Kwa hiyo kumbe mkiamua inawezekana!? Unaamini hii dhana ya kanisa kuwadhulumu waislam kama anavyosema mohamed said? Kama unaamini , inawezekanaje kanisa likashindwa kuwadhulumu waislam kwenye ujenzi wa kituo cha radio/television lakini liweze kwenye ujenzi wa vyuo?Tunampango wa kuanza kuitumia TV Imani na Redio kuhamasisha uchangiaji wa vitu hivyo badala ya kuhubiri "Elimu Ahera" kwa sana maana sasa tuahitaji "Elimu Dunia" kuliko wakati wowote ule katika Historia yetu.
Na haya yatakuwa mafanikio makubwa.
Nikweli kabisa ndugu yangu, tulivyoanza mnakasha huu alikuwa na morali ya juu na ujasiri wa kujibu kwakujiamini bila kujua anaojadiliana nao wanajua zaidi yake!Kuna Mabadiliko makubwa nayaona kutoka kwa Mzee Mohamed, kwenye ile minakasha miwili ya mwanzo, Mzee alikuwa hawezi kukubali lolote, lakini kwenye huu mjadala naona kuna upole na kuna kuadmit ukweli japo sio dhahiri lakini kwa wenye kumjua Mzee Mohamedi, tunaona shock na suprise ndani yake, kuna vitu hakuvitegemea kuwa watu wanavyo au wanavijua zaidi yake,
Tatizo lake liko palepale, sio kweli kama anatetea Wazee wote au Waislamu wote, yeye anatetea Wazee na waislamu wake wa Kariakoo, Wamanyema na Wanyamwezi (Majority), mwisho wa siku hata hao wanaomfuata watakuja kugundua Mzee Mohamed anasimamia nini, kama ilivyokuwa kwa FFox kwenye ule mnakasha wa Pili
Mzee Mohamed Said,
Umekwenda kutoa maoni yako kuhusu KATIBA MPYA ijayo? Mzee Warioba anapaswa akupe nafasi maalum kama wanayopewa viongozi wetu wa sasa na wastaafu. Leo nilimwona mzee wa vijisenti akiingia pale!
na ufisadi je, nao ameurithi kwa julius? Namchukia kikwete kwa sababu ni fisadi aliyekubuhu!
bwana mdogo acha hizo!
Kama wewe unamtegemea moh said kama source of knowledge basi hiyo ni juu yako. Usifikiri kuwa wote hapa ni vijana wadogo wanaosikiliza hizo simulizi kwa mara ya kwanza. Fyi, tumeisha pambana naye sana hapa katika miaka hii mitatu. Tafuta thread zake za nyuma, utatukuta. Halafu kuwa na adabu kidogo kama alivyo moh said kwenye mnakasha, vinginevyo nenda kacheze chandimu kama alivyokushauri nguruvi3.
ameurith kwa mkapa,mbona ya mkapa huyasemi?
Au kwa kuwa mkristu mwenzako??
Haya twende sasa,si unataka tuelekee huko?
Liwalo na liwe,
hebu endelea mkuu, na mkapa aliurithi toka kwa nani?
mwambie yeye jasusi aendeleze hiyo series mwisho tutafikia tamati tuh.
Kama anamchukia kikwete kwa sababu ya ufisadi,tumuulize vema sasa,ufisadi umeanzia kwa kikwete ama kwa mkapa?madudu haya tumeanza kuyaona kwa mkapa,
sasa anamchukia kikwete pekeake na mkapa anamwacha ili hali lao ni moja ni haki?
Kikwete = fisadi,
mkapa = fisadi,
kikwete = muslim,
mkapa = christian,
by using calculus to differentiate or to intergrate kikwete with respect to mkapa in the case of ufisadi utapata jibu??,,dy dx utapata jibu la aina gani??
Utakuja kuona mkapa na kikwete kumbe wote ni mafisadi,ila hamchukii mkapa kwa kuwa ni mkristu mwenzake na amesema anamchukia kikwete kwa sababu kuu moja tuh,nayo ni uislamu wake.
Hence proved..!!
blame never affirms, it assaults.
Blame never restores, it wounds.
