Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

FACT: Hakuna mtu JF mwenye uwezo wa Mohammed said ... Katika ujuzi wa historia na Mambo mengine yanayo wahusu waislam .

Mleta mada alisoma kile kitabu kwa jazba .. namshauri akirudie tena
 
Bwana Mohamed Said, namalizia ibada nakuja twendelee na mjadala wetu, anaeamini nimepwaya halitakii mema taifa hili.
 
Nicho kiamini mm, nikwamba hakuna hata mkirsto mmoja atakae kubariana na hoja ya bw.Mohammed said. Kwakua ana tishia maslah yao kwenye Taifa hili. Hatakama aje na ushahidi gani watapinga2 kwani ukifuatilia kwa makini utagundua jinsigani anavyo wa jibu tena kwa heshma na taadhima. Labda ninavyoona mzee anatumia lugha ya balagha sana ktk kuwajibu lugha ambayo haibatikani kanisani. Chengine niwaambie ndugu zangu waislam tuschoke wala kuvunjika moyo ktk harakati hizi maana kwakweli zinaamsha hali ya kujitambua. Maana hata mm nilikua namuona Nyerere nimtu wa maana sana, ila tangu nisome kitabu chake mzee dah ! Sitaki hata kusikia tu jina la huyo mtu

Ahsante sana ndugu yangu.
Allah akujaze kheri.

Taratibu tutaelewana na hawa ndugu zetu na watajua ukweli.
 
Bwana Mohamed Said, namalizia ibada nakuja twendelee na mjadala wetu, anaeamini nimepwaya halitakii mema taifa hili.

Ukifika nyumbani hebu soma kipande hiki kwanza:

...Nyerere alikuwa anazungumza na Profesa Malima nyumbani kwake na katika mazungumzo Nyerere akamsikitikia Profesa Malima kuwa kuna watu wanamshutumu yeye kuwa hawapendi Waislam.

Nyerere alinyanyuka alipokuwa amekaa na kwenda chumbani kwake akatoka na moja ya picha za wakati wa kudai uhuru, akamuonyesha Malima.

Nyerere akasema, ''Profesa unaona picha hii, Waislam watupu, Mkristo ni mimi peke yangu, vipi mimi leo niwachukie watu walionifikisha hapa?''

(Kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'')

Na haya mahojiano yamethibitishwa na nani?
 
FACT: Hakuna mtu JF mwenye uwezo wa Mohammed said ... Katika ujuzi wa historia na Mambo mengine yanayo wahusu waislam .

Mleta mada alisoma kile kitabu kwa jazba .. namshauri akirudie tena
Mnafik ni vigumu kuficha yalioko moyoni mwake/
 
Nicho kiamini mm, nikwamba hakuna hata mkirsto mmoja atakae kubariana na hoja ya bw.Mohammed said. Kwakua ana tishia maslah yao kwenye Taifa hili. Hatakama aje na ushahidi gani watapinga2 kwani ukifuatilia kwa makini utagundua jinsigani anavyo wa jibu tena kwa heshma na taadhima. Labda ninavyoona mzee anatumia lugha ya balagha sana ktk kuwajibu lugha ambayo haibatikani kanisani. Chengine niwaambie ndugu zangu waislam tuschoke wala kuvunjika moyo ktk harakati hizi maana kwakweli zinaamsha hali ya kujitambua. Maana hata mm nilikua namuona Nyerere nimtu wa maana sana, ila tangu nisome kitabu chake mzee dah ! Sitaki hata kusikia tu jina la huyo mtu
Mohamed Said kesha-mbrain wash huyu, bado tu kuvaa suicide belt/
 
Last edited by a moderator:
Wadau wote nawasalimu nikiamini hamjambo.

Niwapongeze wahusika wote wa mjadala huu, naona mambo yanaendelea vema kuthubutu kuonesha jinsi mohamed said anavohatarisha aman ya Taifa la watanzania yaani waislam, wakristo, wenye imani tofauti na waislam na wakritu pia wasio amini.
Tunataka tanzania ya watanzania kwa maana ya maelewano, amani, upendo na mshikamano ili kwa umoja wetu kama watanzania tuungane kudai haki zetu za msingi kutoka serikalini kama vile Elimu bora, afya bora, siasa safi-utawala bora, miundombinu bora nk.

kama tukimwacha Mohamed said akaendeleza uchochezi wake kwa jamii ya watanzania hatutakuwa na umoja wala njia bora za kuibana serikali, maana tutakuwa tumegawanyika mapande mapande tukizozana, tukishutumiana na hatimae kupigana sisi kwa sisi. Endapo tutaacha upotoshaji na uchochezi wa mohamed said kuendelea kulimomonyoa taifa hakuna atakae baki salama kwasababu, wakristu watapigana na waislam, wapagani wataamua wajiunge upande gani vivyo hivyo kwa wenye imani zigine.

