zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Butyama na Watyama wapo. Ni ukoo mkubwa tu ndani ya WAZANAKI. Vizazi vingi tu wako pale. Au nawe ni muathirika wa NGANO za Mtikila? Kama walihamia pale kama KABILA itakuwa ni miaka mingi sana kama makabila mengi mengine nchi hii. Akina Sykes hawakuja kama kabila. Hawakuja nchi hii wakiwa Waislam. Ni ujanja wa Wabondei na Wamanyema uliowaingiza kwenye Uislam. Unacheza na mabinti wa Kimanyema?
Wenzako waliuona ukweli, Jee. wewe uliingizwa huko na nani? Father Kit Cunningham?