Uchina itaiomba Tanzania (kama bado haijafanya hivyo) iwapatie kituo cha kijeshi (military base)

Soma vizuri uzi wangu, usifananishe na uvamizi. Makubaliano ya kujenga base yanahusisha kukodisha ardhi kwa malipo, muda wa kukaa, nini kiingizwe n.k.
Acha ujinga wewe mtumwa wa fikra. Kwa nini usishauri Tz ikaombe military base pale China??[emoji57][emoji57]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nchi zinazoendelea zipo kwenye nafasi nzuri ya kuiga teknolojia na kufanya mambo makubwa kwa kipindi kifupi kuliko zile zilizoendelea.

Mawazo ya kipumbavu kama haya ya kitumwa ya kuwategemea wengine hayatakiwi tena nyakati hizi. Tunatatakiwa kujijenga wenyewe kwa kuwatumia walioendelea kiuchumi na kiteknolojia.

Tunawahitaji wageni tuwasome na kuwamalizia mbali. Tunaweza na wanasiasa na watawala wajue hilo. Tatizo kubwa ni watawala kujipendekeza kwa wageni.

Watawala wanatakiwa kuwatumia raia wao kuwashughulikia na kuwadhibiti wageni kama wachina, wahindi na wazungu.
 
Ukiwa na base na kusiwepo vita unaweza pata faida za kiuchumi ila ikitokea vita utajua hujui. Mfano Russia iingie vitani na NATO alafu zile missile sites zilizoko Poland iziache hilo ni sawa na haiwezekani. China ikipigana na Marekani leo hii itataka ilete meli zake kublock pale Red Sea, hapo itatumia base ya Djibouti kwa ajili ya service na replenishment ya meli. Hapo tiyari ushakaribisha mashambulizi ya Marekani.

Kuna sababu kwa nini US ina base pale kisiwa cha Hawaii ambapo kuna population ndogo sana na base kubwa kabisa pale Guam ambako ni mbali na mainland US na ni watu wachache mno. Hawa hawatapigania homeland, ikifika hatua hiyo watasaini kuacha vita. Japan alipopigwa akaondolewa Asia nzima angetaka kusaini vita iishe angekubaliwa
 
Germany, France, Italy,United Kingdom, USA, China na Saudi Arabia wote hao wana military bases Djibouti
Yaani kanchi kadogo ila kamezungukwa na Wanajeshi wa kila aina

Na wote wamekaa karibu karibu sana
Hivi nyie military bases mnazichukuliaje. Nikajua mnamaanisha zile bases haswa zenye wanajeshi angalau 10,000 kumbe mnasema hivi vituo vya mazoezi ambapo unakuta contingency ya wanajeshi 500 wanaokaa miezi miwili na kuondoka.

Djibouti najua ana base ya China na ya Marekani tu. Hizo nyingine ni tuvituo twa kupumzikia kina HMS Queen Elizabeth zikipita na clue imechoka ije ipumzike.
 

Hahaha mkuu mbona hivyo tena
Hata wakiwa 20
Hapo nchi zote wameweka meli zao na personnel pia

Mimi nilikuwa napinga kuwa Ukimkaribisha mchina, Mmarekani atakasirika hilo tu ndio maana nikaandika nchi nyingi zipo djibouti na wako sawa tu

Don’t get me wrong buddy
 
Mentality za weak azz people wanaofikiria mchina atawatoa kwenye njaa zao, hakuna short cut ni kazi kwa bidii tuu na kuacha ufisadi wa aina yeyote ule
 
Jina lako pia ni ujinga mtupu. Again, learn to hide yor foolishness.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nisinekujibu lakini nastaajabu tu kuwa mbona siku zote inakuwa hivi? Watu wasio na elimu hukimbilia matusi badala ya kuleta hoja?
 