Somalia imesambaratika sasa hivi mali inasambaratika isitoshe maiduguri inasambaratika-Nigeria, kenya yameanza mambo ya maiduguri nk. Tanznania nikama nchi yoyote ile wala tusidanganyike kuona wale wanapigana sisi hatutapigana, wanapigana kwasababu waliacha utamaduni, mila na desturi zao wakawaacha akina mohamed said na wengine wanaofanana kimaudhui kuchochea na kuichanganya jamii kwa hoja hafifu, ovyo na madai dhaifu wakisahau vurugu na mauwaji ni zaid ya hizo hoja dhaifu na nyingi za kufikirika.

Kwa yeyote mwenye akili timamu atalitakia mema taifa la Tanzania kuhakikisha jamii ya watanzania wake kwa waume, watoto kwa vijana wanaishi kwa pamoja kwa amani na utulivu tukiunganisha nguvu zetu kuiwajibisha serikali kutatua matatizo yetu kwa ufanisi katika kutokomeza rushwa, ufisadi na kutupatia huduma bora za elimu, afya na miundombinu kwasababu ni jukumu lake kwa kutumia kodi zetu na mamlaka tulioipatia.
 
Mohamed Said unajua alipo Ponda? Ungependa kumfuata? Nimeuliza tu!

Mkuu pokofame heshima kwako.

Haakuna sababu ya kumpeleka huyu huko kwa ponda kwasasa tutamwacha andelee kusimama hapa jukwaani akitupatia alternative way ya kurekebesha uchochezi wake na wakati huo huo wafuasi wake wakijitambua kwa kufahamu udhaifu wa hoja za bosi wao na jinsi anavolenga kuliteketeza taifa, sio tu hao wakristu watakao umia, bali baba, mama, kaka, dada, wajomba wa wanaomshabikia mohamed pia watakuwa matatani wakumbuke sote tunaishi mitaa ileile vipi huyu afe na yule apone ni vigumu

Somali imechafuka hakuna aliesalimika hakuna cha mimi askofu, sijuwi mimi maulamaa au mimi mchungaji wote wameathilika vibaya na wengi wao wamejaa hapo kenya, wapo huko Ulaya nk. Hatutaki upuuzi huu utukute watanzania.

We will spare him (Mohamed) time here JF so that majority will learn through his imaginary and non existing or controversial demands. Anabwaga na kupest hapa vitu visivo practical and not real, let him stick to reality and test his capacity and competency to other countries, he also supposed to think outside Tanzania if he mean to be great historian
 
Watu waliofilisika mawazo watajitambulisa kwa mambo mengi ya hovyo,ama udini ,au ukabila

Soma hapa chini kisha jiulize nani anajitambulisha kwa udini?:

''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.''

Naweza kukuwekea mifano mingi na rejea chungu nzima lakini kwa sasa toshe kwa hayo hapo juu. La kama unapenda kuniwekee mifano mingine nitaarifu nitakuwekea.

Hapa tuko katika kuelimishana ili sote tuwajue maadui wa taifa letu na tutafute njia ya kuondoa tatizo hili la udini. Kukemea peke yake hakutoshi.

Tuelewe kwanza chanzo cha udini na watu waliotufikisha hapa.
Baada ya kusoma ushamjua aliyekuwa muflisi?
 
Ukifika nyumbani hebu soma kipande hiki kwanza:

...Nyerere alikuwa anazungumza na Profesa Malima nyumbani kwake na katika mazungumzo Nyerere akamsikitikia Profesa Malima kuwa kuna watu wanamshutumu yeye kuwa hawapendi Waislam.

Nyerere alinyanyuka alipokuwa amekaa na kwenda chumbani kwake akatoka na moja ya picha za wakati wa kudai uhuru, akamuonyesha Malima.

Nyerere akasema, ''Profesa unaona picha hii, Waislam watupu, Mkristo ni mimi peke yangu, vipi mimi leo niwachukie watu walionifikisha hapa?''

(Kutoka ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...'')

Mkuu nikushukuru kwa uvumilivu wako wakunisibiri nimalize ibada yangu takatifu,

Naamu nimesoma hayo maandishi unayodai ni ya Nyerere na Mzee Malima ambayo yamo katika andishi liitwalo

"Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes".

Majibu ya Nyerere yanaonyesha wazi alikana madai ya waislamu tena alikana kwakutumia vinasaba vya picha ya wanaukombozi kabisa,

Lakini wewe umerudia wimbo huohuo ambao ulishakanwa!
 
Mkuu pokofame heshima kwako.

Haakuna sababu ya kumpeleka huyu huko kwa ponda kwasasa tutamwacha andelee kusimama hapa jukwaani akitupatia alternative way ya kurekebesha uchochezi wake na wakati huo huo wafuasi wake wakijitambua kwa kufahamu udhaifu wa hoja za bosi wao na jinsi anavolenga kuliteketeza taifa, sio tu hao wakristu watakao umia, bali baba, mama, kaka, dada, wajomba wa wanaomshabikia mohamed pia watakuwa matatani wakumbuke sote tunaishi mitaa ileile vipi huyu afe na yule apone ni vigumu

Somali imechafuka hakuna aliesalimika hakuna cha mimi askofu, sijuwi mimi maulamaa au mimi mchungaji wote wameathilika vibaya na wengi wao wamejaa hapo kenya, wapo huko Ulaya nk. Hatutaki upuuzi huu utukute watanzania.

We will spare him (Mohamed) time here JF so that majority will learn through his imaginary and non existing or controversial demands. Anabwaga na kupest hapa vitu visivo practical and not real, let him stick to reality and test his capacity and competency to other countries, he also supposed to think outside Tanzania if he mean to be great historian

Ndugu yangu lugha za vitisho na kibri hazitatuondela matatizo yetu.

Wewe huna nguvu wala mamlaka ya kumfunga mtu sembuse mimi.
Nifungwe kwa kosa lipi?

Kwa kuandika kitabu cha historia na kueleza matatizo ya nchi yangu?
Hii post hapo chini nimemwekea mwenzako.

Najua ushaisoma lakini naiweka tena upate kutafakari.

''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.''

Naweza kukuwekea mifano mingi na rejea chungu nzima lakini kwa sasa toshe kwa hayo hapo juu. La kama unapenda kuniwekee mifano mingine nitaarifu nitakuwekea.

Hapa tuko katika kuelimishana ili sote tuwajue maadui wa taifa letu na tutafute njia ya kuondoa tatizo hili la udini. Kukemea peke yake hakutoshi.

Tuelewe kwanza chanzo cha udini na watu waliotufikisha hapa.
Baada ya kusoma ushamjua aliyekuwa muflisi?
 
Na haya mahojiano yamethibitishwa na nani?
yaani unachotakiwa wewe ni umuamini tu kama aya za maandiko matakatifu...wakija wanafiki wenzake wanaanza kumwagia sifa eti amwaga ushahidi wa kutosha...kinachosikitisha ni baadhi ya waislamu kumeza kila kila kitu bila kushirikisha ubongo wao linapokuja suala la dhulma ya kufikirika wanayofanyiwa waislamu na kanisa...
 
Wadau wote nawasalimu nikiamini hamjambo.

Niwapongeze wahusika wote wa mjadala huu, naona mambo yanaendelea vema kuthubutu kuonesha jinsi mohamed said anavohatarisha aman ya Taifa la watanzania yaani waislam, wakristo, wenye imani tofauti na waislam na wakritu pia wasio amini.
Tunataka tanzania ya watanzania kwa maana ya maelewano, amani, upendo na mshikamano ili kwa umoja wetu kama watanzania tuungane kudai haki zetu za msingi kutoka serikalini kama vile Elimu bora, afya bora, siasa safi-utawala bora, miundombinu bora nk.

kama tukimwacha Mohamed said akaendeleza uchochezi wake kwa jamii ya watanzania hatutakuwa na umoja wala njia bora za kuibana serikali, maana tutakuwa tumegawanyika mapande mapande tukizozana, tukishutumiana na hatimae kupigana sisi kwa sisi. Endapo tutaacha upotoshaji na uchochezi wa mohamed said kuendelea kulimomonyoa taifa hakuna atakae baki salama kwasababu, wakristu watapigana na waislam, wapagani wataamua wajiunge upande gani vivyo hivyo kwa wenye imani zigine.

Somalia imesambaratika sasa hivi mali inasambaratika isitoshe maiduguri inasambaratika-Nigeria, kenya yameanza mambo ya maiduguri nk. Tanznania nikama nchi yoyote ile wala tusidanganyike kuona wale wanapigana sisi hatutapigana, wanapigana kwasababu waliacha utamaduni, mila na desturi zao wakawaacha akina mohamed said na wengine wanaofanana kimaudhui kuchochea na kuichanganya jamii kwa hoja hafifu, ovyo na madai dhaifu wakisahau vurugu na mauwaji ni zaid ya hizo hoja dhaifu na nyingi za kufikirika.

Kwa yeyote mwenye akili timamu atalitakia mema taifa la Tanzania kuhakikisha jamii ya watanzania wake kwa waume, watoto kwa vijana wanaishi kwa pamoja kwa amani na utulivu tukiunganisha nguvu zetu kuiwajibisha serikali kutatua matatizo yetu kwa ufanisi katika kutokomeza rushwa, ufisadi na kutupatia huduma bora za elimu, afya na miundombinu kwasababu ni jukumu lake kwa kutumia kodi zetu na mamlaka tulioipatia.

Mkuu kwanza nikushukuru sana kuingia kwenye uzi huu, huyu Mohamed alijificha kwenye mada ya tamko la maaskofu, sasa nimeamua kumleta hapa peupe, ili tulinusuru taifa letu dhidi ya uchochezi huu wa huyu jamaa!
 
Ndio matatizo ya wafuasi wa Sultan Mangungu wa Bagamoyo, ukiwauliza maswali genuine wanabaki kuchekacheka tu/

Siku zote mie nina utaratibu wangu ukiniuliza maswali ya kipuuzi lazima nikujibu majibu ya kipuuzi.

Wewe si mateka wa Dr Slaa kwa akili yako ilivyokuwa fupi unadhani Tanzania itatawaliwa na Padre.
 
Soma hapa chini kisha jiulize nani anajitambulisha kwa udini?:

''Hivi sasa kuna vitabu viwili vilivyoandikwa na Wakristo wenyewe vinavyothibitisha kuwa Wakristo wametumia nyadhifa zao katika serikali kuuhujumu Uislam na Waislam. Jan P van Bergen katika kitabu chake, ''Development and Religion in Tanzania,'' (1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Rais Mstaafu, Nyerere dhidi ya Uislam na Waislam.

Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo. Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.

Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.''

Naweza kukuwekea mifano mingi na rejea chungu nzima lakini kwa sasa toshe kwa hayo hapo juu. La kama unapenda kuniwekee mifano mingine nitaarifu nitakuwekea.

Hapa tuko katika kuelimishana ili sote tuwajue maadui wa taifa letu na tutafute njia ya kuondoa tatizo hili la udini. Kukemea peke yake hakutoshi.

Tuelewe kwanza chanzo cha udini na watu waliotufikisha hapa.
Baada ya kusoma ushamjua aliyekuwa muflisi?

Mohamed said

Umeandika hapo juu kuhusu mfumo kristu kwa bahati kuna mdau amekuuliza msomi wewe Kikwete aliwataka mpeleke MOU ya waaislam kwake.

1. Je mmefikia wapi kuhusu hilo? unaweza sasa kuufahamisha umma wa watanzania kwamba MOU ni haki kwa kila taasisi wakiwamo waislam.

2. kabla hujaposti lawama zako, ulifanya utafiti wowote kuhusiana na MOU ya wakristu, na nini ilikuwa matokeo yake?

3. Maswali hapo juu ndiyo nguzo ya mjadala huu kama ulivolalamika na kama Yericko alivoyawasilisha malalamiko yako, Je kwanini kwanza hujishughulishi na maswali ya msingi ambayo wewe ndiye muasisi kwa madai na kashifa nzito kwa hayati mwalimu nyerere , Mou nk unabaki kuzunguuka mbuyu kwanini?

Achakupesti maandishi yasioakisi maudhui ya maswali hapo juu amboyo ndiyo msingi hasa wa maada hii.
 
Back
Top Bottom