Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mjadala uko vizuri, lakini mbona naona kama mnataka kuwalinganisha waasisi wa Tanganyika huru? Michango ya kina Skyes, Nyerere na wengine ilichangia sisi kuwa huru!! hebu tujaribu kwenda mbele sasa..and no one can go back and change a bad begining!!
 
ulisema utaileta, iko wapi? Unatuletea maandiko ambayo yako edited na "out of context" halafu unajidai ni hotuba?

Alisema alienda TBC kuitafuta hiyo hotuba wakamwambia inauzwa lakini akusema kiasi gani cha pesa.
 
ushahidi wa hotuba niliyobandika hapo juu ni kielelezo tosha cha kuthibitisha uongo wa mohamed said.

Mtoto wa mtakatifu julius anashindwa kuwa na hotuba hata za marehem baba yake hadi aende tbc kuomba??
Hadi leoumeshindwa kuweka ile hotuba ya sauti Tukaiskia umeishia kutapa tapa,,

hii ndio aibu na uchakubimbi wa kudandia dandia nasaba isiyokuhusu..!

You are so dull,dumb and ridiculous guy..

Umecheck hiyo literature review uliyopewa na ndug moh said??
Je mna ubavu huo wa kwenda deep kias hiko katika kuchokonoa mambo??

Thubutuu..!,,,muutoe wapi??
Wewe na mwenzako mwanakijiji mtakalia udini hivo hivo na kushupaa shupaa kujipendekeza kwa nyerere na kuiba jina na nasaba yake ili hali hamna chochote cha kujihusisha nae..
Mjifunze adabu sasa..
 
Alisema alienda TBC kuitafuta hiyo hotuba wakamwambia inauzwa lakini akusema kiasi gani cha pesa.

HANA LOLOTE YERICKO "x"
KAMA INAUZWA ASEME NI KIAS GANI SASA HIVI NAMTUMIA PESA KIAS CHA KUWEZESHA KUNUNUA HOTUBA HIYO YA SAUTI KISHA ATUWEKEE HAPA KWA FAIDA YA MJADALA HUU,,

YERICKO "X",NAMBA YAKE ALISHATOA HUMU NDANI,NAMBA YAKE AMBAYO NAWEZA KUMTUMIA PESA KWA TIGOPESA NI "0715 865 544",,HIYO NI NAMBA YAKE,LAKINI CHA AJABU UKIENDA KUANGALIA USAJILI WAKE IMESAJILIWA KWA JINA MOJA TU LA YERICKO,UKIFIKIRI KWA UMAKINI UTAJUA NI KWANIN KAFANYA HIVYO,,

KWA UFUPI NI MFA MAJI TU,NA HANA HATA UWEZO WA KUFUTA VUMBI KATIKA VIATU VYA NDUGU MOH SAID...
 
mimi hamu iliniisha muda mrefu,baada ya kuona unchosema wewe na kile wanachosema wao,ni vitu havilingani wala kushabihiana
Niliamua niwe naangalia tu
hoja hawana,wanavutwa zaidi na utashi wa dini
wanavutwa zaidi na chuki ya dini
si kwamba hawaoni uzito wa hoja zako
bali upofu wa ukereketwa wa dini
ndo umewafanya wawe wa wabishi na wapotoshi
ni ngumu sana kuelewa hawa,
kwani ni watu waliojengwa kupokea bila kuhoji,
Hata hamu ya kujibu sina.
 
porojo zake tu hizo, kama kashindwa kuinunuwa aseme shillingi ngapi, sisi tutamrushia kwa mpesa. Hapo sasa!

yericko x ni chakubimbi tuh,hana lolote la kutushawishi hapa,,

mimi nashangaa sanaa,mtu unaclaim julius ni baba yako kisha ukose hata kuwa na hotuba zake hivi hii inaingia akilini??

Namba yake ya tigopesa ni 0715 865 544,,
aseme sasa ni sh ngapi hiyo hotuba ya saut tumtumie pesa,asiishie kuongea ongea mashudu hapa,,

aibu sana hii,lijitu litoke huko lilikotokea lije kudandia nasaba isiyo mhusu kisha anathubutu kuleta allegations zake za kitoto na zisizo na mashiko kwa ndug moh said,,

ona sasa alivoachwa uchi,aibu sana hii..
 


sasa vita ya udini wanayotaka kuileta ya nini??
Hapa kila kitu kiko wazi sema wao wameishiwa hoja sasa wanataka kuleta viroja,,

vita ya dini wanayoishupalia haina mashiko kbs..

"laqum diinukum waliyadiin"..
 
teh teh teh
hoja zimekwisha imebaki mipasho
vipi ile audio ya nyerere ulishaileta hapa ukumbini
kama ulivyoahidi?
Haifuti, lakini inakitoa kutoka kitabu cha historia ya uhuru upande wa pili na kuwa NGANO za vuli na hekaya za ..............
 
Huna jipya mzee Mohamed zaidi ya kujinasibu na mambo madogo! mbona hujibu hoja za wakina Nyambala, Nguruvi, Mwanakijiji, Mag3...........,? sasa unakuja uwanjani na kuniita mie mvivu wa kusoma! unanitaka ni kasome kitu gani? unataka nikasome 'historical opinions' zako? au nikasome majigambo yako kuwa wewe umezaliwa Gerezani? Unataka nirudi nikasome kilio chako kuwa waislam katika nchi hii wanaonewa? Pole sana Mohamedi, umerudi jamvini bila hoja. Bora ungebaki huko ulikoamua kujificha!
 
Wamekula za USO. Hakuna hata mmoja aliyekuja japo kujibu tu, nyumba iliyozaliwa TANU ilikuwa ya nani? Halafu wanajidai wanaijuwa historia ya wazee wa Dar?

Hivi hawa wameshawahi kumsikia hata "bwa mkubwa shillingi"? Licha ya kumuona.

Wameshawahi kumsikia Manilal Mathuradas Verani au Abdulkareem Karimjee? au Habib Punja? Watu wenye historia ndefu Dar? Wanamjuwa Al Marhum Bwana Mzee wa mchafukoge na kisha new street?

Mohamed kawaumiza sana kuwawekea mliyokuwa hamyategemei. Utakatifu muutafutie muujiza mwingine, huu wa "one man show" hauna mshiko wala hauna maana tena.

Wanaemdhania muasisi wa TANU anakiri hata jina la TANU hakutowa yeye. Anasema lilitolewa na nani?
 
YERICKO "X"

hotuba ile ni shilling ngapi za kitanzania tukutumie pesa ukaichukue TBC?

I CAN SEE YERICKO "X" IS CRYING NOW...

LAKINI VIBOKO NA BAKORA BADO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…