He he he !kumbe kila ambaye hakuwahi kuwa mwana jf anafaa kuzikwa na mawazo yake!Huyo aliwahi kuwa mwanachama wa jf?
Pasco,Mkuu Mzee Mwanakijiji, hapo kwenye bold naomba kutofautiana na wewe kidogo, kwa vile Maalim Mohamed Said is "a man with a mission" lengo lake likiwa ni kueneza uwongo, uzushi, uchanganishi, fitna, uchochezi in the name of Islam, na hii thread mpaka sasa imesomwa na watu 22,482, na kuchangiwa na watu 2,185!, hayo ni mafanikio makubwa sana kwa "a man with a mission", ni kama amadurufu copy nyingine 20,000 za kitabu chake cha uzushi, uchochezi na uchonganishi, ndio maana this time he is more happy kila akipata mwanya alikuwa anazidi kumwaga sumu!. Japo tumemkosoa sana, ila pia amefanikiwa kupata uungwaji mkono mkubwa tuu ikiwa ni pamoja na ku recruit some few diciples ambao wanaamini hii ni vita ya Jihad, na ndio hawa ambao watakuwa tayari kufanya lolote in the name of Islam!, hivyo amefanikiwa sana!. The more we post, the more he gets, and this makes him very successful and very happy!.
Dawa pekee ni ku denounce andiko lake kwa andika la ukweli. Kama amezaliwa 1952, mwaka huu he is 61!, nashauri kazi hii ifanyike mapema akingali hai, ili ashuhudie ule uwongo wake ukiwa defeated akingali hai na uwe screped from literacy books such that ikifika jioni yake wakati wa kulala, "he should sleep a miserable man indeed!". If he sleeps anytime now kabla hatujafanya kitu, "he'll sleep a happy man!" and "a hero wa Wazee wa Darisalama!".
Pasco.
Mwanaharakati,Sio kutekwa unatakiwa ufuatilie nenda hadi DODOMA kwenye hazina ya taifa usome kama upo Dar nenda maktaba uombe zile adidu za rejea zake uzisome ule ububusa wa kusoma kitu na kupuuzia au kukisemea ndio unao turudisha nyuma.
Mengi anayo yaandika ni ukweli mtupu
He he he !kumbe kila ambaye hakuwahi kuwa mwana jf anafaa kuzikwa na mawazo yake!
by the way, una lolote jipya kutoka kwenye familia ya nyerere?!
Mohamed Said said:The speech was a farce.
The truth is that three decades after independence Muslim are not better off than they were under colonialism.
Sivalon has revealed that the Church has been able to create its own lobby which controls 75% of the seats in the parliament.
Among these seats 70% are held by Catholics and the rest are divided among Muslims and Christian denominations.[3]Moh Said na yeyote anayekubaliana nawe:
Hiyo statement in blue, ni maneno yako mwenyewe kwenye kitabu "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924-1968)"
Ni statement nzito sana.
Hivi hiyo TRUTH uliipatapataje? Ni kwa kutegemea maandishi ya Sivalon aliyokuwa ameandika several years before?
HIvi ni kweli kuwa hali za waislam (na waislam pekee) wakati ulipooandika kitabu, au wakati Nyerere alipotoa ile speech, zilikuwa mbaya kama wakati wa ukoloni? Je katika utafiti wako (kama ulifanya utafiti) uliwaangalia waislam na wasio waislam wa mijini na vijijjini na kufanya mlinganisho?
Moh Said, nilikuuliza hili swali huko nyuma. Hukunijibu. Au halina tija na umeli-ignore? Au huna ujuzi nalo?
Vipi umesahau kama tulikuwa tukijibishana toka posti ya kwanza?Soma uzi huu na kila post kuanzia ile ya kwanza kabisa!
Vipi umesahau kama tulikuwa tukijibishana toka posti ya kwanza?
Aliyoyapata Mohamed Said kutoka wa wazee wake mengi amechangia nasi hapa...je wewe unayetaka kuchangia katika uandishi wa Historia ya Tanzania una lolote jipya kutoka kwenye familia ya nyerere au ni yaleyale ya "Sheikh issa bin Ameir" na "kusamehewa" huku wakipewa vyeo wale waliotaka kumpindua Nyerere?
Mzee Mohamed,Hapana mnajua sana lakini si katika masafa ya kutegemewa.
Unaponiambia kuwa mnataka Nyerere Foundation ikupe msaada...
Wewe huwezi kulijua hili.
Mimi nimetoa nyaraka na picha kwa Mwalimu Nyerere Foundation kupitia
msaada wa Ford Foundation.
Mkurugenzi wake aliyekuwa Nairobi alikuwa ananijua.
Yule kijana wa Kimarekani aliyekuja kuisaidia Mwalimu Nyerere Foundation kuanza
pia akinijua toka Marekani kwa ajili ya kitabu changu.
Hizo nyaraka hazikutakiwa wala picha nilizowapa.
Nina mengi sana.
Ndiyo nasema nimepata simanzi na hamu ya mnakasha imenitumbukia nyongo.
Hao wote mnaotafuta msaada kwao wa kuandika historia...
Afadhali wanaukumbi wanawezaweza...
tunabishana kwa hoja na sio kwa matusi..big show, you are a stiff naked fool, you can't stand on you own feet! P/se keep away your stinking mouth!
Mzee Mohamed,
Pengine unadhani uko daraja la peke yako katika kuifahamu historia ya nchi hii kwa kuwa tu wengine hatujaandika simulizi za wazee wetu tukaziegesha kwenye DINI zao. Unakosea sana. Huku kujikweza huku hata Mtume Mohamad (S.A.W) alikukataa sana asije akawa kama Issa bin Mariam.
Wewe Tanganyika unayoifahamu ni Kariakoo na sehemu chache za Wazee wako hawa. Historia unayoifahamu ni hii inayowazunguka wazee wako hawa. Sijui na wala sina hakika kama unamfahamu Mwalimu kuliko wale wazee wa MNF akina Butiko, SAS au akina Issa Shivji wa Kigoda cha Mwalimu.
Kaa utulie tukuwekee sawa historia ya nchi hii ambayo haitakuwa na UDINI kama hii ya kwako. Kaa utulie tukutafutie historia moja ya nchi hii ambayo wazee wako waliitengeneza kwa umoja wao bila kuingiza DINI na MAKABILA yao.
Mwalimu kaacha hotuba nzuri na nyingi sana zinaeleza kwa ufasaha tulikotoka. Hakuingia kichwakichwa kwenye harakati za kudai uhuru wa nchi hii. Aliingia kule kama msomi aliyekuwa amekamilika na M.A yake . Sielewi ni wangapi wakati ule ndani ya TAA na baadae TANU walikuwa na kiwango hiki au sawa na hiki.
Umeonyesha kuwa unataka kusaidia kushiriki katika uandishi wa Historia ya Tanzania, unafikiri mimi KAMA Mtanzania sina haki ya kukujua vizuri?Kujibizana sio kitu cha msingi wa mang'amuzi, ninachoshauri ni kusoma uzi na kuzipitia post zote kwa ufasaha zaidi!
Utagundua jambo jipya, hebu fanya hivyo nduugu!
Ahsante sana, si yericko wala Jericho ataeweza kujibu haya bila kujikanyaga.
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
natamani wazee wa tanu watoke wakanushe na sio hawa waliosomeshwa na pesa zetu walipa kodi kupitia mradi wa kifisadi wa kanisa (mou). Hawajui chochote badala ya jazba
Umeonyesha kuwa unataka kusaidia kushiriki katika uandishi wa Historia ya Tanzania, unafikiri mimi KAMA Mtanzania sina haki ya kukujua vizuri?
Hata! unataka kushiriki kuiandika Historia ya nchi yangu hivyo ni haki yangu nikujue.Hehee kunijua mimi haihitaji vikao vya kitaifa,
Tujadili yanayohusu mstakabali wa historia ya Taifa letu!
Tangu mjadala huu umeanza hujatoa hoja hata moja zaidi ya kubwabwaja ujinga wa kumuunga mkono huyo mzee wako muovu na zandiki Mohamed Saidi. Uovu wenu hautaleta tija yoyote katika nchi hii!tunabishana kwa hoja na sio kwa matusi..
Ritz, hakuna ilmu yoyote katika uchochezi wa huyo kibabu wenu Mohamed Saidi! na mshangaa sana hata anapomtaja Mungu katika maswala yake ya chuki na uovu wake!Hii inakumbusha kesi ya Charlers Taylor, The Hague.
Jaji Lussick: Mshitakiwa Charles Taylor, unapaswa kuieleza mahakama hii tukufu, una maanisha nini kusema mahakama ina makengeza? Mahakama ina macho?
Charle Taylor: Mheshimiwa sina maana kwamba mahakama ni kipofu; ila ina makengeza haina macho, mahakama ina "double standards" yaani upendeleo haiwaoni Wazungu.
Makosa ya Ritz, kukubaliana na michango ya Mohamed Said. Ni kosa lakini ukipingana naye siyo kosa.
Tulizana punguza jazba utachota ilmu.
Hata! unataka kushiriki kuiandika Historia ya nchi yangu hivyo ni haki yangu nikujue.
Nijibu kwanza una lolote jipya kutoa kwenye familia ya Nyerere? una uhusiano gani na Julius Nyerere?
Mods nisaidieni kumfanya huyu mtu anijibu maswali yangu yanayoihusu nchi yangu na ya wengineo.
Nitashiriki kuandika historia ya nchi yangu kama mtanzania, hivyo nifahamu kama mtanzania.Hata! unataka kushiriki kuiandika Historia ya nchi yangu hivyo ni haki yangu nikujue.
Nijibu kwanza una lolote jipya kutoa kwenye familia ya Nyerere? una uhusiano gani na Julius Nyerere?
Mods nisaidieni kumfanya huyu mtu anijibu maswali yangu yanayoihusu nchi yangu na ya wengineo.