zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Yericko Nyerere; Nakwambia ya kwamba huyu Mohamed Said huyu ninaweza kusema ya kwamba ni janga kwa nyakati hii tuliyonayo. Nakuomba achana naye kabisaaaa!
Janga hulijuwi wewe, tulikuwa nalo kwa miaka 25 ya mwanzo ya Uhuru, mpaka tulipanga foleni kupata mlo wa siku, utafikiri tuko kwenye "concentration camp" au jela (fikiria waliokuwa jela bila hatia walikuwaje) tulikuwa tunavaa mabaki ya matairi ya magari (makatambuga). Jiulize nani alikuwa janga hilo?