Mchambuzi ! Nyerere hakuwa unique,bali alikuwa dhaifu kama ulivyoonyesha!
Waingereza walilijua hili na yeye mwenyewe alilijua ndio maana walimpatia "personal assistant" kabla ya uhuru ambaye nyerere alidumu naye mpaka kufa kwake.
Kama watafiti watajikita katika hili la nyerere na personal assistant wake,connection il iyotumika kumfanya nyerere akubali kupokeam msaidizi aliyepewa na Waingereza hao hao aliokuwa akisuguana nao basi nafikiri kuna vitu "vipya"
vitakavyogundulika.