Mentality za weak azz people wanaofikiria mchina atawatoa kwenye njaa zao, hakuna short cut ni kazi kwa bidii tuu na kuacha ufisadi wa aina yeyote ule
Methinks your Medulla Oblongata is on a long holiday. You do not know that military bases renting is a business just like other businesses. You get paid just as you get paid for selling other services. Now, jump on your Bodaboda, somebody is waiting for you to give him a ride home. Leave this thread. You will NEVER understand it!
 
Hatutaki military base ya kigeni kwenye ardhi yetu.
 
Kwa nini hawa 'illiterates' na 'functional fools' hawatoi mawazo yao tu hadi watukane? It beats me! Ni inferiority complex yao ndiyo inayowafanya hivyo? Sitaweza kujua.
Kama nitafika mbinguni kwenye Ufalme wa Mungu, ombi langu ni moja tu: aniletee mbele mtu kama huyu, anifungulie fuvu la kichwa chake nipate kuona exactly ameweka nini ndani yake? Hayumkini mtu unaandika hoja, halafu mtu aje akutukane, tu!
Acha ujinga wewe mtumwa wa fikra. Kwa nini usishauri Tz ikaombe military base pale China??[emoji57][emoji57]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa nini hawa 'illiterates' na 'functional fools' hawatoi mawazo yao tu hadi watukane? It beats me! Ni inferiority complex yao ndiyo inayowafanya hivyo? Sitaweza kujua.
Kama nitafika mbinguni kwenye Ufalme wa Mungu, ombi langu ni moja tu: aniletee mbele mtu kama huyu, anifungulie fuvu la kichwa chake nipate kuona exactly ameweka nini ndani yake? Hayumkini mtu unaandika hoja, halafu mtu aje akutukane, tu!
Kwa nini huleti hoja ya kuwa Tanzania iombe military base China, halafu uwa convince watu kuwa hiyo ndiyo option bora? It is so simple!
 
wapi UAE imekubali acha uongo. UAE ina military base ya ufaransa na waamerica hakuna wachina porojo hizo
 
Cacophony trivial writings

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wachina kwa sasa hawana deal tena.

Xi nchi imemshinda.

Sioni faida yeyote ya kumkumbatia mchina, bora US ambaye hata analeta quality investments kuliko hao machinga wa kichina waliojazana kkoo.
 
Marekani wakati wa utawala wa Bush hadi utawala wa Obama walikuwa wanataka kuweka makao makuu ya kamandi ya Afrika hapa Tanzania kwa sababu kadhaa; sasa hivi makao makuu ya kamandi ya Afrika nadhani bado yako Ujerumani. Sababu kubwa ya marais Bush na Obama kuja Tanzania na kusaka kiwanja cha kujenga makao makuu hayo, lakini maombi yao yalikataliwa, nadhani kwa msukumo fulani kutoka AU. Nakumbuka kipindi hicho watu wakisema nchi inatambulika sna hadi maraisi wa marekani wanashindana kuja Tanzania, lakini ukweli walikuwa wanakuja kutafuta maslahi yao.
 
Ukishawapa naval base ,utaweza kuwadhibiti wewe!? Zaidi ya wao kuudhibiti ukanda wote wa bahari kwa maslahi yao. Tamaa mbele mauti nyuma. Tafuteni vya kwenu. Ukorofi wa mchina kawaulize majirani zake huko baharini.
Nashangaa sana watu wanawasifu wachina. Wanawapiga mkiwa kwenu tena wakiwa kama raia wageni, je mkiwapa hiyo military base itakuwaje?

China ya akina Mao sio China ya Xi jinping
 
Wachina kwa sasa hawana deal tena.

Xi nchi imemshinda.

Sioni faida yeyote ya kumkumbatia mchina, bora US ambaye hata analeta quality investments kuliko hao machinga wa kichina waliojazana kkoo.
Mchina sio mstaaabu kama mzungu ila wote sioni kwa nini tumpe ardhi aweke majeshi yake hapa. Hata kama ni pesa ndio tutapata ila si ni sawa na kuwauzia uhuru wetu. Ni hela ndio ila za moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…