Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Insha Allah nitakitafuta.

Mwandishi tunafahamiana.
Ahsante.
 
Insha Allah nitakitafuta.

Mwandishi tunafahamiana.
Ahsante.

Hongera Sh. Mohammed Said kwa kutochoka kuwaelimisha wasiojua na wale ambao pamoja na kutojua hawataki kujua. Allah awe pamoja nawe katika harakati na juhudi zako.
 

Bw. Said unaweza kuweka sentensi au paragraph toka kitabu cha John Sivalon ambapo kanisa lili declare Islam kama adui yake na likapanga 'to thwart its progress"...
 
Amin.
Ahsante sana ndugu yangu.

Taratibu watajua kuwa tuna tatizo katika nchi yetu na dawa yake
si vitisho.
 
Bw. Said unaweza kuweka sentensi au paragraph toka kitabu cha John Sivalon ambapo kanisa lili declare Islam kama adui yake na likapanga 'to thwart its progress"...
.
Kwenye ile mijadala ya mwanzo, alikuwa anateleza kama kambale, akiulizwa swali ambalo anaua wazi ni uwongo au uzushi, hulikwepa!. Hapa subiria jibu kama hajakwambia mtafute Sivalon mwenyewe, kama jinsi alivyomsingizia Nyerere na hapa leo kaumbuliwa!. Na tusubirie.
Pasco.
 

Pasco,
Kuwa na subra kuna mwanabodi mmoja kasema ataweka tape tusikie sauti baada ya hapo ndiyo uandike hayo ya kuumbuliwa.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Unaweza kutumia maarifa na influence yako utupatie ile tape pale Radio Tanzania. Sijui kama kuna video yake. Ningekuwa Dar ningeweza kuipata mara moja.

Jasusi,

Kuna mwenzetu katuambia tape ipo ataiweka tusikie sauti ya Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Kasema kitu kipi kipya? Au kwa vile muislamu mwenzio basi kila semalo unalishabikia?

Kweli debe tupu......

Amandla...

Nyie ndiyo wakongwe watu wanataka kujifunza kupitia kwenu bahati mbaya kauli zenu zinakosa hekima.
 
Amin.
Ahsante sana ndugu yangu.

Taratibu watajua kuwa tuna tatizo katika nchi yetu na dawa yake
si vitisho.
Mkuu Maalim Mohamed Said, kama ni tatizo kweli lipo na linahitaji dawa, na dawa hiyo sio vitisho, but "adding an insult to an injury" pia sio solution to the problem. Dawa ya kweli ya tatizo, ni kulizungumza kwa ukweli halisi, kutafuta chanzo kilichosababisha na kufanya corrective measures!. Kulalama peke yake kwa maneno ya kutunga, uzushi, uwongo hadi kuwasingizia marehemu!, sio tuu hakusaidii kuondoa tatizo, bali kunawachochea wengine kwa kuuamini uwongo na uzushi huo kuwa ndio ukweli wenyewe na hatimaye kuweza kuamua kufanya lolote!.
"Seek the truth, and the truth will set you free!".

Pasco.
 
teh teh teh,nimeisubiri sana hiyo hotuba ya nyerere iwekwe sauti yake tusikie lakini mpaka sasa bado.Au imepelekwa kwa 'majani' kufanyiwa editing.
Nina wasiwasi na ukweli wao,wana ahidi uongo halafu kuthibitisha hawawezi kama alivyofanya Yericko Nyerere kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na kupewa vyeo.Tumemuomba sana aweke hayo majina kama alivyodai,lakini anajifanya kama haoni maandishi yetu.Kwa ufupi huyu jamaa anatumia uongo kutetea hoja zake.Ni muongo na hana uthibitisho wa anachozua.
Tunaisubiri hiyo hotuba 'mpya' ya nyerere hapa ukumbini
cc kichwakigumu rizt Barubaru mv butiama THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohamed said, Udini nchi hii na nyingine hauto isha na siku ukisha basi ime Qur'an inadanganya au kiama kimeingia.Allah anazungumza katika Qu'ran yakua hawa Makafiri wakristo na Wayahudi hawatawapenda mpaka muwafate mila zao. Nchi hii udini uko wazi na haitaji ilimu ya darasa la nne kujua ilo.Vitabu vingi vya Mohamed said,Profesor Njozi navinevyo vilivyotungwa na wasio waislam vimeeleza udi hapa Tanzania na mpaka leo havijakanushwa,kaka usichoke kufikisha ujumbe na Allah atawafungua macho wasiona.
 
Tuwe wastarab wa kuweka maelezo yetu ktk blog hii ili wasomaji wafaidike na sio maneno ya kimtaani,Tujibu hoja nasio kumwita mtu muongo ndio kujibu hoja.Nyerere ukristo wake ulijificha kwenye koti la mpigania uhuru na alifanikiwa kwa kuwa waislam wanatabia ya upendo na utu,hivyo ilikuwa ngumu kuamini kuwa mliyenaye anasubiri timing ili awadhuru, Twende kwenye vitabu tusome ukweli huu. Au kwakuwa hiyanazake zimewanufaisha wakristo ndio mana mnaona hawakuwadhulumu waislamu?
 

naam,tuko hadhiri kabisa tunaisubiri hiyo hotuba.
 

Vuta subira ndugu yangu, sauti itawekwa hapa kila kitu kitakuwa wazi!
 
Last edited by a moderator:

Vuta subira ndugu yangu, sauti itawekwa hapa kila kitu kitakuwa wazi!
 
Last edited by a moderator:
Waislam wafanye nn ili kuondokana na huo ukandamizaji unaousema? Sheikh Mohamed
 
Waislam wafanye nn ili kuondokana na huo ukandamizaji unaousema? Sheikh Mohamed kulalamika peke bila kuchukua hatua stahiki haita saidia!
 
WanaJF wenzangu,

Hamtaweza kumbadili Mzee wetu Mohamed hasa juu ya yale alioyaandika kwenye kitabu chake. Hata mlete ushahidi gani mzee huyu hatabadilika. Tayari huko nje ana waungaji mkono wengi ambao kwa bahati mbaya hawafiki humu JF kwa sababu mbalimbali. Hawa ataendelea kuwatumia anavyotaka.

Nawaomba tufikirie mjadala wa wazi juu ya uchochezi wake huu. Autetee uchochezi huu hadharani mbele ya vyombo vya habari. Tumhoji maswali haya hadharani. Kitabu chake kile alikuwa analipa kisasi kwa Mwalimu kwa namna alivyoushughulikia UDINI wa baadhi ya wazee wake miaka michache baada ya uhuru wa Tanganyika.
 
Mzee Mwanakijiji;5540563]a. Umesema kwenye kitabu chako kuwa Nyerere aliianza siasa alipoingia Dar mwaka 1953 tukakuonesha si KWELI alianza siasa akiwa mwanafunzi Makerere - hujakubali unahamisha goli
Na alikuwa katibu wa tawi la AA Tabora kwa mujibu wa kitabu cha Mohamed Said. AA ilianza kabla ya TAA Mohamed akasema wameachwa wajifie na kuzikana wenyewe, mwaka 2012 Dr V.Kyaruzi amefariki sijui kama Kikwete alihudhuria! Mzee wa watu naye alijifia kama alivyojifia A.Sykes. Kikwete naye kama Nyerere ni dhalimu kwa mantiki hiyo! Tena eti Nyerere aliyasema mbele ya wazee wa Dar es salaam!
Kasema Nyerere alikuwa anaogopa kupoteza kazi alizopewa na kanisa. Lakini leo tunajua kuwa alinza kulikaidi ''kanisa'' na ukoloni akiwa Makerere, Mwalimu Tabora, Edimburgh na Pugu kabla hajafundishwa kula chapati na kuvaa suruali kariakoo. Tena tumefahamu kuwa si wazee wa kiislam hata wasiokuwa na imani nao walimfanyia tambiko, ushahidi kuwa kupigania uhuru ilikuwa kero ya kila mmoja wetu. Hajawahi kutaja jina hata moja la 'radical' lakini anamtuhumu Nyerere kumuondoa Sheikh Amir. Unless atutajie ma-radical tutabaki kuamini kuwa Sheikh Amir ndiye kiongozi wao na kwanini Nyerere amvumilie hata baada ya kupata uhuru? Majaribio mawili hivi mohamed alitaka yafanyike mangapi ili uungwana wa Nyerere uonekane? Tutajie radicals Mohamed kama hawapo withdraw hiyo statement kwasababu utakuwa uzushi.
 

kwanini uadhiri kwenye misikiti tu mzee wangu; andaa na mikutano ya hadhara itakayojumuisha watu wa kada zote.. Pendekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…