The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Lakini kama Kuna mkutano wa wa chama cha upinzani hata kama ni wapi watapata taarifa na kufika kwa harakaTis hizi habari hawawezi kuzijua miaka buku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kama Kuna mkutano wa wa chama cha upinzani hata kama ni wapi watapata taarifa na kufika kwa harakaTis hizi habari hawawezi kuzijua miaka buku
Labda aliona kutowasiliana nae ata save pesa.Kabla ya kuanza uchimbaji wa maduka chini, aliwasiliana na engeneer mkuu wa awali wa hilo jengo ili kupata ushauri?
Wewe huna cha maana hapo. Watu wanahutubia hata wakati wa vita msitari wa mbele kuwatia wapiganaji moyo. Sasa unachoshangaa sema ni ushamba na uelewa mdogo wako. Hongera Mheshimiwa kwa kufika eneo la tukio na kuongea na wananchi.Mimi kilichonishangaza ni mtu kwenda kuhutubia sehemu watu wapo ndani ya kifusi. Yaani nitabaki nashangaa tu.
🥺🥺Lakini kama Kuna mkutano wa wa chama cha upinzani hata kama ni wapi watapata taarifa na kufika kwa haraka
Majengo mengi kko wamefanya hivyoYaan wanachimba maduka jengo ambalo liko tayari ama inakuaje?
Kweli kabisa,tatizo ni utaalamu tu kutokuwepo,ujenzi wa underground upo siku nyingi tu hapa duniani,,katika basement vyumba vinaanzia uko kujengwa kwa utaalamu wakutosha,na jengo linakua imara zaidi,kwa ujenzi wa namna hiyo.Shida ni kukosa utalaamu na ujanjaujanja mwingi wala sio kuchimba hizo underground
Sio tatizo kama Plan ya Jengo ipo hivyo toka ujenzi wake....!Majengo mengi kariakoo yapo hivyo, floor za chini ni frem, za juu ni stoo za kuhifadhia bidhaa.
Ingependeza akahutubie sebuleni kwake si-ndio ee?Mimi kilichonishangaza ni mtu kwenda kuhutubia sehemu watu wapo ndani ya kifusi. Yaani nitabaki nashangaa tu.
Nikweli mmiliki amefanya makosa makubwa lkan waliokosea saana ni wenye mamlaka husika waliojua hatari ya kinachofanyika na wakanyamanza,ukizngatia niwataalam wa majengo.Kakweli inakera saana kuruhusu mazngra ya maafa wakati yangeweza zuilika.Poleni sana aisee, Huyo jamaa ashughulikiwe ..!!
Hatuna haja ya kuzunguka mbuyu swali nikwamba mamlaka husika hawakuw na taarifa za hiyo michakato!?? Maana sidhani kama ni hilo jengo moja peke yake.Labda aliona kutowasiliana nae ata save pesa.
Kwa watu wenye akili ilikua lazima atafutwe aliye sanifu hilo jengo mwanzoni, then kama ingefaa huyu injinia mpya wa sasa (if at all alitumika injinia) angezipitia design za kwanza na taarifa ya udongo (kama haipo angeshauri udongo upimwe) alafu ndio ashauri kama kwa design ya kwanza na hali halisi ya udongo project ingefaa au la!
Kama ni kweli kilichoelezewa hapo juu ndiyo kilichokuwa kinafanyika na bila kufanya consultation..kwa kweli ni upumbavu mkubwa sana.Kwa jinsi nilivyoelewa, ni kwamba Jengo Hilo la Ghorofa lilijengwa Kwa plan ya kawaida tu, ikiwa na Ghorofa kadhaa...!
Ila kutokana na Tamaa za Wamiliki, na inaonekana ni mchezo wa kawaida Kariakoo Kwa Majengo mengi Kwa Sasa.
Mmiliki akaamua kuchimba Chini ili apate kujenga Frame zitazokua Underground, bila kuzingatia Usalama na plan ya Jengo...!
Matokeo yake hata zile Nguzo zilizoshika Jengo zikawa weak, na kupelekea Jengo kuanguka.....!
Serikali ingeanza kufanya Uchunguzi coz ni majengo mengi Sasa wanaamua kuchimba Underground wakati Jengo lilishajengwa na kuisha zamani.
Maisha ya kiumbe kinachoitwa mwanadamu yanathamani kubwa sana bila kujali status yake.. kwa kweli hili linahuzunisha mno! Kama mmiliki aliamua kufanya hivyo amekatili maisha ya nguvu kazi kubwa sana ya taifa hili, inachoma moyoni. HUZUNI SANAAExactly, mimi kama kiongozi lazma ningetafuta kumjua mmiliki na straight away angepandishwa kizimbani. Sadly kwa utawala huu he will get away with it ila kwa kile chuma JPM alikuwa anakula mvua za kutosha.
Tamaa za kipuuzie kabisa hizo.
Kivipi mkuu fafanuaSio tatizo kama Plan ya Jengo ipo hivyo toka ujenzi wake....!
Ila wanachofanya Sasa ni kuweka Mchuzi juu.
Poleni sana wafanyabiashara wa kariakooHatari tupu, kuna mstari mwembamba kati y’a uhai na kifo, utajiri na ufukara..
Unaamka mapema kuwahi kujitafutia mkate unarudi kwako umelala 😭😭😭
Hata wakati bado sio 100%Mkuu hii ndio Tz yetu na siasa zetu maji chafu. Watanzania tutakuja kushtuka wakati dunia ishafika 15th G
Ahsante cazee maumivu ni makali 😥Poleni sana wafanyabiashara wa kariakoo
Tatizo watu wengi wanaamini miujiza na Mungu.Maboc wanaojenga magorofa kariako n wabahili sana Kwenye kununua material ,,mm n fundi welding Kuna bocc alinipakaa kazi za kuwekaa Dari Kwenye frem zakee zipo 20 ,kule darini anasema atakuwa anaweka mizigo ...mm km fundi nikamwambia hapa inabidi tutumie square pp nzito ya nchi 2x2 Kwa sbb yakuweza kuhimili uzito wa mizigo ..bocc ananiambia hzo n gharama sana weka square pp nchi 1x1 😔😔...nikamwambiaa c imara Sanaa na haziwezi kuhimili uzito wa mizigo maana frem n kubwa sana ,,akataka hzo hzo za 1x1 ,,,ss km mnavyojua mafundi hatuachagii kazi nikafanyaa kazi vzr tu nikamaliza frem zt na wapangaji wakaingiaaa,aiseee miezi 2 mingii matokeo boc aliyaonaa nilichomshauri mwanzo 😔😔...mwanaee mmoja ameponaa juzi japo c vzr maana alikuwa na frem pale ya vipodozi na akaenda jaza mizigo ya vipodozi kule darini ,cku amekaa zake anasuburi watejaaa darii lote lilimdondokeaa ..
Kikubwa uzima tu maana kifo cha kufa unajiona kibaya sana.Ahsante cazee maumivu ni makali 😥