Blame never solves, it complicates.
Blame never unites, it separates.
Blame never smiles, it frowns.
Blame never forgives, it rejects.
Blame never forgets, it remembers.
Blame never builds, it destroys.
mjadala umepoa sana!
kwa sababu tunasubiri 'hotuba' ya nyerere kwa njia ya sauti
tuliahidiwa tangu jana kwamba itawekwa lakini kimya mpaka sasa
nimepata tetesi anatafutwa kijana mmoja anaitwa steve nyerere,
huyu ni mzuri sana wa kuiga sauti ya marehemu nyerere.
kama akipatikana,itakuwa rahisi hiyo 'hotuba kuwekwa hapa ukumbini.
Hii ni ahadi ya pili ambayo mpaka sasa haijatekelezwa.
Ya kwanza ni ile iliyoahidiwa na ndugu anayedai ni 'mtoto' wa marehemu nyerere, Yericko Nyerere,
kwamba ataweka majina ya waasi waliosamehewa na nyerere na kupewa vyeo na ubalozi.
Ahadi zote hazijatekelezwa
Njia ya muongo ni fupi sana,
tunaendelea kusubiri,tutaendelea kukumbusha
cc Barubaru THE BIG SHOW mv butiama rizt kichwakigumu
Na alikuwa katibu wa tawi la AA Tabora kwa mujibu wa kitabu cha Mohamed Said. AA ilianza kabla ya TAAMohamed akasema wameachwa wajifie na kuzikana wenyewe, mwaka 2012 Dr V.Kyaruzi amefariki sijui kama Kikwete alihudhuria! Mzee wa watu naye alijifia kama alivyojifia A.Sykes. Kikwete naye kama Nyerere ni dhalimu kwa mantiki hiyo!Tena eti Nyerere aliyasema mbele ya wazee wa Dar es salaam!
Kasema Nyerere alikuwa anaogopa kupoteza kazi alizopewa na kanisa. Lakini leo tunajua kuwa alinza kulikaidi ''kanisa'' na ukoloni akiwa Makerere, Mwalimu Tabora, Edimburgh na Pugu kabla hajafundishwa kula chapati na kuvaa suruali kariakoo.Tena tumefahamu kuwa si wazee wa kiislam hata wasiokuwa na imani nao walimfanyia tambiko, ushahidi kuwa kupigania uhuru ilikuwa kero ya kila mmoja wetu.Hajawahi kutaja jina hata moja la 'radical' lakini anamtuhumu Nyerere kumuondoa Sheikh Amir. Unless atutajie ma-radical tutabaki kuamini kuwa Sheikh Amir ndiye kiongozi wao na kwanini Nyerere amvumilie hata baada ya kupata uhuru? Majaribio mawili hivi mohamed alitaka yafanyike mangapi ili uungwana wa Nyerere uonekane? Tutajie radicals Mohamed kama hawapo withdraw hiyo statement kwasababu utakuwa uzushi.
Mkuu hapa Mohamed hana nafasi yakupata uzima wa milele, sisi tudajitahidi kwa kazi moja tu ya kuwarudisha kundini wale waliopotoshwa na Mzee Mohamed Said kwa ngano zake!
hapa hachomoki
ameurith kwa mkapa,mbona ya mkapa huyasemi?
Au kwa kuwa mkristu mwenzako??
Haya twende sasa,si unataka tuelekee huko?
Liwalo na liwe,
asante mimi ni mmoja wapo mmeniokoa kutoka kwenye histohisia.. Nilitekwa na ngano zake mnamo 14/12/12 kwenye kumbukumbu ya mwl nyerere kupitia kupindi cha "mwangaza wa jamii" radio imaan; hakika nilimuona mwl nyerere na sisi wakristo ni wabaya sana.
Nashukuru mnakasha huu umenifungua macho;
nguruvi3 alikwambia nenda ukacheze chandimu nikahisi amekuonea.. Sasa naamini maneno yake.
Nadhani hapa Ngongo anasema "tongue in cheek." Anajua ni nani aliyeuza ule uwanja:-Hivi unatumia akili kweli au hisia za kiimani mkuu?
Hebu tuthibitishie madai yako hayo!