Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mlitaka Mwalimu Nyerere katika Hotuba ile amfanyie nini Abdu Sykes ndipo muwe na amani moyoni mwenu?
Mmejaribu kudanganya kuwa alisema hakumbuki Abdu Sykes alikuwa na cheo gani, lakini tumewaambia acheni uzushi na uchochezi, Abdul Sykes alikuwa Katibu wa TAA.
Sasa mnasema eti hakumtaja kwa uzito???
Mlitaka hotuba nzima imtajetaje yeye tu?
Au mlitaka amrithishe uraiis ndipo muwe na amani?
Acheni akili za kuku nyie walimwengu!
Yericko Nyerere,
Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini kauli zako za kejeli na kibri zinakuvunjia.
Last edited by a moderator: