Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ya kwako mwenyewe haya. Ya kuokoteza kwenye vijiwe vya gahawa na mitaani. "Rumours" hapa Bongo ndio penyewe. Ukiambiwa ulete ushahidi wa hiyo memo ya CCT kwenda kwa Mrema hautaweza. Mzee Mohamed, matatizo ya Waislam hapa Tanzania na kwingineko duniani yako kwa Waislam wenyewe. Ukiyaelekeza matatizo haya kwingine unazidi tu kuyalea na kuyakuza matatizo haya. Tabia moja mbaya ya matatizo ni kuitana.

WC,

Mimi sina ugomvi na fikra zako.
Nachofanya hapa si kuwa wewe ukubali haya ninayosema.

La hasha.

Nataka dunia nayo isikie upande wetu Waislam tunasemaje
katika matatizo haya yanayokabili nchi yetu.

Ndiyo maana umeona nimeandika Kizungu.

Iko siku Insha Allah dunia ndiyo watakujakuwa wapatanishi
wetu.

Hawawezi kupatanisha ikiwa hawajui chanzo cha ugomvi.

Kwa hakika uansema kweli akija mtu akanambia lete ushahidi
wa kimahakama nitashindwa tena vibaya sana.

Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa nchi imo katika matatizo
makubwa.

Mwisho.

Ndugu yangu basi huna cha kunijibu cha kweri kwa yote niliyo
kuandikia kwa adabu na taadhima ila ijaza yangu ni kunikejeli?

Hiyo ''kijiwe'' na ''gahawa ya mitaani'' inaingiaje hapa?

Mimi si mtu wa ''kijiwe'' wala wa ''mitaani.''
Kunywa kahawa sawa ni katika mila zetu wa pwani kama nyie
mnvayokunywa ulevi.

Umepata kusoma humu mie hata siku moja nikakuita mlevi wa tembo nk.
Fanya staha tuwe na mnakasha wa kistaarabu.

Basi unashindwa hata kuniheshimu kwa utu uzima wangu?
Mimi sijawa adui yenu.

Kiwango hiko lau kama tunakijongelea bado hatujafika na Insha Allah
Mungu hatotufikisha huko.

Ukweli utadhihiri na tutarekebisha pale tulipojikwaa.
 
Nina akili lakini sitaki kuzitumia vyema nikizitumia vizuri hoja yangu ya kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini itakufa na ikifa mialiko ninayoipata toka vyuo vikuu vya ulaya na Marekani wasiojua ukweli wa historia ya Tanganyika itakoma.Historia ya wazee wangu wa Gerezani ndiyo historia ya mapambano dhidi ya ukoloni bila wao kushiriki Tanganyika mpaka leo ingekuwa koloni la mwingereza.

Haahaa haaahaa daah nabaki kucheka tu kwakweli!
 
WC,

Mimi sina ugomvi na fikra zako.
Nachofanya hapa si kuwa wewe ukubali haya ninayosema.

La hasha.

Nataka dunia nayo isikie upande wetu Waislam tunasemaje
katika matatizo haya yanayokabili nchi yetu.

Ndiyo maana umeona nimeandika Kizungu.

Iko siku Insha Allah dunia ndiyo watakujakuwa wapatanishi
wetu.

Hawawezi kupatanisha ikiwa hawajui chanzo cha ugomvi.

Kwa hakika uansema kweli akija mtu akanambia lete ushahidi
wa kimahakama nitashindwa tena vibaya sana.

Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa nchi imo katika matatizo
makubwa.

Mwisho.

Ndugu yangu basi huna cha kunijibu cha kweri kwa yote niliyo
kuandikia kwa adabu na taadhima ila ijaza yangu ni kunikejeli?

Hiyo ''kijiwe'' na ''gahawa ya mitaani'' inaingiaje hapa?

Mimi si mtu wa ''kijiwe'' wala wa ''mitaani.''
Kunywa kahawa sawa ni katika mila zetu wa pwani kama nyie
mnvayokunywa ulevi.

Umepata kusoma humu mie hata siku moja nikakuita mlevi wa tembo nk.
Fanya staha tuwe na mnakasha wa kistaarabu.

Basi unashindwa hata kuniheshimu kwa utu uzima wangu?
Mimi sijawa adui yenu.

Kiwango hiko lau kama tunakijongelea bado hatujafika na Insha Allah
Mungu hatotufikisha huko.

Ukweli utadhihiri na tutarekebisha pale tulipojikwaa.
Nisamehe Mzee wangu Mohamed kama maneno niliotumia yamekuudhi. Mimi pamoja na kutoka Bara, sinywi kilevi chochote. Nina ulevi wangu mwingine kabisa.

