Orodha hii ndio iliyoanza kuwasahau wazee wa Mohamed Said. Hataki HISTORIA ya TANU ianzie hapo.
Ritz,
swali lako kuhusu majina ya waasisi wa TANU na pia wanachama 20 wa kwanza wa TANU per post number 2971, majibu yangu ni kama ifuatavyo:
- J.K Nyerere territorial president
- Germano Pacha kanda ya magharibi
- Kirilo Japhet Kanda ya Kaskazini
- Joseph Kimalando Kanda ya Kaskazini
- C. Milinga Kanda ya mashariki
- A . Iranga Kanda ya Ziwa
- L. Bagohe Kanda ya Ziwa
- S. Kandoro Kanda ya Ziwa
- Kisungutwa Gabara Kanda ya Ziwa
- S. Kitwana Kanda ya Ziwa
- Tewa Said Tewa Kanda ya Mashariki
- D. Azizi Kanda ya Mashariki
- A. W Sykes Kanda ya Mashariki
- A. K. Sykes Kanda ya mashariki
- G Kunambi Kanda ya Mashariki
- J Kasessa Kanda ya Mashariki
- John Rupia Kanda ya Mashariki.
Hawa ndio walikuwa ni waasisi wa TANU kwa mujibu wa historia ya taifa letu, wajumbe wa mkutano mkuu wa TAA 1954 uliozaa TANU, na wanachama kumi na saba wa kwanza wa TANU; Wengine waliofuatia katika kundi hili ni pamoja na Paul Bomani na wengine ambao wengi wao waliunda baraza la kwanza la mawaziri la serikali ya TANU;
Wanachama wengine wengi walifuatia baadae lakini wa mwanzo walitokea Dar-es-salaam, Tabora, Tarime, Singida na Mara Kaskazini. Sina majina yao.
Mchambuzi. Kwanza nakupongeza sana kwa kujitahidi sana kutaka kutuelewesha usahihi. Mimi nilitaka kukumbusha kitu wakti wa Uhuru wa Tanganyika mwishoni mwa mwaka 1961. Kitu cha Kwanza kabisa wakti Alichokifanya mara baada ya kutawadhwa kuwa Rais wa Tanganyika 1962 alileta Africanization. Je unajua kwanini alianza na Sera hii kwanza kabla mambo mengine?Ni kweli, na binafsi sielewi kwanini ilitokea hivyo; Lakini kwa wale wenye upeo mdogo kama zomba, wanaweza kudai kwamba haya yalikuwa ni makosa ya Nyerere wakati TAA ilikuwa ni chombo ambacho Nyerere hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954;
Ni kweli, na binafsi sielewi kwanini ilitokea hivyo; Lakini kwa wale wenye upeo mdogo kama zomba, wanaweza kudai kwamba haya yalikuwa ni makosa ya Nyerere wakati TAA ilikuwa ni chombo ambacho Nyerere hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954;
Upo sahihi; Mwanzoni, walichokuwa wanadai watanganyika kupitia hizo taasisi ilikuwa sio kumwondoa mkoloni bali kutaka ashirikishe watu weusi, hasa katika suala zima la kuondoa social exclusion katika masuala kama elimu, na pia fairness katika kodi, na fursa nyingine mbalimbali;
Mnakasha unaendelea vizuri sana tunazidi kufyonza historia ya nchi yetu Tanganyika.Wanajamvi wafuatao THE BIG SHOW zomba KichwaNgumu tafadhali sana kwa faida yetu wote nawaomba mpunguze mbwembwe na lugha yenye ukakasisi.Si lazima kuchangia kila kitu mambo mengine ni vyema ukakaa kimya na kuwapa nafasi wajuzi watuze bila choyo.
Mzee wangu Mohamed Said yapo maswali mengi nilitegemea ungeyajibu lakini mpaka sasa pg #149 unayakimbia na kibaya zaidi unategemea msaada wa mashabiki wako ambao kwa kiasi kikubwa wameshindwa kukusaidia,baya zaidi wanayumbisha mjadala sijui kwa maslahi ya nani !.
| Variable | A Political Movement | A Political Party |
| Orientation | A Cause | Issues |
| Level of Operation | The Regime | The Government |
| Main Arena of Operation | The Society | The Parliament |
| Method of Operation | Mobilization | Persuasion |
| Member Orientation | Diffuse | Specific |
| Claims to resources | No formal limits | Constrained by rule of Law |
Mchambuzi. Kwanza nakupongeza sana kwa kujitahidi sana kutaka kutuelewesha usahihi. Mimi nilitaka kukumbusha kitu wakti wa Uhuru wa Tanganyika mwishoni mwa mwaka 1961. Kitu cha Kwanza kabisa wakti Alichokifanya mara baada ya kutawadhwa kuwa Rais wa Tanganyika 1962 alileta Africanization. Je unajua kwanini alianza na Sera hii kwanza kabla mambo mengine?
