akiwa Rostam Aziz tulipigwa ile mbaya
Kuna gharama zake, wazungu wanakabidhiwa sana ma Pori ya akiba,
 
Nimekosa tusi la kukupa kwa utetezi wako wa kipuuzi.
 
Hivi vitu JF vinaanzaga hivi hivi kimasihala baadae unasikia washauza, daaahhhh......
 


Kuna mambo ukiyasikia au kukutana nayo unabaki kusema kimono moyo tu kuwa Mwenyezi Mungu aingilie kati kwa jinsi ajuavyo na kuweza Yeye mwrnyewe.
 
Rushwa za nini ikiwa Serikali itajenga hoja Kwa nini wanataka Madini? Kwani sheria ni maneno ya msaafu au biblia?

Kama Madini yanahitajika kusaidia uchumi Kwa nini yasichimbwe?
Imani yako na uelewa wako kwa wapanga hoja zitakazopelekwa bungeni...ndipo penye kufikirisha.
Wajuzi wa ramani yenye kuonesha sehemu mbalimbali zenye rasilimali madini wakiweka hapa itakuwa rahisi kuona faida na hasara ya kuchimba madini hifadhini..
Kwa maoni yangu, Elimu yetu bado iko chini kuweza kupata win-win katika njia hii ya mkato. Wajukuu zetu ndio wataweza kuicheza hii game!
 
kama kuna madini na yatasaidia uchumi wa Taifa, kwanini yasichimbwe?

Sema naishauri serikali, kwa sasa isipewe kampuni ya nje kuchimba madini. Yachimbwe na Watanzania na yote yanunuliwe na BoT.

Kifunguliwe kitengo cha hazina ya madini. Ataefanya ubadhirifu huko, adhabu iwe ni kifo bila kufikishwa mahakamani, kama tunavyowafanyia vibaka wa mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…