Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mlitaka Mwalimu Nyerere katika Hotuba ile amfanyie nini Abdu Sykes ndipo muwe na amani moyoni mwenu?

Mmejaribu kudanganya kuwa alisema hakumbuki Abdu Sykes alikuwa na cheo gani, lakini tumewaambia acheni uzushi na uchochezi, Abdul Sykes alikuwa Katibu wa TAA.

Sasa mnasema eti hakumtaja kwa uzito???

Mlitaka hotuba nzima imtajetaje yeye tu?

Au mlitaka amrithishe uraiis ndipo muwe na amani?

Acheni akili za kuku nyie walimwengu!

Yericko Nyerere,

Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini kauli zako za kejeli na kibri zinakuvunjia.
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi mimi na wengine tunaozipinga ngano zako kuzihalalisha kuwa histori ya watanganyika hatuna shida ya video au audio ya hotuba hiyo ya Mtakafu Julius Nyerere,

Wenye hofu ni wewe na wenzio ndio mlistahili kuja na audio ama video kuipinga hiyo hotuba niliyoiweka hapo juu!

Mimi na wenzangu tumeridhika kuwa hotuba hiyo ni sahihi, na iimefuta uongo wako kuwa Mwalimu alisema hamfahamu/hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na CHEO gani, kumbe mwalimu alisema wazi kuwa alikuwa katibu wa TAA.

Kwanza lete hapa hiyo hotuba uliyoinukuu kuwa mwalimu alisema hakumbuki Abdul alikuwa na cheo gani, hiyo itasaidia kuipinga hotuba niliyoiweka pale juu, kisha nitaleta AUDIO kuthibitisha ZAIDI uongo na uchochezi wako mzee wewe!

Yericko,

Ikiwa unaamini hivyo hapana neno.
Wewe utabaki na kauli yako nami nitabaki na yangu.

Ila kumbuka wewe ndiye uliahidi kuleta hiyo clip na
mimi nilionya wengi humu wasishangilie goli kabla mpira
haujagusa wavu.

Uzee ni dawa.
Huja na uzoefu wa dunia.
 
Jibu maswali hapo mkuu msianze kutafuta mlango wakutokea hapa! Twende mwanzo mwisho mpaka Yesu arudi

Wewe ndiyo unatakiwa ujibu au tukukumbushe.

1) Ulisema utatuletea ushahidi wa waasi waliopewa msamaha na Nyerere na wengi kupewa vyeo na wengine wakapelekwa kuwa mabalozi.

2) Ulisema utaleta ushahidi wa kiasi cha pesa alichotoa Mariale kwa Nyerere kwenda UNO ambaye wewe unasema ndiyo alikuwa mfadhili wake.

3) Ulisema utaleta picha ya gari la kwanza la Nyerere alipewa na Mariale.

Ulisema mengi sana kukutajia yote kwa pamoja yanaweza kukuchanganya kujibu tuanza na hayo mkuu wangu kisha yatafuata mengine.
 
Mkuu yaelekea ulikuwepo kimwili tu hapa na kiakili hatukuwa pamoja tangu tangu mnakasha huu ulipoanza!

1)....,Nilishajibu hapahapa!

2).....Hakuna swali la hivyo lililoulizwa hapa jamvini kwenye uzi huu likiniilenga mimi nijibu!

3).....Nilisema wazi mwezi ujao (huu) nitakwenda Butiama hivyo nitaleta hapa picha ya mabaki ya gari hilo hapa ikiwa kutakuwa na ulazima, kwa Mohamed Said!
 
Yericko,

Ikiwa unaamini hivyo hapana neno.
Wewe utabaki na kauli yako nami nitabaki na yangu.

Ila kumbuku wewe ndiye uliahidi kuleta hiyo clip na
mimi nilionya wengi humu wasishangilie goli kabla mpira
haujagusa wavu.

Uzee ni dawa.
Huja na uzoefu wa dunia.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa UZEE dawa!

Lakini uzee wa wewe sio dawa bali ni SUMU inayoliangamiza taifa letu Takatifu!
 
Mkuu yaelekea ulikuwepo kimwili tu hapa na kiakili hatukuwa pamoja tangu tangu mnakasha huu ulipoanza!

1)....,Nilishajibu hapahapa!

2).....Hakuna swali la hivyo lililoulizwa hapa jamvini kwenye uzi huu likiniilenga mimi nijibu!

3).....Nilisema wazi mwezi ujao (huu) nitakwenda Butiama hivyo nitaleta hapa picha ya mabaki ya gari hilo hapa ikiwa kutakuwa na ulazima, kwa Mohamed Said!

Haya ndiyo majibu ya Yericko bahati nzuri watu wanakusoma.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa UZEE dawa!

