Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!Kama wewe ulivyomeza mazima kuambiwa wapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa 17 tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!Kama wewe ulivyomeza mazima kuambiwa wapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa 17 tu.
Bravo Nguruvi3! you have made my day! i hail you intellectuality.Mohamed, mnakasha ulishafungwa nami niliaga. Kinachonirudisha ni kauli zako ambazo hazina chembe za uungwana.
Mimi sijui kwasababu hukuwahi kutuambia mazungumzo ya Kighoma Malima na Nyerere yaliishaje baada ya kuonyeshwa picha za waislam.
Sijui kwasababu Prof Othman alipomuuliza mwalimu swali la yeye kujibu tuhuma hukutueleza mazungumzo yaliishaje.
Tunachojua wote hao ni marehemu na kama kawaida yako hukawii kuwawekea marehemu maneno.
Jinala mtu lishapata R.I.P. Mohamed anapata cha kusema.Mohamed, wasomi huandika vitabu kuamsha fikra, hawaandiki kujibu vitabu.Inawezekana baada ya kugundua kuwa hujui Nyerere alifika lini Dar kwa mara ya kwanza hawakuona sababu ya reviewPangekuwa hapana maana usingekuwa hapa JF.Ni wapi pengine watu wamewahi kubinya hadi ukashindwa kupumua?Ni wapi pengine umewahi kukiri mapungufu?Habari mpya ni kama ile ya Nyerere kutanguliza ''mzimu'' wake Dar es Salaam mwaka 1946 halafu akaja mwenyewe mwaka 1952?
Ni ile ya Nyerere kwenda sokoni akiwa hana hela? Ni ile ya Nyerere kununuliwa sarawili pale kariakoo!JF ni kioboko au hili pia hujui? Ni wapi ambapo umewahi kuulizwa jambo au hoja ukashindwa kujibu?
Ni JF palipodhihirisha uzushi wa namba za mitihani na kuanzia siku ile hadi leo na milele madai yako kuhusu Malima kuanzisha namba za mitihani ni mwiko! umekoma1 na tumekomesha uzushi kwa vizazi vijavyo at least
Ni JF ndipo ulipoambiwa wait a minute Nyerere hakuanza siasa baada ya kuonana na Sykes, in fact alianza siasa miaka 6 kabla ya kukutana na Sykes na miaka 6 kabla hujazaliwa!
Ni JF palipoweka wazi na wewe kukiri kwa mdomo wako kuwa shirika la Marknoll lilichanga ticket ya Nyerere kwenda UNO kama walivyochanga wazee wako. Hujawahi kuulizwa kitu kama hicho Havard, Cambridge, University of Yemeni au Oxford.
Ni JF ndipo ulipokiri kwa mara ya kwanza katika miaka 15 ya uwepo wa ngano hii tamu.
Ni JF ambapo umeshindwa kuthibitisha madai yako kwa vidhibiti na kubaki kujinukuu kama ushahidi.
Pale uliposhikwa kunako ulinukuu maandishi ya Sivalon halafu ukasema umefanya utafiti.
Ni JF ambapo umeshindwa kutetea hoja za EAMWS na hilo linabaki kuwa donda kwasababu kila utakapotia mguu tutakata uthibitisho wa kina na mntiki kuhusu ushiriki wa kanisa na Nyerere.
Ni JF ambapo hukuthubutu kujibu hoja nzito na majibu yako yamekuwa kumkata kiburi kwa matusi.
Ni JF ambapo umepewa darsa la ilm ya dini kuhusu udhaifu wa kudhani Uislam ni barghashia au kanzu.
Ni JF umelazimika kuwaheshimu wapigania uhuru unaochukia majina yao.
Ni JF ambapo madai yako yamenyumbuliwa na kuonekana dhaifu hata wafuasi wako wengi wamekiri kulishwa ngano.
Ni JF ambapo mtu haonewi wala hahurumiwi, hayapendwi maandishi zinapendwa hoja.
Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Semtaungo, umeshindwa kutetea hoja, umeshindwa kujibu maswali na umeonyesha upotofu wa hali ya juu. Wala hawahitajiki 20, mmoja tu anatosha.
Umeshindwa kujibu hoja kwa kichwa unakata vipande vya kitabu halafu unasema watu wenye vichwa vyao wajikusanye!!
Ungekuwa na uwezo usingekimbia maswali, usingezusha uongo na usingekiri yale yaliyowekwa bayana tena bila utafiti.
Nani atakuweza wewe bingwa wa ''inasemekana'' bingwa wa kusingizia marehemu na mtaalam wa chuki na farki.
Sheikh Mohamed, hata beberu naye ni mume kama alivyo jogoo.
Lakini unaweza kuwa mume wa mtu kutegemea na uwezo wake wa kufikiri.
Mohamed Said,hatuhitaji mume wala mke, shemeji au binamu tunahitaji ujibu hoja, maswali na utetee ngano.
Hapa hatuli ngano wala mashudu tunataka substance.
Usiughilibu umma na wewe ni tatizo kwa jamii kabla ya tatizo lenyewe.
Masalam sheikh nakutakia mchana mwema inshallah, na shughuli njema, mwenyezi mungu akujaze hekima, akuepushe na uzushi na aulinde ulimi wako inshallah. Wasalimie ndugu hapo kariakoo, nadhani joto sana sasa!
Asalaam alyakum
Mtaishia kutukanana tu. Hoja zimekwisha. Mzee wetu Mohamed ana akili za watu zaidi ya 20! Hatumuwezi. JF imemfikisha pabaya mzee wetu huyu. Tumwache apumzike. Arudi kwenye viwanja vyake vya kujidai ambako anasikilizwa tu bila kupingwa wala kuhojiwa.
Ninachomwomba mzee wetu Mohamed awe MTANZANIA kwanza. Halafu anaweza kuwa kitu kingine chochote. Muislam, Mmanyema, MwanaKariakoo, MwanaHistoria,....
mkuu kwakweli inasikitisha sana ukimuona mtu mzima kama mzee mohamed said halafu anakuwa muongo na tapeli wa kifikra,
najiuliza sana, hivi huyo alipokuwa kijana alikuwaje?
Niuzushi ulioje kusema mwalimu aliwahi kukiri/kutamka/kuandika hayo madao ya huyu mchochizi mohamed said?
Chakusikitisha ni kuwa ukimwambia alete ushahidi ataleta yaleyale yakufikirika aliyoyaandika yeye!
Bora ungekaa kimya tu unazidi kujichanganya wewe mwenye humu jamavini umetuambia Nyerere aliwasamehe waasi na wengine wengi kuwapa vyeo na wengine mabalozi.
Ilo dola la huyo mtakatifu lilishindwa kuwaangukia hao waasi.
Nakukumbusha tupe basi yale majina ya hao waasi uliyosema utayaleta.
Hapo ulipo umeshaogopa na kuanza kuzuwa eti "uchochezi wa Mohamed Said..." utishwe nini na ilhali muoga hata wa kivuli chako?
Chandimu, acha kudandia hoja usizoziweza, mpuuzi mwenzio Mohamed Said hana anachotueleza hapa zaidi ya kujisifu ".... mara.... hoo, mimi ni mme mkubwa.... mara mje watu 20....... nimetembelea dunia..... " yote hayo ya ninini? Mkuu sana Nguruvi3 kamuonesha udhaifu wote na uwongo wake wote, cha ajabu wewe unakuja hapa kama zuzu kushabikia upumbavu. Kaa mbali wewe, huna hata chembe ya usomi zaidi ya ushabiki wa kidini!basi laiti mngekua mnauona ukubwa wa tembo huyu na kukiri wazi wazi kweli ni mkubwa,mngekuwa mnafanya jambo la maana sana..!
Cha kustaajabisha nyinyi ukubwa wa tembo huyu na hoja zake zote nyinyi mmekuwa mnazikejeli,kumtusi na kumrushia mawe,wengine mkionesha wazi wazi kutoka mioyoni mwenu nia ya kumuua tembo huyu ili mradi mchukue pembe zake zenye thamani,mlipoonekana kushindwa na hizo njama zenu sasa mmeishia kumpa tembo huyo sifa ambazo si zake,,
ama kwa hakika mnashangaza sana.
Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!
Tembo mwenyewe anakuwa kama yule wa India. Anataka apendwe na kusikilizwa na kila mtu.basi laiti mngekua mnauona ukubwa wa tembo huyu na kukiri wazi wazi kweli ni mkubwa,mngekuwa mnafanya jambo la maana sana..!
Cha kustaajabisha nyinyi ukubwa wa tembo huyu na hoja zake zote nyinyi mmekuwa mnazikejeli,kumtusi na kumrushia mawe,wengine mkionesha wazi wazi kutoka mioyoni mwenu nia ya kumuua tembo huyu ili mradi mchukue pembe zake zenye thamani,mlipoonekana kushindwa na hizo njama zenu sasa mmeishia kumpa tembo huyo sifa ambazo si zake,,
ama kwa hakika mnashangaza sana.
Msaidie mpuuzi mwenzio Mohamedi Saidi kwa kufikiri na kuwadanganya kuwa juhudi na mapambano ya uhuru yalifanywa na wazee wake wakiislam na sio watanganyika wote kwa ujumla wao!
yericko ndugu yangu,hii haitakusaidia,kukaa hapa jukwani huku ukikosa hoja za kutetea madai yako,huku ukitegemea back up kutoka kwa ikhuani zako kwa hakika haikutasaidia,,
kukaa kusema alichokiandika ndug moh said ni uchochez pasi na kuonesha hoja zako wazi wazi wapi kwenye uchochez haitasaidia kuufanya ukweli huo usisemwe,usisomwe na usiaminiwe,,
haitasaidia hata kidogo,hoja zilizotolewa na ndug moh said zimejitosheleza sana,na kila mwenye akili timamu amekiri hilo,,
yericko unashangaza sana,inafikia kipindi unakuja na kukiri wazi wazi ya kwamba umenufaika na hoja zake,zipo sehem huku nyuma katika posts zako una kiri kwa ndug moh said na kusema ya kwamba maarifa mengine mengi anayokupa ulikuwa huyafam hata kidgo,,
sasa unakuja tena na madai haya ni upuuz na uchochez huna haya??
