Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Naomba bwana saidi usome hiki kitabu,


Between Social Skills and Marketable Skills : the Politics of Islamic Education in 20th Century Zanzibar
Loimeier, Roman
The present volume examines the development of Muslim traditions of reform in pre-colonial and colonial Zanzibar, focussing on patterns of cooperation between religious scholars and the British colonial state and highlights the effects of the Zanzibar revolution of 1964 on the development of Islamic education and Islamic traditions of learning in Zanzibar until today.
[TABLE="class: fullrecord-details, width: 776"]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Title:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Between Social Skills and Marketable Skills : the Politics ofIslamic Education in 20th Century Zanzibar[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Print ISBN:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]9789004175426[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Author(s):[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Loimeier, Roman[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]eISBN:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]9789047428862[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Publisher:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]BRILL[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Dewey:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]371.077[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Series:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Islam in Africa[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Publication Date:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]02 Jun, 2009[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Pages:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]676[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Category:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Education[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]LCCN:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]LC911.Z36 L65 2009[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]Language:[/TD]
[TD="bgcolor: #F4F9FF"]English[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


CONTENTS

LIST OF ILLUSTRATIONS

A NOTE ON TRANSLITERATION

A NOTE ON MY PARTNERS IN CONVERSATION

A NOTE ON THE RESEARCH CONTEXT

ABBREVIATIONS

GLOSSARY

MAPS

FOREWORD - FALLING IN LOVE WITH ZANZIBAR

CHAPTER ONE - INTRODUCTION THE NEGOTIATION OF I SLAM IN AFRICA

CHAPTER TWO - ZANZIBAR: THE HISTORICAL SETTING

CHAPTER THREE - TRADITIONS OF REFORM, REFORMS OF TRADITION

CHAPTER FOUR - ISLAMIC EDUCATION IN ZANZIBAR: THE DEVELOPMENT OF THE CANON

CHAPTER FIVE - THE POLITICS OF EDUCATION IN THE COLONIAL PERIOD I: SCHOOLS

CHAPTER SIX - THE POLITICS OF EDUCATION IN THE COLONIAL PERIOD II: SYLLABUSES AND LANGUAGES

CHAPTER SEVEN - THE POLITICS OF EDUCATION IN THE COLONIAL PERIOD III: TEACHERS

CHAPTER EIGHT - THE MUSLIM ACADEMY

CHAPTER NINE - THE POLITICS OF ISLAMIC EDUCATION IN REVOLUTIONARY ZANZIBAR

CHAPTER TEN - CONCLUSION: THE LEGACY OF ISLAMIC EDUCATION IN ZANZIBAR

APPENDIX

BIOGRAPHICAL DICTIONARY

SOURCES

INDEX









Insha Allah nitakitafuta.

Mwandishi tunafahamiana.
Ahsante.
 
Insha Allah nitakitafuta.

Mwandishi tunafahamiana.
Ahsante.

Hongera Sh. Mohammed Said kwa kutochoka kuwaelimisha wasiojua na wale ambao pamoja na kutojua hawataki kujua. Allah awe pamoja nawe katika harakati na juhudi zako.
 
The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

(Kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'')

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.

Bw. Said unaweza kuweka sentensi au paragraph toka kitabu cha John Sivalon ambapo kanisa lili declare Islam kama adui yake na likapanga 'to thwart its progress"...
 
Amin.
Ahsante sana ndugu yangu.

Taratibu watajua kuwa tuna tatizo katika nchi yetu na dawa yake
si vitisho.
 
Bw. Said unaweza kuweka sentensi au paragraph toka kitabu cha John Sivalon ambapo kanisa lili declare Islam kama adui yake na likapanga 'to thwart its progress"...
.
Kwenye ile mijadala ya mwanzo, alikuwa anateleza kama kambale, akiulizwa swali ambalo anaua wazi ni uwongo au uzushi, hulikwepa!. Hapa subiria jibu kama hajakwambia mtafute Sivalon mwenyewe, kama jinsi alivyomsingizia Nyerere na hapa leo kaumbuliwa!. Na tusubirie.
Pasco.
 
.
Kwenye ile mijadala ya mwanzo, alikuwa anateleza kama kambale, akiulizwa swali ambalo anaua wazi ni uwongo au uzushi, hulikwepa!. Hapa subiria jibu kama hajakwambia mtafute Sivalon mwenyewe, kama jinsi alivyomsingizia Nyerere na hapa leo kaumbuliwa!. Na tusubirie.
Pasco.

Pasco,
Kuwa na subra kuna mwanabodi mmoja kasema ataweka tape tusikie sauti baada ya hapo ndiyo uandike hayo ya kuumbuliwa.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Unaweza kutumia maarifa na influence yako utupatie ile tape pale Radio Tanzania. Sijui kama kuna video yake. Ningekuwa Dar ningeweza kuipata mara moja.

Jasusi,

Kuna mwenzetu katuambia tape ipo ataiweka tusikie sauti ya Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Kasema kitu kipi kipya? Au kwa vile muislamu mwenzio basi kila semalo unalishabikia?

Kweli debe tupu......

Amandla...

Nyie ndiyo wakongwe watu wanataka kujifunza kupitia kwenu bahati mbaya kauli zenu zinakosa hekima.
 
Amin.
Ahsante sana ndugu yangu.

Taratibu watajua kuwa tuna tatizo katika nchi yetu na dawa yake
si vitisho.
Mkuu Maalim Mohamed Said, kama ni tatizo kweli lipo na linahitaji dawa, na dawa hiyo sio vitisho, but "adding an insult to an injury" pia sio solution to the problem. Dawa ya kweli ya tatizo, ni kulizungumza kwa ukweli halisi, kutafuta chanzo kilichosababisha na kufanya corrective measures!. Kulalama peke yake kwa maneno ya kutunga, uzushi, uwongo hadi kuwasingizia marehemu!, sio tuu hakusaidii kuondoa tatizo, bali kunawachochea wengine kwa kuuamini uwongo na uzushi huo kuwa ndio ukweli wenyewe na hatimaye kuweza kuamua kufanya lolote!.
"Seek the truth, and the truth will set you free!".

Pasco.
 
teh teh teh,nimeisubiri sana hiyo hotuba ya nyerere iwekwe sauti yake tusikie lakini mpaka sasa bado.Au imepelekwa kwa 'majani' kufanyiwa editing.
Nina wasiwasi na ukweli wao,wana ahidi uongo halafu kuthibitisha hawawezi kama alivyofanya Yericko Nyerere kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na kupewa vyeo.Tumemuomba sana aweke hayo majina kama alivyodai,lakini anajifanya kama haoni maandishi yetu.Kwa ufupi huyu jamaa anatumia uongo kutetea hoja zake.Ni muongo na hana uthibitisho wa anachozua.
Tunaisubiri hiyo hotuba 'mpya' ya nyerere hapa ukumbini
cc kichwakigumu rizt Barubaru mv butiama THE BIG SHOW
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mohamed said, Udini nchi hii na nyingine hauto isha na siku ukisha basi ime Qur'an inadanganya au kiama kimeingia.Allah anazungumza katika Qu'ran yakua hawa Makafiri wakristo na Wayahudi hawatawapenda mpaka muwafate mila zao. Nchi hii udini uko wazi na haitaji ilimu ya darasa la nne kujua ilo.Vitabu vingi vya Mohamed said,Profesor Njozi navinevyo vilivyotungwa na wasio waislam vimeeleza udi hapa Tanzania na mpaka leo havijakanushwa,kaka usichoke kufikisha ujumbe na Allah atawafungua macho wasiona.
 
Tuwe wastarab wa kuweka maelezo yetu ktk blog hii ili wasomaji wafaidike na sio maneno ya kimtaani,Tujibu hoja nasio kumwita mtu muongo ndio kujibu hoja.Nyerere ukristo wake ulijificha kwenye koti la mpigania uhuru na alifanikiwa kwa kuwa waislam wanatabia ya upendo na utu,hivyo ilikuwa ngumu kuamini kuwa mliyenaye anasubiri timing ili awadhuru, Twende kwenye vitabu tusome ukweli huu. Au kwakuwa hiyanazake zimewanufaisha wakristo ndio mana mnaona hawakuwadhulumu waislamu?
 
teh teh teh,nimeisubiri sana hiyo hotuba ya nyerere iwekwe sauti yake tusikie lakini mpaka sasa bado.au imepelekwa kwa 'majani' kufanyiwa editing.
Nina wasiwasi na ukweli wao,wana ahidi uongo halafu kuthibitisha hawawezi kama alivyofanya yericko nyerere kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na kupewa vyeo.tumemuomba sana aweke hayo majina kama alivyodai,lakini anajifanya kama haoni maandishi yetu.kwa ufupi huyu jamaa anatumia uongo kutetea hoja zake.ni muongo na hana uthibitisho wa anachozua.
Tunaisubiri hiyo hotuba 'mpya' ya nyerere hapa ukumbini
cc kichwakigumu rizt barubaru mv butiama the big show

naam,tuko hadhiri kabisa tunaisubiri hiyo hotuba.
 