Ngoja nikuulize swali moja: Hivi siku wakija wapatanishi wakute Rais ni Muislam, Makamu wa Rais ni Muislamu, Mkuu wa Polisi Muislam, Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu. Upande wa pili wakukute wewe na Waislam wenzako. Hapa mtapatanishwa nini!
 
Wild Card ndugu yangu wewe ni Mkristo ni shida sana wewe kuhisi hata kwa
mbali nini Waislam wa Tanzania tunapitia.

Wala usipuuze na kubeza haya niandikayo.
Jitulize piga magoti muombe mungu wako mtake msaada akuongoze.

Muulize hivi Mungu na Yesu Kristo huyu Mohamed haya anenayo ni kweli
au ni mchochezi?

Mimi ni Mkristo. Rais wangu Muislam, Makamu wa Rais Muislam, Mkuu wangu wa Mkoa Muislam, Kamanda wangu Polisi wa Zone, Kova, Muislam, ZCO wangu Msangi, Muislam,... Sioni shida. Sioni tatizo. Haya, huku chama twawala, Mwenyekiti Taifa Muislam. Mwenyekiti wa Mkoa wangu, Mzee wa ARV feki, Muislam. Mwenyekiti wa wilaya yangu Muislam. Sioni tatizo. Sioni shida. Haya, nyumba ndogo yangu ni Muislam. Jana alinipikia pilau nzuri tu.

Tatizo ni wewe tu Mzee Mohamed. Unataka kutuvuruga. Unataka tuchukiane Watanzania kwa DINI zetu. Unazeeka vibaya.

Hehee mkuu WildCard unaweza kuhatarisha ndoa yako kama shemeji anaitembelea thread hii,
 
Shida ni kutojua na kulielewa tatizo, lakini kwakuwa tumeishalielewa tulitafutie ufumbuzi badala ya kulalamika.
Kwakuwa tuna Chuo kimoja tu tujitahidi tuongeze kinginge, tena ikiwezekana Suni nao wajenge chao wakati wa uhamusho wakijenga sekondari kwa kasi ya ujenzi wa misikiti!.
Tukielimika sawa au zaidi yao (wakristo) tutaweza kuungoa mfumo Kristo.

TUNAWEZA MAANA UWEZO TUNAO TUNAKOSA MAAMUZI NA KUAMINIANA TU.
 
Wanafahamiana hawa watu. Kabila yangu inaruhusu mambo haya na haumfichi mkeo. Unaitambulisha nyumba ndogo kwake na wanakuwa mashoga kabisa!
 
Duuh aisee!

Hapo mkuu unakula mema ya nchi tu,

Kazi yako ni kuhamisha koti, leo linakaa kwa bi mdogo wiki ijayo kwa bi mkubwa!

Safi sana mkuu!
 
Wanafahamiana hawa watu. Kabila yangu inaruhusu mambo haya na haumfichi mkeo. Unaitambulisha nyumba ndogo kwake na wanakuwa mashoga kabisa!
Sawa lakini kama hiyo Nyumba Ndogo itayafikia maandishi ya Mkuu MS ndiyo itakiwa taraka yenu!.
 
Wild Card ndugu yangu wewe ni Mkristo ni shida sana wewe kuhisi hata kwa
mbali nini Waislam wa Tanzania tunapitia.

Wala usipuuze na kubeza haya niandikayo.
Jitulize piga magoti muombe mungu wako mtake msaada akuongoze.

Muulize hivi Mungu na Yesu Kristo huyu Mohamed haya anenayo ni kweli
au ni mchochezi?

Mimi ni Mkristo. Rais wangu Muislam, Makamu wa Rais Muislam, Mkuu wangu wa Mkoa Muislam, Kamanda wangu Polisi wa Zone, Kova, Muislam, ZCO wangu Msangi, Muislam,... Sioni shida. Sioni tatizo. Haya, huku chama twawala, Mwenyekiti Taifa Muislam. Mwenyekiti wa Mkoa wangu, Mzee wa ARV feki, Muislam. Mwenyekiti wa wilaya yangu Muislam. Sioni tatizo. Sioni shida. Haya, nyumba ndogo yangu ni Muislam. Jana alinipikia pilau nzuri tu.

Tatizo ni wewe tu Mzee Mohamed. Unataka kutuvuruga. Unataka tuchukiane Watanzania kwa DINI zetu. Unazeeka vibaya.

Sitakujibu.
Ahsante sana.
 
Nisamehe Mzee wangu Mohamed kama maneno niliotumia yamekuudhi. Mimi pamoja na kutoka Bara, sinywi kilevi chochote. Nina ulevi wangu mwingine kabisa.

Ngoja nikuulize swali moja: Hivi siku wakija wapatanishi wakute Rais ni Muislam, Makamu wa Rais ni Muislamu, Mkuu wa Polisi Muislam, Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu. Upande wa pili wakukute wewe na Waislam wenzako. Hapa mtapatanishwa nini!

Tatizo si hilo.
 
