Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kama unakubali kwamba hakuna mahali historia yetu imeandikwa, mbona unashabikia msimamo kwamba waislam wamesahauliwa makusudi na historia ya nchi hii?

Hapa tunajadili historia iliyofichwa kuhusu harakati za Waislam dhidi ya ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika.

Sasa wewe kwa ukereketwa wa Ukiristu wako roho inakuuma sana kusikia habari za wazee wa hawa kuwa mvumilivu tu huo ndiyo ukweli au wewe unapinga hawa wazee hawakupigania huu wa Tanganyika. Mohamed Said kafungua mlango kaandika kitabu.

Ni zamu yako na wewe ambae unasema Waislam wanalalamika kuandika kitabu tena wewe unajitapa msomi utajenga hoja nzuri kukifunika kabisa kitabu cha Mohamed Said.
 

Mzee Mohamed Said hauzi kitabu ili apate pesa au a-gain popularity. Amefanya ili "kutetea jamii yake" yaani wazee wake waliosahauliwa na historia ya uhuru. Leo hii asingewaandika akina Mshume Kiate, Abdul Sykes, Dosa Azizi, Fauz na wengineo, mimi wewe sote humu ndani tusingeliwajua

Hio ndio nia yake. Na nia hiyo ameifanikisha vyema. Watu wengi sasa hivi tunawajua, nikiwemo mimi na wewe, mashujaa hawa waliopigania uhuru wa Tanganyika

Sasa kwa bahati nzuri, wazee wengi waliopigania uhuru bega kwa bega na Mwalimu walikua waumini wa dini ya kiislam. Utafuta vipi ukweli huu ??

Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
kaka Do santos,

kijana wako mpaka sasa hajaleta yale majina na sidhani kama ataleta. Sasa nini hukmu ya mtu kuahidi na kutotekeleza ahadi yake?
 
Last edited by a moderator:

Kuna jambo muhimu sana nyie ndugu zangu hamjalielewa katika mjadala huu,

Watu hatupingi Mohamed Said kuandika simulizi za WAZAZI wake,

Tunachokipinga kwanguvu zote katika NGANO hizi ni kuziita ni HISTORIA ya Uhuru wa TANGANYIKA upande wa Pili!

Ukishaita ni HISTORIA ya Uhuri wa Tanganyika maana yake sasa unawazungumzia watanzania 44.5 wenye dini na wasio na dini!

Lakini kibaya zaidi katika historia yake hiyo anawatenga watu waliopigania UHURU huo kwa dini!

Dini imekuwa muongozo mkuu kwake na kwenu nyinyi hapa jamvini!
 

Umesahau pia kanisani huwa hawaulizi maswali bali ni kuambiwa ufunue mstari flani ktk kile kitabu chenye mikono mingi ya marekebisho ya watu ambapo kiongozi wako anadai ameoteshwa na mungu ununue saa kwa mil na ww kwa akili zako za kuvukia barabara unaona ni kweli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Mag3, naikumbuka sana habari hii, nakumbuka hata mzee Mohamed Said mwenyewe pamoja na uzandiki wake alilazimika kumuomba msamaha Faiza Fox !!!
 


la hasha,
hakuwatenga,na hakuchagua kuandika kulingana na iman ya mtu,bali alichokifanya yeye ni kuandika historia ya wale walioachwa na kufutwa kwa makusudi,,kwa bahati mbaya au nzuri wamekuja kuonekana wengi wao wana majina ya kiiislam au waislam,sasa nyinyi kutokana na chuki zenu za kidini mkaja kugeneralize ya kwamba analeta uchochezi wa kidni?ndio tukawaambia andikeni chenu..!
Hamtaki,na mmeishia kukejeli,

julius kambarage ni nani yako??
 

Sasa mkuu hapa unanithibitishia rasmi kuwa kitabu cha Mohamed Said hujakisoma bali umekkuwa shabiki wake tu kupitia hapa jf huku ukiongozwa na itikadi ya kidini!

Kwa aliyekisoma hangejibu hivyo mkuu!

Kitafute usome au muombe Mohamed akupe ukisome mkuu,
 

Unapinga na huoneshi andiko unalolipinga?

Nyerere hajakaribishwa na kuwekwa kwa Abdulwahid Sykes, mtaa wa Stanley kabla ya Uhuru? ulikuwa unalijuwa hilo kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 

Hawajui hata waanzie wapi.

TANU bila kumtaja Sykes? hata hilo jina la TANU lisingekuwepo. Roho zinawauma, na Kikwete akaamuwa kuwataja rasmi kwenye sherehe za Uhuru kwa mara ya kwanza. Hapo sasa.
 
Yericko Nyerere,

Mbona hujibu unachoulizwa, nimekuambia wewe unaijua historia ya Tanganyika tutajie wanachama 20 wa mwanzo wa TANU. Nimekuwekea picha ya gari apo nimekuuliza hiyo ndiyo gari uliyosema Nyerere alipewa na Mariale hujibu.

Ulisema utaleta majina ya waasi waliopewa msamaha na Nyerere na wengine wengi kupewa vyeo wengine mabalozi mpaka leo kimya.
Mag3, Nguruvi3, Jasusi, tunaomba mumkumbushe jamaa yenu.
 
Last edited by a moderator:
Nakupa hongera sana ndg Mohamed Said kwa kutufumbua macho kinachowauma kina Yericko ni kwa vp waislam ndo walikua wengi na mstar wa mbele ktk harakat za ukombozi tofauti na imani yao lkn hukulenga swala la udini bali ni kuonesha ni kwa vp wazee wa kiislam hawakuthaminiwa kwa mchango wao tofauti na huyo mzanaki ambaye nae ni mkimbiz wa toka rwanda
 

Yericko Nyerere,

Naomba unijibu maswali yafuatayo

1. Statistically, Dar es Salaam, enzi za kupigania uhuru, watu wa dini gani walikua wengi, Waislam au Wakristo?

2. Watu wa dini gani walikua na kipato kizuri cha fedha, waislam au wakrsito?

3. Watu wa dini gani walikuwa "ma-alwatan" Dar es Salaam, waislam au wakristo?

4. Watu wa dini gani walikua mashuhuri Dar es Salaam, waislam au wakristo?

5. Watu wa dini gani walikua wanamabiashara makubwa makubwa Dar es Salaam, waislam au wakristo?


NB: Alichokifanya mzee Mohamed Said kafanya kwa usomi zaidi. Amesimuliwa na wazee wake historia ya uhuru. Kwa kujua kuwa watakuja watu baadaye kuja ku-challenge mawazo yake, akaamua kufanya research. Kasoma hotuba mbalimbali, kasikiliza mikanda ya sauti mbali mbali, kanukuu publications zilizipotia mbalimbali. Yote hayo huyaoni unaziita ngano.

Sasa mkuu tukuelewe vipi?

Kwa kusema ngano, unamaanisha kuwa akina Mshume Kiate, Abdu Sykes, Dosa Aziz, Fauz wote hawa ni fiction, hawakuepo.

Maswali ya hapo juu watakuongoza kwa nini kitabu cha mzee Mohamed Said kinabeza sana waislam katika kupigania uhuru

Alamsiik
 
Last edited by a moderator:

Niliwaona kwa macho yangu na si kuhadithiwa. Vumbi linamdhuru maiti au waagaji? Fikiri kidogo. Nimefunga mjadala huu wa maiti ya nyerere sito kujibu wewe wala mwingine kwa hili tuendelee na mjadala wa jinsi Nyerere alivyokaribishwa na kuwekwa kwa kina Sykes mtaa wa Stanley, ulikuwa unalijuwa hilo kabla ya kumsoma Mohamed Said? kama jibu lako ni ndiyo haya tuelezee kwa upande wako ulichokijuwa. Na kama jibu lako ni siyo, basi umefaidika na maandiko ya Mohamed Said na msome vizuri ujuwe nchi hii ilitokea wapi ili uelewe inakoelekea.
 

Hana majibu ya hayo ingawa anayajuwa.
 

kaka yangu zomba

wanakutoa kwenye reli kaka. Usibishane nao kwa mas-ala ambayo ni futile. Watakushinda. Bishana nao hoja, uone kama watakuja

Maswali yangu Yericko hajibu ng´ooo

Trend yake tunaijua.
 
Last edited by a moderator:
Mapovu yanini?
 
Kichwa cha habari cha mleta mada na utumbo wa habari aliouandika ni vitu tofauti, sijaiona hiyo dhihaka iko wapi, mleta mada unaweza nionesha ukishirikiana na au wapambe wako?
 
Povu mimi au nyinyi mnaojisikia vibaya baada ya kuelewa historia ya nchi hii siyo kama mnavyotaka iwe. Kumbe hata TANU iliasisiwa na Waislaam.
Zee zima hata akili huna, sasa kama TANU iliasisiwa na waislam watanzania tufanye nini? unataka watanzania wote tuslimu? huna maaana mjinga wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…