teh teh teh,nimeisubiri sana hiyo hotuba ya nyerere iwekwe sauti yake tusikie lakini mpaka sasa bado.Au imepelekwa kwa 'majani' kufanyiwa editing.
Nina wasiwasi na ukweli wao,wana ahidi uongo halafu kuthibitisha hawawezi kama alivyofanya Yericko Nyerere kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na kupewa vyeo.Tumemuomba sana aweke hayo majina kama alivyodai,lakini anajifanya kama haoni maandishi yetu.Kwa ufupi huyu jamaa anatumia uongo kutetea hoja zake.Ni muongo na hana uthibitisho wa anachozua.
Tunaisubiri hiyo hotuba 'mpya' ya nyerere hapa ukumbini
cc kichwakigumu rizt Barubaru mv butiama THE BIG SHOW

Vuta subira ndugu yangu, sauti itawekwa hapa kila kitu kitakuwa wazi!
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh,nimeisubiri sana hiyo hotuba ya nyerere iwekwe sauti yake tusikie lakini mpaka sasa bado.Au imepelekwa kwa 'majani' kufanyiwa editing.
Nina wasiwasi na ukweli wao,wana ahidi uongo halafu kuthibitisha hawawezi kama alivyofanya Yericko Nyerere kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na kupewa vyeo.Tumemuomba sana aweke hayo majina kama alivyodai,lakini anajifanya kama haoni maandishi yetu.Kwa ufupi huyu jamaa anatumia uongo kutetea hoja zake.Ni muongo na hana uthibitisho wa anachozua.
Tunaisubiri hiyo hotuba 'mpya' ya nyerere hapa ukumbini
cc kichwakigumu rizt Barubaru mv butiama THE BIG SHOW

Vuta subira ndugu yangu, sauti itawekwa hapa kila kitu kitakuwa wazi!
 
Last edited by a moderator:
Waislam wafanye nn ili kuondokana na huo ukandamizaji unaousema? Sheikh Mohamed
 
Waislam wafanye nn ili kuondokana na huo ukandamizaji unaousema? Sheikh Mohamed kulalamika peke bila kuchukua hatua stahiki haita saidia!
 
WanaJF wenzangu,

Hamtaweza kumbadili Mzee wetu Mohamed hasa juu ya yale alioyaandika kwenye kitabu chake. Hata mlete ushahidi gani mzee huyu hatabadilika. Tayari huko nje ana waungaji mkono wengi ambao kwa bahati mbaya hawafiki humu JF kwa sababu mbalimbali. Hawa ataendelea kuwatumia anavyotaka.

Nawaomba tufikirie mjadala wa wazi juu ya uchochezi wake huu. Autetee uchochezi huu hadharani mbele ya vyombo vya habari. Tumhoji maswali haya hadharani. Kitabu chake kile alikuwa analipa kisasi kwa Mwalimu kwa namna alivyoushughulikia UDINI wa baadhi ya wazee wake miaka michache baada ya uhuru wa Tanganyika.
 