Kuna Mabadiliko makubwa nayaona kutoka kwa Mzee Mohamed, kwenye ile minakasha miwili ya mwanzo, Mzee alikuwa hawezi kukubali lolote, lakini kwenye huu mjadala naona kuna upole na kuna kuadmit ukweli japo sio dhahiri lakini kwa wenye kumjua Mzee Mohamedi, tunaona shock na suprise ndani yake, kuna vitu hakuvitegemea kuwa watu wanavyo au wanavijua zaidi yake,
Tatizo lake liko palepale, sio kweli kama anatetea Wazee wote au Waislamu wote, yeye anatetea Wazee na waislamu wake wa Kariakoo, Wamanyema na Wanyamwezi (Majority), mwisho wa siku hata hao wanaomfuata watakuja kugundua Mzee Mohamed anasimamia nini, kama ilivyokuwa kwa FFox kwenye ule mnakasha wa Pili
 
Shida ni kutojua na kulielewa tatizo, lakini kwakuwa tumeishalielewa tulitafutie ufumbuzi badala ya kulalamika.
Kwakuwa tuna Chuo kimoja tu tujitahidi tuongeze kinginge, tena ikiwezekana Suni nao wajenge chao wakati wa uhamusho wakijenga sekondari kwa kasi ya ujenzi wa misikiti!.
Tukielimika sawa au zaidi yao (wakristo) tutaweza kuungoa mfumo Kristo.

TUNAWEZA MAANA UWEZO TUNAO TUNAKOSA MAAMUZI NA KUAMINIANA TU.
Hivi mlivyoweza kujikusanya kwa wingi uwanja wa taifa ili kuchangia TV Imaan, inashindikana nini kufanya hivyohivyo ili mchangie ujenzi wa vyuo/ shule? au shule/vyuo siyo kipaumbele cha waislam? Najiuliza hivyo maana kwa sasa uwezekano wa kufanya mambo hayo ni mkubwa zaidi kupita wakati ule tunapata uhuru...
 
Kuna Mabadiliko makubwa nayaona kutoka kwa Mzee Mohamed, kwenye ile minakasha miwili ya mwanzo, Mzee alikuwa hawezi kukubali lolote, lakini kwenye huu mjadala naona kuna upole na kuna kuadmit ukweli japo sio dhahiri lakini kwa wenye kumjua Mzee Mohamedi, tunaona shock na suprise ndani yake, kuna vitu hakuvitegemea kuwa watu wanavyo au wanavijua zaidi yake,
Tatizo lake liko palepale, sio kweli kama anatetea Wazee wote au Waislamu wote, yeye anatetea Wazee na waislamu wake wa Kariakoo, Wamanyema na Wanyamwezi (Majority), mwisho wa siku hata hao wanaomfuata watakuja kugundua Mzee Mohamed anasimamia nini, kama ilivyokuwa kwa FFox kwenye ule mnakasha wa Pili
Hata hawa wazee wake amewatumia kama "scapegoat" tu. Lengo lake kuu kabisa lilikuwa ni kumdhihaki, kumdhalilisha na kumuadhiri Mwalimu ili alipe kisasi cha babu yake wa Tabora kuwekwa lupango wakati wa utawala wake.
 
Hivi mlivyoweza kujikusanya kwa wingi uwanja wa taifa ili kuchangia TV Imaan, inashindikana nini kufanya hivyohivyo ili mchangie ujenzi wa vyuo/ shule? au shule/vyuo siyo kipaumbele cha waislam? Najiuliza hivyo maana kwa sasa uwezekano wa kufanya mambo hayo ni mkubwa zaidi kupita wakati ule tunapata uhuru...
Tunampango wa kuanza kuitumia TV Imani na Redio kuhamasisha uchangiaji wa vitu hivyo badala ya kuhubiri "Elimu Ahera" kwa sana maana sasa tuahitaji "Elimu Dunia" kuliko wakati wowote ule katika Historia yetu.
Na haya yatakuwa mafanikio makubwa.
 
Kumekuwa na waislam watatu waliongoza wizara hii. Juma Kapuya, Jumanne Maghembe na sasa Shukuru Kawambwa. Taarifa zako zinasemaje, na hawa wanapingwa na kanisa? Ni kwanini hawajagundua uoza aliogundua malima wakati zama hizi transparency ni kubwa na ni rahisi kuibua uoza kwenye wizara yeyote?

hawezi kukujibu anapenda kuwasingizia marehemu, walio hai hawezi ndugu yangu.
 
Mzee Mohamed Said,
Umekwenda kutoa maoni yako kuhusu KATIBA MPYA ijayo? Mzee Warioba anapaswa akupe nafasi maalum kama wanayopewa viongozi wetu wa sasa na wastaafu. Leo nilimwona mzee wa vijisenti akiingia pale!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom