Kama Ritz kaja kusema ovyo kuhusu Madrasa upo sahihi. La kama si hivyo msome Confucius. Anasema "A fool despises good counsel, but a wise man takes it to heart."
haujui historia ya nchi yako, bali utawala wenye maslahi yako, hilo ndio tatizo; ni aibu kwamba hauelewi tanu na taa vyote havikuanza kama vyama vya siasa bali social movement (taa), political movement (tanu); vinginevyo kuhusu jinsi gani na kwanini mwalimu na taa walikuja anza ushirikiano, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza lazima atagundua kwamba hii ilitokana na ukweli kwamba nyerere was a unique character katika mazingira ya wakati ule, na baadae ilikuja bainika hivyo kwamba he was unique sio kwa tanganyika tu bali dunia ya tatu kwa ujumla; vinginevyo uliyo highlight hapo juu kwamba ni contradictions, ni dhahiri kwamba hauna uthubutu wa kupambana na mimi kwa hoja, hauwezi jadiliana na mimi, wewe sio kiwango changu, kiwango chako ni cha kutetea madudu ya ccm ya awamu ya nne;
Mkuu, umemwambia mambo ya msingi, lakini mtu mwenyewe yupo hapa kutetea uislam wa mzee Mohamed Saidi na heshima ya wala rushwa wa CCM kwa vile tu mwenyekiti ni muislam!hivyo hata kuelewa.Haujui historia ya nchi yako, bali utawala wenye maslahi yako, hilo ndio tatizo; ni aibu kwamba hauelewi TANU na TAA vyote havikuanza kama vyama vya siasa bali social movement (TAA), Political Movement (TANU); vinginevyo kuhusu jinsi gani na kwanini Mwalimu na TAA walikuja anza ushirikiano, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza lazima atagundua kwamba hii ilitokana na ukweli kwamba Nyerere was a unique character katika mazingira ya wakati ule, na baadae ilikuja bainika hivyo kwamba he was unique sio kwa Tanganyika tu bali dunia ya tatu kwa ujumla; vinginevyo uliyo highlight hapo juu kwamba ni contradictions, ni dhahiri kwamba hauna uthubutu wa kupambana na mimi kwa hoja, hauwezi jadiliana na mimi, wewe sio kiwango changu, kiwango chako ni cha kutetea madudu ya CCM ya awamu ya nne;
Haujui historia ya nchi yako, bali utawala wenye maslahi yako, hilo ndio tatizo; ni aibu kwamba hauelewi TANU na TAA vyote havikuanza kama vyama vya siasa bali social movement (TAA), Political Movement (TANU); vinginevyo kuhusu jinsi gani na kwanini Mwalimu na TAA walikuja anza ushirikiano, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza lazima atagundua kwamba hii ilitokana na ukweli kwamba Nyerere was a unique character katika mazingira ya wakati ule, na baadae ilikuja bainika hivyo kwamba he was unique sio kwa Tanganyika tu bali dunia ya tatu kwa ujumla; vinginevyo uliyo highlight hapo juu kwamba ni contradictions, ni dhahiri kwamba hauna uthubutu wa kupambana na mimi kwa hoja, hauwezi jadiliana na mimi, wewe sio kiwango changu, kiwango chako ni cha kutetea madudu ya CCM ya awamu ya nne;
ndugu mchambuzi heshima mbele,,
naomba clarilifications hapa,,
"mkutano mkuu wa taa 1954 uliozaa tanu as a political movement na sio chama cha kisiasa"
sio contradictions??
mkuu, umemwambia mambo ya msingi, lakini mtu mwenyewe yupo hapa kutetea uislam wa mzee mohamed saidi na heshima ya wala rushwa wa ccm kwa vile tu mwenyekiti ni muislam!hivyo hata kuelewa.
kilichotokea 1954 kwenye taa general conference was renaming taa to tanu; tanu ikawa na mtazamo wa kisiasa zaidi tofauti na taa ambayo haikuwa na orientation kubwa ya kisiasa; the registrar of general of societies (leo hii anaitwa msajili wa vyama vya siasa), hakukipatia tanu usajili kama chama cha siasa 1954, suala hilo lilifuata baada baada ya mapambano makubwa baina ya tanu na serikali ya mkoloni; kwa kifupi, as soon as mkoloni alipojua kwamba tanu inaundwa to replace taa, legislation governing the operation of societies was amended to create stumbling blocks for tanu; kwahiyo 1954 tanu ilizaliwa kama organization yenye mtazamo wa kisiasa katika muktadha wa kudai uhuru wa watanganyika, lakini hakikuwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria, hivyo kiliendelea kuwa a political movement kwa muda;
Namsubiri;
cc zomba
Mkuu, umemwambia mambo ya msingi, lakini mtu mwenyewe yupo hapa kutetea uislam wa mzee Mohamed Saidi na heshima ya wala rushwa wa CCM kwa vile tu mwenyekiti ni muislam!hivyo hata kuelewa.
Haujui historia ya nchi yako, bali utawala wenye maslahi yako, hilo ndio tatizo; ni aibu kwamba hauelewi TANU na TAA vyote havikuanza kama vyama vya siasa bali social movement (TAA), Political Movement (TANU); vinginevyo kuhusu jinsi gani na kwanini Mwalimu na TAA walikuja anza ushirikiano, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza lazima atagundua kwamba hii ilitokana na ukweli kwamba Nyerere was a unique character katika mazingira ya wakati ule, na baadae ilikuja bainika hivyo kwamba he was unique sio kwa Tanganyika tu bali dunia ya tatu kwa ujumla; vinginevyo uliyo highlight hapo juu kwamba ni contradictions, ni dhahiri kwamba hauna uthubutu wa kupambana na mimi kwa hoja, hauwezi jadiliana na mimi, wewe sio kiwango changu, kiwango chako ni cha kutetea madudu ya CCM ya awamu ya nne;
Ndugu yangu Mchambuzi umeongea jambo muhimu sana ambalo niliwaeleza hawa ndugu zangu,
Niliwasihi tunapojadili masuala haya kwanza tuangalie FILOSOFIA ya AA, TAA na TANU
Kwakuanza tu unabaini kuwa AA na TAA havikuwa vyama vya siasa, hivyo filosofia yavyo haikuwa kwa ukombozi wa Tanganyika,
Kisha tukiangaza TAWA tunaona wazi kuwa kilikuwa na MALENGO chanya kwa Tanganyika ndiomaana hata baada ya kufutwa kiongozi wake mkuu Mwalimu Nyerere alihamishia filosofia yake TAA na ndipo mageuzi huru ya TAA yakawepo na kwenda kwenye mlengo wa ukombozi zaidi hadi kuzaliwa TANU!
Orodha hii ndio iliyoanza kuwasahau wazee wa Mohamed Said. Hataki HISTORIA ya TANU ianzie hapo.Ritz,
swali lako kuhusu majina ya waasisi wa TANU na pia wanachama 20 wa kwanza wa TANU per post number 2971, majibu yangu ni kama ifuatavyo:
- J.K Nyerere territorial president
- Germano Pacha kanda ya magharibi
- Kirilo Japhet Kanda ya Kaskazini
- Joseph Kimalando Kanda ya Kaskazini
- C. Milinga Kanda ya mashariki
- A . Iranga Kanda ya Ziwa
- L. Bagohe Kanda ya Ziwa
- S. Kandoro Kanda ya Ziwa
- Kisungutwa Gabara Kanda ya Ziwa
- S. Kitwana Kanda ya Ziwa
- Tewa Said Tewa Kanda ya Mashariki
- D. Azizi Kanda ya Mashariki
- A. W Sykes Kanda ya Mashariki
- A. K. Sykes Kanda ya mashariki
- G Kunambi Kanda ya Mashariki
- J Kasessa Kanda ya Mashariki
- John Rupia Kanda ya Mashariki.
Hawa ndio walikuwa ni waasisi wa TANU kwa mujibu wa historia ya taifa letu, wajumbe wa mkutano mkuu wa TAA 1954 uliozaa TANU, na wanachama kumi na saba wa kwanza wa TANU; Wengine waliofuatia katika kundi hili ni pamoja na Paul Bomani na wengine ambao wengi wao waliunda baraza la kwanza la mawaziri la serikali ya TANU;
Wanachama wengine wengi walifuatia baadae lakini wa mwanzo walitokea Dar-es-salaam, Tabora, Tarime, Singida na Mara Kaskazini. Sina majina yao.
Ritz,
swali lako kuhusu majina ya waasisi wa TANU na pia wanachama 20 wa kwanza wa TANU per post number 2971, majibu yangu ni kama ifuatavyo:
- J.K Nyerere – territorial president
- Germano Pacha – kanda ya magharibi
- Kirilo Japhet – Kanda ya Kaskazini
- Joseph Kimalando – Kanda ya Kaskazini
- C. Milinga – Kanda ya mashariki
- A . Iranga – Kanda ya Ziwa
- L. Bagohe – Kanda ya Ziwa
- S. Kandoro – Kanda ya Ziwa
- Kisungutwa Gabara – Kanda ya Ziwa
- S. Kitwana – Kanda ya Ziwa
- Tewa Said Tewa – Kanda ya Mashariki
- D. Azizi – Kanda ya Mashariki
- A. W Sykes – Kanda ya Mashariki
- A. K. Sykes – Kanda ya mashariki
- G Kunambi – Kanda ya Mashariki
- J Kasessa – Kanda ya Mashariki
- John Rupia – Kanda ya Mashariki.
Hawa ndio walikuwa ni waasisi wa TANU kwa mujibu wa historia ya taifa letu, wajumbe wa mkutano mkuu wa TAA 1954 uliozaa TANU, na wanachama kumi na saba wa kwanza wa TANU; Wengine waliofuatia katika kundi hili ni pamoja na Paul Bomani na wengine ambao wengi wao waliunda baraza la kwanza la mawaziri la serikali ya TANU;
Wanachama wengine wengi walifuatia baadae lakini wa mwanzo walitokea Dar-es-salaam, Tabora, Tarime, Singida na Mara Kaskazini. Sina majina yao.
Historia ya nchi yangu ilinifundisha kuwa Waarabu wanakuja kuchukuwa watumwa hapa, lakini leo naona kuwa Mohamed Said ameandika kuna meli ilikuwa ikipeleka watumwa huko Atlantic inaitwa "Jesus", hilo wewe ulifundishwa shuleni kwenu?
Wewe historia unayoijuwa ilikufundisha kuwa TANU ilibuniwa Burma? ilikufundisha kuwa mweka hazina wa kwanza wa TANU ndio huyohuyo alikuwa mweka hazina wa Jammiat'ul Islamiya?
Unaweza kuwa sawa unaposema historia ya nchi yangu siijui kwani ilifichwa na wale walio na fikra kama zako waliokutangulia, lakini nnakuhakikishia kuwa nipo katika kujifunza kila kukicha, tena nimepata Maalim mzuri sana Mohamed Said, ambae darsa lake naona hata wewe limekuvutia ukaja na yako ya kivukoni.
Pia nnakuhakikishia nnaijuwa ni nini maana ya "political movement" na nnaijuwa ni nini maana ya "chama cha siasa" vitu ambavyo wewe vimekushinda kuvielezea kwa lugha moja. Kung'ang'ania kuyaongelea hayo mawili kwa lugha tofauti kunaonesha ni jinsi usivyojuwa unachotaka kukisema, kipi cha ajabu hapo hata moja liwe kwa Kiswahili "chama cha siasa" na lingine liwe kwa Kiingereza "political movement"? hakuna ila ni upeo wako tu ulipoishia.
Hivi wewe unaweza unajiona kuwa unaweza haswa kujadiliana na kujitapa kuwa wewe ni una "kiwango" wakati hata kunyoosha sentesi kwa lugha moja huwezi? umenisahau? labda kweli kiwango chako ni cha chini sana mpaka unaona hutoweza kujadiliana na mimi.
Nakurudisha tena ukajaribu kuziondoa "contradictions" ulizojifunga nazo, kama kiwango chako kinakuruhusu kuziona, nna mashaka kama unaziona.
Hujaleta jipya katika maandiko yako zaidi ya kujichanganya, unataka kurudisha ya kivukoni? hapa utatulizana, usiwe na shaka.
Tunaendelea vizuri Mkuu Mchambuzi katoa orodha ya wanachama 17.Nimepitia yote naona kanda ya mashariki ina wajumbe nane kati ya wajumbe kumi na saba labda wachambuzi wa historia wangetujuza kanda ya mashariki ilikuwa inajumuisha eneo lipi.Idadi ya wazee wa Mohamed Said ni watatu kati ya wajumbe kumi na saba.