Uchimbaji wa Madini kwenye Hifadhi ni trela, Move ni kuuza pia baadhi ya hifadhi

Wapi Tanapa wamelalamika?
Mkuu sina haja ya kuzusha jambo. Msimamo wangu hapa JF huwa ni kusema ukweli, na kupata Elimu.

Jisomee hapa chini.
===
Amefafanua kuwa, maeneo yaliyopo chini ya Hifadhi ya Taifa (TANAPA) bado hayaruhisiwi kufanya shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo mpaka sasa. Aidha, kwenye hifadhi za misitu amefafanuwa kuwa, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) haijazuia shughuli za uchimbaji madini.

"Maeneo ya hifadhi ya wanyamapori hakuruhusiwi shughuli za kibinadamu, za uchimbaji madini zinazoruhusiwa ni za aina mbili tu, kutafiti mafuta na gesi na kuchimba madini ya nishati," amesisitiza Dkt.Biteko.

Chanzo>>>>https://www.madini.go.tz/page/827f77fa-6c61-4703-8d6b-25373906a5cd/
====
Chanzo kingine cha habari>>>>KWELI - Watetezi TV imewahi kuchapisha taarifa ya Rais Samia akisisitiza kuanza uchimbaji wa Madini kwenye hifadhi za taifa
 
Swali kwani uwekezaji unatakiwa kufanywa huko kwenye uhifadhi umeona frameworks zake kwamba hautakuwa na faida?

Au ishu ni Kwa vile ni hifadhini?
 
Tanganyika imepata hasara kubwa sana kutawaliwa na mtu mkimbizi kutoka Nchi ya nje ya zanzibar.kilakitu anauza Kwa manufaa ya taifa lake la kigeni Zanzibar a.k.a kizimkazi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…