AA---TAA---TANU---CCM; huyu ni nyoka mmoja ambaye alikuwa akijivua gamba( kwa maana yake halisi) kadri umri, mazingira na nyakati zilivyo-dictate. Historia inapaswa kuwakumbuka wote waliohusika na mchakato wa kuvianzisha, kuvilea na hatimaye kuvibadili vyama hivi.Je ni sahihi kusema kwamba TANU ilianzia pale TAA ilipoishia? na nani alihusika katika kuijenga TAA ambayo ndio ikaja kurithiwa na TANU? Obviously Nyerere hakuwa mjenzi wa TAA, hivyo mapungufu ya TAA hayawezi kubebwa na Nyerere;
Ahsante sana Mchambuzi kwa kujitokeza kwenye mtanange huu wa wazee wa Gerezani.
Hakika leo Mzee wa gerezani na wapambe wake mavi yatawatoka....Karibu sana Mchambuzi na ninakuomba usiondoke
kwenye mtanange huu kwa maslahi ya Taifa letu.
Ahsante sana Mchambuzi kwa kujitokeza kwenye mtanange huu wa wazee wa Gerezani.
Hakika leo Mzee wa gerezani na wapambe wake mavi yatawatoka....Karibu sana Mchambuzi na ninakuomba usiondoke
kwenye mtanange huu kwa maslahi ya Taifa letu.
Hata ngome ya madharimu wa kireno pale Mombasa iliitwa "Fort Jesus" sasa hapo nini cha ajabu?FM,
Naona jina la ''Abdallah'' liko katika ''quotation marks.''
Najua uko katika shida kubwa kukubali ''new information.''
''Denial'' ni kitu cha kawaida katika mambo kama haya.
Siwezi kukulaumu katika hili.
Mkwawa alikuwa na kamanda wake mmoja huyu vilevile
alikuwa ni ndugu yake jina lake akiitwa Yusuf.
Fika katika Makumbusho ya Mkwawa, Kalenga uone hata
mswala aliokuwa akiswalia Mkwawa.
Kuhusu utumwa naomba nikugusie kitu kidogo.
Ile biashara ya Across Atlantic Slave trade kulikuwa na meli
ya kubeba watumwa iliyopewa jina ''Jesus.''
Mchambuzi. Kwanza nakupongeza sana kwa kujitahidi sana kutaka kutuelewesha usahihi. Mimi nilitaka kukumbusha kitu wakti wa Uhuru wa Tanganyika mwishoni mwa mwaka 1961. Kitu cha Kwanza kabisa wakti Alichokifanya mara baada ya kutawadhwa kuwa Rais wa Tanganyika 1962 alileta Africanization. Je unajua kwanini alianza na Sera hii kwanza kabla mambo mengine?
Huyu anaitwa Mchambuzi....Utaki unaacha.Ni kweli, na binafsi sielewi kwanini ilitokea hivyo; Lakini kwa wale wenye upeo mdogo kama zomba, wanaweza kudai kwamba haya yalikuwa ni makosa ya Nyerere wakati TAA ilikuwa ni chombo ambacho Nyerere hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954;
Bangi mwanangu sio lazima uvute! siunaona bangi ya kimawazo ya mzee wako wa fitina Mohamedi Saidi inavyokutesa? husikii la mtu bali kukesha kutetea upuuzi wake hapa. Kubwa zima hovyoo! hukukosea kujiita THE BIG SHOW! maana kweli umekuwa big show kuonesha upumbavu wako!hebu toka basi uwaachie watu wenye akili zao wachambue mambo hapa..!
Kwani ni lazima uchangie??
Hapa watu timamu wanazungumza yenye utimam wewe unakuja kutafuta umaarufu??
Toa madudu yako hapa..
Hebu rekebisha kidogo hapo unaposema kuwa Nyerere hakuwa na mahusiano na TAA kabla ya 1954, hebu angalia kumbukumbu zako vizuri
Unamaana gani unaposema "kila kiumbe anazaliwa Muislam". Hata nguruwe anazaliwa hivyo?Kuwa Muislaam si kusoma Uislaam au kuusoma Uislaam. Kuwa Muislaam ni kujisalimisha kwa aliyekuumba. Unapozaliwa tu, wewe tayari uko katika kujisalimisha kwa muumba wako. Ukristo ndio hauwi mkiristo mpaka ubatizwe. Uislaam unaamini kila kiumbe anazaliwa Muislaam (kajisalimisha kwa mola wake, akipenda asipende).
Na unapokuwa na fahamu zako na ukausoma zaidi Uislaam ni vyema zaidi, lakini usitake kupotosha watu. Wewe umeambiwa Chief Abdallah Mkwawa ni Muislaam na mpaka msala aliokuwa akisalia uko makumbusho yake Iringa. Sasa kataa hilo lakini usijidai "Kwa kadri nijuavyo uislam ni dini na ili uwe mwislam ni inakupasa kuisoma dini katika Korani", ujuavyo wewe si sahihi na unazidi kupotosha.
Kumbuka inaitwa Qur'an na siyo "Korani" kama utakavyo wewe.
Kama unataka kujadiliana zaidi juu ya hili funguwa nyuzi yake tukupe darsa ya Uislaam ni nini na dini ina maana gani. Usitafute pakutokea.