Umekosa hoja yericko "x",,cha kushangaza zaid ulivo limbuken na chakubimbi unafikia hadi hatua ya kujinasibisha na familia ya julius hali ya kuwa huna nasaba naye ya aina yoyote ile,
si babu yako,si baba yako,na bila shaka hutokei hata kwenye ukoo huo,kama umeshindwa kwa hili dogo tuh la kusema wewe ni nani katika familia ya julius,utaaminika kwa kipi kama sio uzandiki katika hizo porojo zako??
We ni mwepesi sana yericko,viatu vya ndugu moh said sio tuh kuvivaa bali hata uwezo wa kuvifuta huna..
Tunakuona na kukupuuza jins unavozid kutapa tapa.
Tembo mwenyewe anakuwa kama yule wa India. Anataka apendwe na kusikilizwa na kila mtu.
chandimu, acha kudandia hoja usizoziweza, mpuuzi mwenzio mohamed said hana anachotueleza hapa zaidi ya kujisifu ".... Mara.... Hoo, mimi ni mme mkubwa.... Mara mje watu 20....... Nimetembelea dunia..... " yote hayo ya ninini? Mkuu sana nguruvi3 kamuonesha udhaifu wote na uwongo wake wote, cha ajabu wewe unakuja hapa kama zuzu kushabikia upumbavu. Kaa mbali wewe, huna hata chembe ya usomi zaidi ya ushabiki wa kidini!
Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
Mimi sizungumzii ya Mohamed Said. Nazungumzia ya huyo mwenzako kuhusu yule mtoto wa kike wa kiislam(very bright) aliyenyimwa nafasi ya kwenda form 1 kwa sababu ni muislam. Nikauliza mlipewa ushahidi au mnameza tu ngano za ustaadhi ilunga? jina lake ni nani? jina la huyu mkristu aliyechukua nafasi yake ni nani? Kama ilunga ana ushahidi si auweke hadharani watu tufatilie tuwasaidie kuondoa hii dhulma kama kweli ipo?Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
ikiwa kweli unavyosema
"tunakuona na kukupuuza jins unavozid kutapa tapa"
nilitarajia kweli upuuze, kumbe kinyume chake hujapuuza,
unapopuuza jambo yakupasa kunyamaza!
Hata mantiki ya kupuuza huijui je utaujua uchochezi wa mohamed said ambao ni dhahiri shahiri nimeonyesha tena kwakila lugha ya kimang'amuzi?
Wewe mbona uleti ushahidi wa waasi waliopewa vyeo na kusamehewa na Nyerere. Mkuu tutende haki tuwekee hiyo orodha juu.
jamani mimi nilikuwa msomaji toka mwanzo na nimefuatilia kwa makini sana yote yaliyojadiliwa, na mwanzoni ilinibidi nifanye dodoso kwa wafanyakazi wenzangu ambao ni wadini ya kislamu ili kujua kama waliwai kuhisi ama kugundua au kudhani kwa sababu moja ama nyengine waliwai kunywimwa fulsa yoyote hapa kazini kwetu ama ktk shule walizosoma ama mahala popote ambapo ni pakitaifa zaidi.ktk waislamu 43 wa idara yangu kakika narudia tena hakika hakuna hata mmoja ambaye amesema kuwa alinyimwa fulsa ambazo ni haki yake kimsingi labda kkt mazingira ya rushwa,pili ktk mjadala huu cjafurahiswa na mtindo wa mzee said kujibu hoja kwa kubase kwenye mandiko ya kitabu chake mwenyewe hiyo inaashiria kuna udhahifui flani ama hana vyanzo vingine isipokuwa kitabu chake mwenyewe.
Sumu yake ndio hatari. Na kama husda mzee huyu anaongoza kwa aliyoyaandika na anayoyahubiri kumhusu Mwalimu. Alitamani sana akina Sykes wawe maRais wa NCHI hii isiyo yao ya asili!Tuhuma tupo mahakamani hapa? Mohamed Said hata hawaletee nini hata siku moja amuwezi kukubali roho zenu zijaa "Husda" na chuki kubwa dhidi ya Uislam huo ndiyo ukweli.
Ikiwa kweli unavyosema
"Tunakuona na kukupuuza jins unavozid kutapa tapa"
Nilitarajia kweli upuuze, kumbe kinyume chake hujapuuza,
Unapopuuza jambo yakupasa kunyamaza!
Hata mantiki ya kupuuza huijui je utaujua uchochezi wa Mohamed Said ambao ni dhahiri shahiri nimeonyesha tena kwakila lugha ya kimang'amuzi?