mwanaharakati5
Member
- Mar 2, 2012
- 52
- 5
atakutajia kambona(sijui kambona ni kasisi)
teh teh teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atakutajia kambona(sijui kambona ni kasisi)
the big show>> unawajuwa vijana wa catholic old boys (coba)??????
Unajua maana halisi ya KIZAZI cha NYOKA?
Uliza mkuu usikimbilie kulaumu tu!
Kizazi cha nyoka ni binadamu wote wakizazi baada ya Eva/Hawa kula Tunda la mti wa mema na mabaya!
Hivyo mimi, wewe na yule ni kizazi cha nyoka.
Na mika 25kabla ya uhuru mambo yalikuaje?
Na mika 25kabla ya uhuru mambo yalikuaje?
But thats what you did sir... you accuses others of doing what you yourself are doing... incredible double standard.
mimi naomba uniwekee kitabu kilichowataja Mzee Waikela, Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein and Sheikh Abdallah Chaurembo,Jaffari Idd, Ramadhani Abdallah Singo, G. B. Somji, Elias Kissenge, Julius Mwakasanyangi, Idd Tosiri, Hadari Mwinyimvua, Idd Tulio.n.k
Umeona kumbe mzee huyu anaugomvi na waandishi wa chuo cha Kivukoni, sasa kaamua kuliangamiza taifa kwa uzushi wake!
hata mpande mshuke, mohamed said kaandika kuhusu waislaam walivyokuwa mstari wa mbele na walivyoasisi kupigania uhuru wa tanganyika.
Jee, unaweza tuambia nyumba ilipozaliwa tanu ilikuwa ya nani?
Na sasa tupo wangapi?Tulikuwa nchi ya kwanza duniani kusafirisha baadhi ya mazao ya kilimo Mkonge, Korosho, tulikuwa nchi ya kwanza Afrika katika kusafirisha mazao ya kilimo, baada ya kuingia "janga" kwa miaka 7 tu, tukawa nchi ya kwanza duniani kwa kuomba chakula cha msaada na tukawa masikini wa mwisho duniani na tukaendelea kuwa hivyo kwa miaka 40. Soma.
From which source?"Under his Presidency, Tanzania slipped from being the largest exporter of food in Africa to the biggest importer of food."
Mkuu Zomba, I am realy sorry, it was typically a typing error, it was not my intention to distort your name! Back to the debate, i don't take Mohamed Saidi's stories to be authentic source of historical facts, what he has done is to put his historical opinions into writings he calls history of his 'wazee'.Hiyo ni name calling and I hope Moderator analiona hilo na atatimiza wajibu wake.
Nyerere si muasisi wa kupigania uhuru tanganyika, alipopokelewa na kina Sykes na kuwekwa nyumbani kwao, tayari harakati zilishaanza, au hilo linakupa shida?
Ni nani ambae amemfanya kuwa nyerere ndio pekee mpiganiaji uhuru kwenye historia? jiulize. Msome kidogo Mohamed Said anasemaje hapa ili ujijuwe kuwa wewe, kama wenzako, ni wazushi tu:
Mkuu wangu umezungumzia Surat Baqara, unajua ilishuka kwa sababu gani? unajua maana ya neno Baqara! hadi ukalijengea hoja kuwa ndio waumini?. ( Mfano suala la kufunga ramadhwani, hapa hawakutajwa waislam bali wametajwa WAUMIN ndio waliofaradhwishiwa kufunga wmezi wa ramadhwani.) Tafadhali ikiwa hujui jambo ni bora ukae kimya...Japo mnakasha umefungwa lakin nilitaka niweke sawa maneno yako niliyo BLUE.
Mkandara
Kama umesoma vizuri Qur'an au Uislam kijumla utagundua kuwa kuna waislam na waumini (walioamini) ambao wamebainishwa wazi wazi. Utagundua kuwa hao wote uliobainisha juu ni waislam na wana haki kabisa ya kujinasibu kwa nasaba, mavazi na mengine yote kama ulivyobainisha kuwa ni WAISLAM, lakin waumini nao wamebainishwa katika mambo maalum. Mfano suala la kufunga ramadhwani, hapa hawakutajwa waislam bali wametajwa WAUMIN ndio waliofaradhwishiwa kufunga wmezi wa ramadhwani. na kama unazitaka swifa za waumini zimebainishwa katika Surat Al baqara 2:4 -7.
Lakin siku zote ukweli unasimama na uongo unajitenga kwani hata siku moja Batwil haiwezi kuishinda haki.
Ahsantum Al Akhiy Mohamed Said kwa kutubainishia haki dhidi ya Batwil. Alllah akuzidishie zaidi na zaidi katika umri, hekima, busara , Ilmu ili uweze toa darsa muruwa kama hili.
Na sasa tupo wangapi?
Mkuu Zomba, I am realy sorry, it was typically a typing error, it was not my intention to distort your name! Back to the debate, i don't take Mohamed Saidi's stories to be authentic source of historical facts, what he has done is to put his historical opinions into writings he calls history of his 'wazee'.
Nyerere this is not fair!Kimsingi mimi na wengine tunaozipinga ngano zako kuzihalalisha kuwa histori ya watanganyika hatuna shida ya video au audio ya hotuba hiyo ya Mtakafu Julius Nyerere,
Wenye hofu ni wewe na wenzio ndio mlistahili kuja na audio ama video kuipinga hiyo hotuba niliyoiweka hapo juu!
Mimi na wenzangu tumeridhika kuwa hotuba hiyo ni sahihi, na iimefuta uongo wako kuwa Mwalimu alisema hamfahamu/hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na CHEO gani, kumbe mwalimu alisema wazi kuwa alikuwa katibu wa TAA.
Kwanza lete hapa hiyo hotuba uliyoinukuu kuwa mwalimu alisema hakumbuki Abdul alikuwa na cheo gani, hiyo itasaidia kuipinga hotuba niliyoiweka pale juu, kisha nitaleta AUDIO kuthibitisha ZAIDI uongo na uchochezi wako mzee wewe!
Bravo Nguruvi3! you have made my day! i hail you intellectuality.
G,
Hivi nyie JF ndiyo kipimo chenu?
Nimekuwekea hapa wewe ili msaidiane nyote wawili mkamilishe hesabu lau kwa uchache sana.
Kuna hili nilikwishaliweka.
Hii kazi ya kuandika sio siri imetangazwa katika Kigoda Cha Mwalimu Nyerere.
Mimi hamtaki kuniaini.
Hebu fanyeni uchunguzi na nyie mjua nini chanzo cha kazi hiyo kisha rejeenikwangu Insha Allah.
Saida Othmann Yahya (mke wa marehemu Prof. Haroub Othman) na Prof. Issa Shivji wanaandika
hivi sasa maisha ya Nyerere.
Hili la kwanza sasa hebu fikeni na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Historia waulize fikra zao
kuhusu kitabu changu.
Hapo ndipo kitovu cha taaluma na utafiti msikalie JF, JF, JF, JF, hapa ni mpata mpatae ndiyo maana
hata Yericko na yeye yumo.
Msitambe kwa kuuliza maswali JF...
Humu kila ''msomi'' uwanja wake hata wale wasomi chekechea.
Mbona hamtii kidole katik ''reviews'' za kitabu?
Ingieni na humo huo ndiyo usomi.
Nyie JF, JF, JF...
Hebu basi ingieni kwenye ''serialisation'' zangu tatu katika The East African.
Hamna la kusema?
Zitafuteni hizo ''series'' mtazipata zilichapwa December 1998.
Maofisa ofsis za serikali walikuwa wanachekea chooni gazetila The East African
wanapasiana kama timu ya Brazili 1970 iliivyokuwa wanapeana pasi.
Ukipenda wanapasiana The East African kama kitabu cha Barzanji.
Nakupeni home work hiyo fanyeni uchunguzi kisha rudini hapa mnambie kuwa
bado mnaamini kuwa John Iliffe, Jonathan Glassman, James Brenan na wengineo,
wasomi hawa mabingwa wa African History waliokifanyia ''review'' kitabu changu walikuwa
wanareview ngano na Cambridge Journal of African History walichapa ngano.
Rudini hapa mnambie The East African katika ''serialisation,'' iliyodumu wiki tatu walikuwa
walikuwa wanafanya kichekesho katika ''serialisation'' ya ngano.
Halikadhalika mje mseme hawa nao Amazon, WH Smith, Africa House (London) hawa wote
waliokuwa wakiuza kitabu changu walikuwa wakiuza unga wa ngano na kuwa waliuziwa mbuzi
ndani ya gunia.
Na hawa wasomaji wa kitabu hiki kinachokwenda toleo la tatu la kitabu ni watu wasiojua kitu.
Hebu piteni humo na jengeni hoja zenu humo.
Basi nyie mmekuwa kazi muijuayo ni kuuliza, kuuliza, kuuliza, ubishi, ubishi, ubishi...
Kujipongeza na kutaka ushindi mwepesi.
Hii haiwezekani.
Ilm sharti usome, upinde mgongo, usome na uandike mambo ya maana yenye tija.
Mwisho nakupeni tanbihi acheni lugha za mitaani za ''JF hapendwi mtu nk. nk...''
Kama ni hizo lugha zingekuwa za maana kutumia mimi ni aula zaidi kuzitumia kwa kuwa sikuzaliwa
kijijini wala kuja kutoka popote.
Nafungua macho niko Dar es Salaam.
Na Dar es Salaam ni bingwa wa kuzua maneno.
Unakosema tukapate ushahidi sio kule kunakohalalisha ukweli wa historia ya Uhuru Tanganyika!
Kitabu chako hakifundishiwi na chuo chochote katika ardhi ya Tanzani na kwakukidhibiti zaidi serikali imekiita ni kitabu cha KUFIKIRIKA tu (conspiracy Book)
Unauhadaa ulimwengu kwakusema ni kitabu cha Historia ya Uhuru wa Tanganyika wakati mamlaka zinazo ratibu mambo ya historia kwa nchi yetu wameshatuthibitishia kuwa ni NGANO tena za vuli?
Niambie hapa ni chekechea, shule ama chuo gani katika ardhi ya Tanzania ambao kitabu chako kinatumika kama rejea kwa wanafunzi?
Hata hivyo vyuo huko ughaibuni wanaokualika ukawadanganye huenda wanajua kuwa unadanganya ila wanapenda NGANO zako tu huku wewe ukijinasibu umtu muhimu wa historia!