Mzee Mwanakijiji;5540563]a. Umesema kwenye kitabu chako kuwa Nyerere aliianza siasa alipoingia Dar mwaka 1953 tukakuonesha si KWELI alianza siasa akiwa mwanafunzi Makerere - hujakubali unahamisha goli
Na alikuwa katibu wa tawi la AA Tabora kwa mujibu wa kitabu cha Mohamed Said. AA ilianza kabla ya TAA
b. Umesema Nyerere hakuwaenzi wazee wa Kiislamu waliomkaribisha Dar nilikuwekea sehemu ya maandishi yake ya mwaka 1966 alipokiri ukarimu wa pekee wa wazee wa Kiislamu; kwenye kitabu cha We Must Run While They Walk Nyerere anaeleza kwa kirefu hili - hujakubali unahamisha magoli
Mohamed akasema wameachwa wajifie na kuzikana wenyewe, mwaka 2012 Dr V.Kyaruzi amefariki sijui kama Kikwete alihudhuria! Mzee wa watu naye alijifia kama alivyojifia A.Sykes. Kikwete naye kama Nyerere ni dhalimu kwa mantiki hiyo!
c. Umesema kuwa Nyerere alisahau Abdul alikuwa na cheo gani TAA wakati anajiunga ushahidi umewekwa na Nyerere anasema yeye aliporudi kutoka Uingereza Abdul alikuwa katibu wa TAA. Nyerere alikumbuka kwa usahihi kabisa hutaki unakataa - unahamisha magoli
Tena eti Nyerere aliyasema mbele ya wazee wa Dar es salaam!
d. Umedai kuwa ni Abdul Sykes ndye aliyemshawishi Nyerere kuacha ualimu Pugu na kuingia kwenye siasa; Nyerere amerudia toka zamani kabisa kuelezea kuwa ulikuwa ni uamuzi wake tangu akiwa Uingereza kuwa angerudi na kufundisha kwa miaka 3 na kuingia kwenye siasa na kweney sehemu ya hotuba hii inaonesha ni Nyerere aliyechukua initiative ya kutafuta uongozi wa TAA na baadaye akapelekwa kwa Sykes - na amekiri kuwa ni Sykes aliyekuwa maarufu kwa viongozi na jina alilopewa na yeye mwenyewe akaenda kule akipelekwa na Kasanga Tumbo mwalimu mwenzi - hutaki unakataa - unahamisha magoli
Kasema Nyerere alikuwa anaogopa kupoteza kazi alizopewa na kanisa. Lakini leo tunajua kuwa alinza kulikaidi ''kanisa'' na ukoloni akiwa Makerere, Mwalimu Tabora, Edimburgh na Pugu kabla hajafundishwa kula chapati na kuvaa suruali kariakoo.
e. Umedai mara kwa mara Nyerere alikuwa na ubaguzi dhidi ya Waislamu; lakini kwenye kitabu chako mwenyewe (na aehemu ya hotuba hii inakubaliana nawe) Nyerere alishirikiana na wazee wa Kiislamu alienda kwenye matambiko ya Jadi na amekubali kusomewa Qurani na wazee wa Kiislamu na wewe mwenyewe unasimulia vizuri sana ile ibada ya kule Bagamoyo. Huyu mwenye chuki na Waislamu na Uislamu kweli kabisa ameenda na kuombewa na mashehe Mkristu akiwa peke yake! Leo umemuona nani kati ya viongozi wetu ambaye anaweza kufanya aliyoyafnaya Nyerere mbele ya watu wa dini nyingine? Kweli mwenye chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu anakubali kuombewa nao, kukaa nao, kula kwao, kulala kwao na kwenye kitabu chako unasimulia jinsi Waislamu walivyomlinda kule Mtwara wakati ameingia kanisani kusali! Hii chuki ya Nyerere dhidi ya Waislamu ilikuja lini?
Tena tumefahamu kuwa si wazee wa kiislam hata wasiokuwa na imani nao walimfanyia tambiko, ushahidi kuwa kupigania uhuru ilikuwa kero ya kila mmoja wetu.
e. Umeeleza kwenye histohisia yako kuwa kulikuwa na Kundi la Waislamu 'radicals" ambao walitaka kumuondoa Nyerere uongozi wa TANU kwa sababu ya Ukristu wake lakini hujasema hadi leo Nyerere alikuwa amefanya nini kuwaudhi wazee wako hawa wa Dar kutaka muondoa - tena mara mbili?
Hajawahi kutaja jina hata moja la 'radical' lakini anamtuhumu Nyerere kumuondoa Sheikh Amir. Unless atutajie ma-radical tutabaki kuamini kuwa Sheikh Amir ndiye kiongozi wao na kwanini Nyerere amvumilie hata baada ya kupata uhuru? Majaribio mawili hivi mohamed alitaka yafanyike mangapi ili uungwana wa Nyerere uonekane? Tutajie radicals Mohamed kama hawapo withdraw hiyo statement kwasababu utakuwa uzushi.
 
Mohamed Said aliyeandika kitabu ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'' ndiyo mimi
niliye humu JF na ndiye mimi ninaehadhir katika misikiti.

Kama una wasiwasi unaweza ukauliza kwa watu hapa Dar es Salaam.
Dar es Salaam ni kwetu na wengi wananifahamu toka utoto wangu.

kwanini uadhiri kwenye misikiti tu mzee wangu; andaa na mikutano ya hadhara itakayojumuisha watu wa kada zote.. Pendekezo
 
Back
Top Bottom