Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

ameurith kwa mkapa,mbona ya mkapa huyasemi?
Au kwa kuwa mkristu mwenzako??
Haya twende sasa,si unataka tuelekee huko?
Liwalo na liwe,

Fuatilia threads zangu nyingi hapa JF. Nimekuwa mtu wa kwanza hapa JF kumwita Mkapa Judas Iskariot. Nimekuwa mstari wa mbele kulaani ufisadi wa Mkapa. Hayo mambo ya ukristo na uislamu yanakusumbua wewe tu. I am above that.
 
Hii thread imenifanya niwe open minded.
Siwezi kudharau pande zote mbili za Nyerere na Mohamed Said.
Labda kuna ukweli kwenye baadhi ya mambo tusiyoyajua.

Kama Mtanzania nina haki yakujua historia ya nchi yangu.
 
Hawa ndiyo Waislam wa kweli wanaposikia Qur'an nyoyo zinaathirika.
Na tunao Waislam wa Bakwata.

Kweli unahukumu "Uislamu" wa mtu kwa kulia? Hivyo wale ambao hawakutoa machozi siyo Waislamu wa Kweli? Halafu hii ya wewe kuamua Hawa ni Waislamu wa kweli na wale wa si wa kweli a.k.a wa Bakwata unapata wapi haki hiyo? Mnyezi Mungu peke yake anaijua mioyo ya watu... Uislamu siyo kulia... Nyerere alilia katika simulizi lako na akiwa kati ya Waislamu kulimfanya yeye kuwa Muislamu?
 
Mzee Mohamed Said,
Umekwenda kutoa maoni yako kuhusu KATIBA MPYA ijayo? Mzee Warioba anapaswa akupe nafasi maalum kama wanayopewa viongozi wetu wa sasa na wastaafu. Leo nilimwona mzee wa vijisenti akiingia pale!
Mkuu WC, mzee huyu muovu hawezi kwenda huko kwani lengo lake sio ukweli, lengo lake ni kuwajaza chuki vijana wa kiislam dhidi ya kile anachoamini yeye ni makosa ya Nyerere!
 
Jamaa ni bingwa wa kuhukumu, fikra zake ni sahihi kuliko hata mungu aliye juu mbingiuni
 

Hapana haja ya kufika huko.
Chukulia kama simulizi tu.

Hiyo ni bahari nyingine.
 

Ndugu yangu.

Hayo yote ya nini?

Mimi nimekieleza kisa cha BAKWATA kama nilivyokielewa na
nimesema nimetumia nyaraka za Bilal Bilal Waikela pamoja na
mahojiano nilofanyanaye.

Waikela alikuwa katika Kamati ya Usuluhishi ya EAMWS chini ya
Mussa Kwikima wakati wa mgogoro ule 1968.

Waikela ni muasisi wa TANU Tabora 1955 alikuwa katibu wa EAMWS
Western Province.

Nukuu za Sivalon na Bergen nimezitumia.
Kwangu mimi haya yote yanatosha.

Simo humu kushinda ubishi bali kueleza yale ya upande wa Waislam ili
dunia nayo itusikie upande wetu.

Dunia ndiyo itakuwa mwamuzi.
 
Yeye bado anaamni sisi hatujui, anaipinga hata hotuba ya Mwalimu Nyerere,

Tunamletea mda si mrefu hotuba hiyo kwa njia ya Sauti na tukifaulu tutampa ya Video!

Hapana sababu ya vitisho.
Insha Allah mimi nipo hapa jamvini.

Nasubiri.
 

Hivi wewe dude mbona kila mahali umo? ikizungumzwa Uislamu umo! ukristo umo! umajusi umo! hee! siasa za Zanzibar umo! hee!
 

Nyerere unapenda sana kuandika.
 
Mohamed Said,

..sasa naona kama unatunyima ELIMU.

..kama WANAFUNZI wako wanakwambia u-prove madai yako, basi wewe kama MWALIMU unapaswa kuwasilisha sources zako ili kutetea conclusions zako.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

..sasa naona kama unatunyima ELIMU.

..kama WANAFUNZI wako wanakwambia u-prove madai yako, basi wewe kama MWALIMU unapaswa kuwasilisha sources zako ili kutetea conclusions zako.

Sisi kuleta ithbati ya dhulma tulofanyiwa huko tushapita.
Tuko katika matayarisho mengine kabisa.

Ikiwa wanataka nitoe darsa kwa yale wao hawakuwa wanayajua
niko tayari Insha Allah.
 
Hapana sababu ya vitisho.
Insha Allah mimi nipo hapa jamvini.

Nasubiri.

Wapi umetishiwa mkuu?

Naomba kujua kama umeiafiki kuwa ile ni hotuba halisi ya Mwalimu Nyerere yakuliaga taifa aliyoitoa mbele ya wa wazee wa Dar?
 
Sisi kuleta ithbati ya dhulma tulofanyiwa huko tushapita.
Tuko katika matayarisho mengine kabisa.

Ikiwa wanataka nitoe darsa kwa yale wao hawakuwa wanayajua
niko tayari Insha Allah.
Mohamed Said,

..OK nimekuelewa, pamoja na kwamba sikubaliani na uamuzi/mtizamo wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…