Lakini uzee wa wewe sio dawa bali ni SUMU inayoliangamiza taifa letu Takatifu!

mzee huyu YERICKO NYERERE ni janga la taifa tena unatakiwa umuogope kama ukoma na nilisha kwambia kwamba hana adabu sijui haja barikiwa au hajapewa kipaimara naanatabia za kiyahudi kwamaana wayahudi wanaroho mbaya sana na huyu jamaa anapepo mchafu
 
Hivi kweli kuna Great Thinker hapa JF ambae hajaona uchochezi wa Mohamed Said NILIOUTHIBITSHA katika UZI huu na anahita kuonyeshwa zaidi kwa kidole?
yani ww ndio mbulula kweli kuna mtu mchochezi kushinda Dr slaa mbona hilo hulizungumzi au kwasababu ww ni PRO CHADEMA
 
Haahaa duuuh sasa hapa Dr Slaa kaingiaje kwenye mjadala huu?

unajua unakuwa kwenye mnakasha lazima pawepo na mifano tena mifano yenyewe iwe hai mzee hakuwa hata siku moja kuwaabia watu wakavamie kituo cha polisi kwenda kumtoa sheikh ponda lakini dr slaa aliwaambia wafuasi wa chadema wakamtoe mwenyekiti wao pale central Arusha na palitokea mauuaji ya watu je nani mchochezi? MZEE MOHAMED ANATUPA FAIDA NA UKWELI WA MAMBO KWA SISI ABAO TULIKUWA HATUPO NA HATUJUI HISTORIA YA KWELI
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]
There is no way any biographer can research on Nyerere's life and ignore the support of the people who were close to him and their influence on him.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Huu ndiyo ugomvi wangu na hao walioandika historia rasmi.

But thats what you did sir... you accuses others of doing what you yourself are doing... incredible double standard.
 
But thats what you did sir... you accuses others of doing what you yourself are doing... incredible double standard.

Umeona kumbe mzee huyu anaugomvi na waandishi wa chuo cha Kivukoni, sasa kaamua kuliangamiza taifa kwa uzushi wake!
 
Niliwahi kumuuliza Mohamed, na anikosoe kama siseme kweli, kama yeye anajiona Mtanzania kwanza au Muislamu kwanza.
Alinijibu yeye anajiona Muislamu kwanza. Kwa mantiki hii, leo akinikuta mimi Mtanzania nisiye muislamu nagombana na taleban, yeye atajiunga upande wa taleban kunipiga mimi Mtanzania mwenzake.

so unataka Mzee Mohamed afanane na ww???
 
Tumia mda mwingi kusoma vitabu vya historia ya uhuru,

Hao wote aliowataja MS wapo kwenye maandishi mengi tu yahusuyo uhuru wetu,

Labda kwamara ya kwanza ndio unasikia na kusoma habari hizi hapa jf, au umesoma kitabu cha MS tu?

Hakuna kigeni kwa hayo ndugu,

Na hakuna palipowahi kuandikwa au Mwalimu Nyerere akajitangaza kuwa YEYE tu ndie aliyedai Uhuru wa Tanganyika, bali ni ukweli usiopindishwa kuwa yeye ndie aliyeongoza harakati za kudai Uhuru mpaka Uhuru kamili.

mimi naomba uniwekee kitabu kilichowataja Mzee Waikela, Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein and Sheikh Abdallah Chaurembo,Jaffari Idd, Ramadhani Abdallah Singo, G. B. Somji, Elias Kissenge, Julius Mwakasanyangi, Idd Tosiri, Hadari Mwinyimvua, Idd Tulio.n.k

hutaki sisi tusichangie kwa kuwa,
1.tunamuunga mkono mtoa hoja na kuwapinga wale wanaokosoa?

2.sisi tuna onekana kias fulani ni waislam?

3.tumeegemea kutaka facts ziwekwe kuliko kumshutum moh' said moja kwa moja na kuziacha hoja zale pasi na utetez wenu wowote?

Yericko na moh' said wamatambua umuhim wetu kwenye huu mjadala,ungejaribu kuufatilia kwa umakini kuanzia first page kabla hujaanza kumnyooshea mtu kidole.

Unapojaribu kusema mtu flani anapotosha basi toa uthibitisho kulingana na hoja husika za huyo unaemnyooshea kidole kwanza.

the big show>> unawajuwa vijana wa catholic old boys (coba)??????
 
Janga hulijuwi wewe, tulikuwa nalo kwa miaka 25 ya mwanzo ya Uhuru, mpaka tulipanga foleni kupata mlo wa siku, utafikiri tuko kwenye "concentration camp" au jela (fikiria waliokuwa jela bila hatia walikuwaje) tulikuwa tunavaa mabaki ya matairi ya magari (makatambuga). Jiulize nani alikuwa janga hilo?
Na mika 25kabla ya uhuru mambo yalikuaje?
 
Back
Top Bottom