Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu Ritz Maswali,

[1] Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza Dar mwaka gani ?

[2] Alipokwenda UNO safari ilianzia wapi ?.

[3] Nani aliandaa hotuba Nyerere aliyoitumia UNO ?.

[4] Ni wazi Mwl Nyerere kipindi anakutana na wazee wa Dar alishapita Makerere,Edimburgh.Je kitongoji cha Gerezani kilikuwa na ustaharabu kuliko wakaazi wa Jiji la Edimburgh na Makekere ?.

Mkuu Ngongo,

Nimekujibu safari ya Nyerere kwenda UNO ilianzia Dar es Salaam ambako ndiyo yalikuwa makao makuu ya TANU. Tarehe 17 Feb 1955.

Nyerere alirudi kutoka New York tarehe 19 Mach, 1955 siku ya pili TANU ilifanya mkutano wa hadhara Mnazi Moja mzee aliniambia haukupata kutokea umati wa watu zaidi ya watu 40,000 walihudhuria.

Mimi nayafahamu hayo kama na wewe utatufahamisha hayo mengine itakuwa vizuri watu tujifunze kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF, tulianzia mbali...huyu hapa chini ni cousin wake zomba akiyatamka haya humu humu JF, nadhani kuna uwezekano wengi wakati huo hamkuwa mmejiunga na jamvi hili ila JF kwa kumbukumbu! Usidanganyike ukafikiri uko kwenye zile blogu za uswahilini. Shuhudieni cousin wake zomba akimpa somo Mohamed Said hapo zamani kidogo...kweli tulianzia mbali!

Hivi sasa zomba mwenyewe yuko humu ndani na bila haya wala aibu eti anamfagilia Mohamed Said, anatetea simulizi alizopewa na wazee wake Manyema na Wazulu...je, amewatupa wenyeji...hamnapo hakunapo! Dunia kweli mviringo.

Aandike mwingine ahukumiwe Zomba, nikikuita punguani ntakuwa nimekosea, nakusameh tu. Hata tungekuwa mapacha licha ya cousins usingethubutu kunihukumu, nihukumu kwa ninayoyaandika, kama huna, kaa kimya na uwache ufataani.

Huo mjadala ulikuwa na chanzo chake, mbona hukikumbushii na post iliyokuja ikawekwa aya ya Qur'an ndivyo sivyo ikafutwa haraka haraka ili kosa lisiwepo, mbona yote huyasemi?

Hilo lilikuwa darsa la kwanza kwa Mwanakijiji na Darsa lingine jana. Unalo?
 
wewe wasema, lakini usemi wako si torati wala msahafu!

ebo..!
Huna adabu kabisa,wewe si ndie kinara wa kumkejeli ndugu moh said na kumdhihaki kuwa ni mchochez wa kidini kisa kaandika historia ya wazee wake iliyofichwa na yeye akasimama kidete kuifichua na kuelezea uhalisia??sasa wewe kinachokukera hasa ni kipi??mimi sikuachi,tena nakomaa nawewe kwa faida ya wanaukumbi wote,utujuze hapa..,

1.yericko nyerere..!,,how?kivipi?nyerere ni nani yako??

2.moh said ni mchochez wa kidini kwa kuandika historia ya wazee wake iliyofichwa,sawa tunakubali kutokana na maono yako,swali kwako sasa,,

wewe nyerere ni mzee wako kwa namna gani hadi unafikia kuthubutu kuja kuandika historia sahihi kuhus yeye?umebahatika kuish nae kwa ukaribu?kivipi?ni nani yako?babu,mjomba,au nani yako??

3.umesema julius ni mtakatifu..!afanalekii..,
ameutoa wapi huo utakatifu?kipi alichokifanya cha kuzid hadi leo uje kutamka waz waz na kumvisha utakatifu??

Yericko nyerere,wewe ni mtoto wa ngapi wa julius?je ni kwa mama maria au kwa mama yupi?

Kama huna asili ya damu na julius,je huoni ya kwamba ni ulimbukeni kujivisha unasaba usiokuhusu?

what a shame...!!

Aandike mwingine ahukumiwe Zomba, nikikuita punguani ntakuwa nimekosea, nakusameh tu. Hata tungekuwa mapacha licha ya cousins usingethubutu kunihukumu, nihukumu kwa ninayoyaandika, kama huna, kaa kimya na uwache ufataani.

Huo mjadala ulikuwa na chanzo chake, mbona hukikumbushii na post iliyokuja ikawekwa aya ya Qur'an ndivyo sivyo ikafutwa haraka haraka ili kosa lisiwepo, mbona yote huyasemi?

Hilo lilikuwa darsa la kwanza kwa Mwanakijiji na Darsa lingine jana. Unalo?

kaka,

tuendelee na mnakasha... mambo ya maiti sidhani kama ni pahala pake

we are steering away from the true premise of this argument, dont u think?
 
Mkuu Ritz shukrani sana ingawa umejibu swali moja tu kati ya maswali manne.

Mkuu Ngongo,

Nimekujibu safari ya Nyerere kwenda UNO ilianzia Dar es Salaam ambako ndiyo yalikuwa makao makuu ya TANU. Tarehe 17 Feb 1955.

Nyerere alirudi kutoka New York tarehe 19 Mach, 1955 siku ya pili TANU ilifanya mkutano wa hadhara Mnazi Moja mzee aliniambia haukupata kutokea umati wa watu zaidi ya watu 40,000 walihudhulia.

Mimi nayafahamu hayo kama na wewe utatufahamisha hayo mengine itakuwa vizuri watu tujifunze kutoka kwako.
 
Last edited by a moderator:
Wewe hukuwepo? hukuona? hakuna dhihaka hapo, historia ibaki kuwa historia ya ukweli. Ngoja nikukumbushe, kwanza iliwekwa maiti ya nyerere bila kioo, baada ya siku mbili kukaanza kujaa nzi wakifata harufu iliyokuwa ikitoka na wapo watu waliokwenda huko waliinusa hiyo harufu, likatengenezwa banda haraka haraka kusitiri hali. Jee, tusi au kejeli liko wapi hapo? ni mambo ya kawaida yaliyotokea.

Pale (uwanja wa taifa) paliwekwa maiti ya nyerere kuagwa, kiwiliwili kisichoona, wala kusikia, wala kuhisi na maiti ikikikaa bila kustiriwa huharibika na ndio maana huwa wengine wanazika na wengine wanachoma moto. Nini cha ajabu au mliloliona nyinyi kubwa sana na ilhali ni ukweli usiopingika?
Unaongopa zomba hadi basi! Unachukia mtu hadi maiti yake!
 
ebo..!
Huna adabu kabisa,wewe si ndie kinara wa kumkejeli ndugu moh said na kumdhihaki kuwa ni mchochez wa kidini kisa kaandika historia ya wazee wake ilifichwa na yeye akasimama kidete kuifichua na kuelezea uhalisia??sasa wewe kinachokukera hasa ni kipi??mimi sikuachi,tena nakomaa nawewe kwa faida ya wanaukumbi wote,utujuze hapa..,

1.yericko nyerere..!,,how?kivipi?nyerere ni nani yako??

2.moh said ni mchochez wa kidini kwa kuandika historia ya wazee wake iliyofichwa,sawa tunakubali kutokana na maono yako,swali kwako sasa,,

wewe nyerere ni mzee wako kwa namna gani hadi unafikia kuthubutu kuja ya kuja kuandika historia sahihi kuhus yeye?umebajatika kuish nae kwa ukaribu?kivipi?ni nani yako?babu,mjomba,au nani yako??

3.umesema julius ni mtakatifu..!afanalekii..,
ameutoa wapi huo utakatifu?kipi alichokifanya cha kuzid hadi leo uje kutamka waz waz na kumvisha utakatifu??

Yericko nyerere,wewe ni mtoto wa ngapi wa julius?je ni kwa mama maria au kwa mama yupi?

Kama huna asili ya damu na julius,je huoni ya kwamba ni ulimbukeni kujivisha unasaba usiokuhusu?

what a shame...!!

kaka big show, assalam alykum

nimemnukuu aidha kwenye page hii au page iliyopita, kasema kuwa Mwalimu "ni kama baba yangu mzazi"

nimemuuliza, kwa kusema ni kama baba yako mzazi, je kitu gani au mahosiano gani yanakufanya mpaka aseme hivo

kimya mpaka sasa
 
Unapokejeli hadi maiti iliyo sandukuni kunakuwa na haja ya kupimana akili. Mohamed Said hana nondo mpya tena zaidi ya historia hii ya wazee wake.

Hiyo kejeli i wapi? ni mimi niliyoyaandika na yalitokea. Ulikuwepo au ulisikia au uliona? hata useme ni kejeli? mimi nilikuwa natazama kwenye tv na nilichokiandika ndicho nilichokiona. Jee, wewe?
 
Zomba, system at work

Hilo ni kosa la kulambwa ban kama moderators wanakuona, huwezi kuchakachuwa post ya mtu kwa kubadili maneno, huo ndio mchezo mnaoujuwa. Chakachuwa na hii:

quote_icon.png
By zomba

Aandike mwingine ahukumiwe Zomba, nikikuita punguani ntakuwa nimekosea, nakusameh tu. Hata tungekuwa mapacha licha ya cousins usingethubutu kunihukumu, nihukumu kwa ninayoyaandika, kama huna, kaa kimya na uwache ufataani.

Huo mjadala ulikuwa na chanzo chake, mbona hukikumbushii na post iliyokuja ikawekwa aya ya Qur'an ndivyo sivyo ikafutwa haraka haraka ili kosa lisiwepo, mbona yote huyasemi?

Hilo lilikuwa darsa la kwanza kwa Mwanakijiji na Darsa lingine jana. Unalo?
 
Mkuu Ritz shukrani sana ingawa umejibu swali moja tu kati ya maswali manne.

Mkuu ngogo,

Tatizo kubwa hakuna mahali historia yetu ilipoandikwa. Unajua habari yeyote kuhusu Japhet Kirilo alipokwenda UNO kuwakilisha madai ya mgogoro wa ardhi ya Wameru unipe kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni kosa la kulambwa ban kama moderators wanakuona, huwezi kuchakachuwa post ya mtu kwa kubadili maneno, huo ndio mchezo mnaoujuwa. Chakachuwa na hii:
?

Punguza matusi! Kama kweli wewe ni mtu mzima.
 
...Hii tabia ya watu kujifanya watetezi wa jamii fulani sasa imekuwa kama mtaji wa kutokea. Baada ya 'Mwembechai Killings', prof. Njozi sasa ni VC wa Muslim University Morogoro(MUM)-ameula, ukilinganisha na nafasi aliyokuwa nayo UDSM. Kwa sasa yupo kimya-hakuna 'maajabu' yoyote aliyoyafanya MUM yanayoendana na kariba yake, badala yake tunaona vyuo vingine vidogo kama SJUT vikikua na kufungua campus sehemu mbali mbali nchini. Njozi yeye bado yuko Moro na MUM yake!

Njozi ameshatoka, sasa ni zamu ya Mohamed Said. Huyu anafaidika kwa namna mbali mbali, mojawapo kubwa ni kuuza kutangaza na kuuza kitabu chake-ndiyo maana hachelewi kukushawishi ukisome kitabu chake. Pia anafagilia namna kinavyotumika Ulaya. MS anajua kwamba kama itatokea nafasi ya serikali kujadiliana na waislamu, basi naye atakuwemo na hivyo kufaidi binafsi kama ilivyokuwa kwa Njozi.

Kadiri maisha yanavyozidi kuwa magumu, tutaendelea kuona harakati za aina mbalimbali. Harakati za MS na wengineo, hazina tofauti na za Mungiki-you create terror, you create wealth! Leo tunaona harakat za kidini,kesho zinakuja harakati zitakazowaunganisha watu maskini,n.k. Suala la Mtwara ni mfano mzuri, na Mtwara kwa sasa haina kiongozi. Umejiuliza hali itakuwaje akijitokeza 'kiongozi' wa wana kusini? Patachimbika!

Mwisho, wakati tunalia wakristo 'kuwadhulumu' na 'kuwahujumu' waislam, hakuna hujuma na dhuluma kubwa kupita ya ukoloni na ukoloni mamboleo. Humsikii MS akiwalaumu waarabu wala wazungu maana wanampa chakula-wanamkaribisha kwenye mihadhara na kumpatia fedha. Sio kwamba wazungu wanampenda MS au wanaamini kazi aliyoifanya-they believe in keeping their friends close and their enemies closer! Mtu anayechukia ukristo kwa kiwango cha MS hawezi kuwa rafiki wa wazungu. Wazungu hawapendi extremism kwenye dini-they have learnt the hard way!

Kama kweli si ni wazalendo, tuhoji tunafaidika vip na maliasili yetu kama wanavyofanya wanamtwara. Nani anayesaini mikataba ya Mangungo gizani? Kwanini hatujulishwi tutafaidika nini na vip na uwekezaji? Tukihoji maliasili yetu inavyotumika tunaweza hata kuondoa 'imbalances' ktk jamii kama zipo, sio kwa kulilia yaliyopita, tena kwa upotoshaji!
 
kaka,

tuendelee na mnakasha... mambo ya maiti sidhani kama ni pahala pake

we are steering away from the true premise of this argument, dont u think?

You are right. Turudi kwenye mjadala.

Jee, ulikuwa unafahamau kabla ya kumsoma Mohamed Said kuwa Nyerere alikaribishwa na kuwekwa nyumbani kwa kina Sykes hapo mtaa wa Stanley, na mama'ke Abdul ndiye alikuwa akifuwa nguzo za Abdul na Nyerere pamoja?

Mimi nilikuwa siyajui hayo kabla ya kumsoma Mohamed Said, huoni kuwa historia kama hiyo ina maana kwa vizazi vijavyo kuijuwa na Mohamed Said anastahili kila sifa kuichimbuwa na kuiweka wazi tena kitaalam kabisa?
 
Mkuu ngogo,

Tatizo kubwa hakuna mahali historia yetu ilipoandikwa
. Unajua habari yeyote kuhusu Japhet Kirilo alipokwenda UNO kuwakilisha madai ya mgogoro wa ardhi ya Wameru unipe kidogo.

Kama unakubali kwamba hakuna mahali historia yetu imeandikwa, mbona unashabikia msimamo kwamba waislam wamesahauliwa makusudi na historia ya nchi hii?
 
...Hii tabia ya watu kujifanya watetezi wa jamii fulani sasa imekuwa kama mtaji wa kutokea. Baada ya 'Mwembechai Killings', prof. Njozi sasa ni VC wa Muslim University Morogoro(MUM)-ameula, ukilinganisha na nafasi aliyokuwa nayo UDSM. Kwa sasa yupo kimya-hakuna 'maajabu' yoyote aliyoyafanya MUM yanayoendana na kariba yake, badala yake tunaona vyuo vingine vidogo kama SJUT vikikua na kufungua campus sehemu mbali mbali nchini. Njozi yeye bado yuko Moro na MUM yake!

Njozi ameshatoka, sasa ni zamu ya Mohamed Said. Huyu anafaidika kwa namna mbali mbali, mojawapo kubwa ni kuuza kutangaza na kuuza kitabu chake-ndiyo maana hachelewi kukushawishi ukisome kitabu chake. Pia anafagilia namna kinavyotumika Ulaya. MS anajua kwamba kama itatokea nafasi ya serikali kujadiliana na waislamu, basi naye atakuwemo na hivyo kufaidi binafsi kama ilivyokuwa kwa Njozi.

Kadiri maisha yanavyozidi kuwa magumu, tutaendelea kuona harakati za aina mbalimbali. Harakati za MS na wengineo, hazina tofauti na za Mungiki-you create terror, you create wealth! Leo tunaona harakat za kidini,kesho zinakuja harakati zitakazowaunganisha watu maskini,n.k. Suala la Mtwara ni mfano mzuri, na Mtwara kwa sasa haina kiongozi. Umejiuliza hali itakuwaje akijitokeza 'kiongozi' wa wana kusini? Patachimbika!

Mwisho, wakati tunalia wakristo 'kuwadhulumu' na 'kuwahujumu' waislam, hakuna hujuma na dhuluma kubwa kupita ya ukoloni na ukoloni mamboleo. Humsikii MS akiwalaumu waarabu wala wazungu maana wanampa chakula-wanamkaribisha kwenye mihadhara na kumpatia fedha. Sio kwamba wazungu wanampenda MS au wanaamini kazi aliyoifanya-they believe in keeping their friends close and their enemies closer! Mtu anayechukia ukristo kwa kiwango cha MS hawezi kuwa rafiki wa wazungu. Wazungu hawapendi extremism kwenye dini-they have learnt the hard way!

Kama kweli si ni wazalendo, tuhoji tunafaidika vip na maliasili yetu kama wanavyofanya wanamtwara. Nani anayesaini mikataba ya Mangungo gizani? Kwanini hatujulishwi tutafaidika nini na vip na uwekezaji? Tukihoji maliasili yetu inavyotumika tunaweza hata kuondoa 'imbalances' ktk jamii kama zipo, sio kwa kulilia yaliyopita, tena kwa upotoshaji!

Mohamed Said kasema wazi, kinaga ubaga, ameandika historia ya wazee wake, sasa hao wazungu ni wazee wake? kama wanatajwa basi moja kwa moja anaelezea wazee wake wanauhusiano upi au walikutana na mzungu yupi.

Kwanini wewe usiandike historia ya hao waarabu na wazungu na umtake yeye aandike? au hujui pa kuanzia? kama jibu lako ni ndio, basi nadhani Mohamed Said ungemuomba angekupa darsa zuri la kukuelewesha uanzie wapi na kama jibu lako ni hapana, unangoja nini?
 
Kama unakubali kwamba hakuna mahali historia yetu imeandikwa, mbona unashabikia msimamo kwamba waislam wamesahauliwa makusudi na historia ya nchi hii?

Ungemsoma vizuri Mohamed Said usingeuliza hilo swali.
 
Back
Top Bottom