Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Unataka tuendelee kwa matakwa yako?

Tuendelee kufuata ngano zako?

Nikusifu kwa moyo mmoja wa uandishi wa NGANO uliotukuka, kwakweli naamini Shigongo kwako haoni ndani!

Lakini kinyume chake ninakupuuza na kukulaani kwa kugeuza ngano zako za Gerezani kuwa historia ya Uhuru wa nchi hii takatifu!

Ninaamini nchi hii ngekuwa ya mfumo kristu kama unavyodai wewe, leo hii tungeshakusahau kwenye uso wa dunia!

Ungeshanyongwa siku nyingi sana hata matanga wangeshasahau nduguzo!

Lakini kwakuwa nchi hii ni tambarale iliyowekwa wima na kujengwa imara na Mtakatifu Julius Nyerere, wewe leo hii umesoma na unaendelea kulichonganisha taifa bila kufinywa wala kusonywa!

Wewe, ujinga huo ulikuwepo wakati wa dikteta Nyerere, sasa hakuna hiyo wala usijidanganye kutaka kujidai eti unamtisha mtu, hayo yalikwisha wakati alipong'atuliwa bila kupenda na kina Tiny.

Wanaochonganisha huwajui au unajidai tu? ni wale wanaosaini mikataba ya kuchota fedha serikalini na kuzipeleka makanisani.

Unafikiri tumesahau Nyerere alivyowadhulumu Masheikh na wazee wetu kwa kuwafunga, kuwafukuza na kuwapoteza pasi na hatia? Hilo hatutalisahau, sisi na vizazi vyetu, leo hii huna wa kumtisha kwa kauli zako finyu.

Umeshindwa kuonesha chochote kimoja katika maandiko ya Mohamed Said, watu wamekutupia ushahidi humu wa dhulma za nyerere na kanisa alilolitumikia, bado unajufanya huoni tu? sasa unaanza kuja na kauli za maudhi ili uwapandishe watu? tunakwambia sisi tunakupa za uso tu.

Haya ulisha kwenda kuzipata data kwa chifu Abdu Mkwawa? Jee umeshaupata upata mkanda wa hatuba ya nyerere? tumekupa offer ya kukulipia, hujaona? vipi kuhusu habari za Abushiri ulizojidai utazileta? yamekushinda?
 
Mohamed

Ukisoma hilo andiko linatafsiri kuwa Nyerere alishinda uchaguzi ule au achukua tu kwa fadhila?

Mkuu jaribu kusimama wewe mwenyewe hata kwa muono wako bila kumfuata mwandishi wa andiko hilo,

Hivi ni kweli uchaguzi ufanyike na watu wawili wagombee kisha apatikane mshindi, je utasema amechukua uongozi au ameshinda uchaguzi na kuwa kiongozi?

Usipotoshe hapa mkuu!
 
The whole week before voting Phombeah was making rounds campaigning for Nyerere. But there was no need of doing that; the TAA inner circle of Abdulwahid, Ally, Dossa Aziz and Rupia had already decided to make Nyerere president of the Association and the election was a mere formality. After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began.

Abdulwahid ‘lost' the election-the first loss in his whole political career-and Nyerere won by a very small margin
Pamoja na kupigiwa kampeni, pamoja na kuwa akina sykes walikuwa wameshaamua kumpa Nyerere urais, alishinda ushindi mwembamba tu!
Hii yote ni kujaribu kumshusha Nyerere au?
 
Mohamed Said nitakuwa mjivi wa fadhila ikiwa kwa medula yangu iliyosimama wima nitaanza kukulinganisha wewe na Ernest Hermingway
Mark Twain au Irving Wallace,

Nimekupa stahiki yako kuwa ni SHIGONGO sio hao wengine!

Ulishawahi kusikia Shigongo anakwenda kuhadhiri chuo kipi duniani?
 
N,

Sawa sisi ni Uhuru na Mzalendo.
Kuna mtu alinambia kuwa nyie ni watu wa chama fulani.

Mimi si mtu wa kuambiwa neno nikaamini hapo hapo sasa dalili zinaanza kujitokeza.
Ala kumbe Uhuru na Mzalendo hawana maana.

Hivi wewe umejua lini hili?

Sasa fungua uzi mpya tujadili.

Ungelijua uungwana wa Harith na ukoo wake wa Waafrika pamoja na yeye mwenyewe
ungejuta kumtukana.

Nitakuonjesha kidogo.

Bibi yake Harith ni Mmanyema mweusi tiii Biti Tambwe na babu yake ni Muarabu wa Zanzibar
mwenye asili ya Kiomani.

Zanzibar walikuwapo wasichana wa Kiarabu lakini babu yake Harith alianguka kimapenzi na
msichana wa Kimanyema Mwafrika kama Waafrika wanavyokuja.

Posa zikenda na ndoa ikafungwa.
Ndiyo leo tuna huyu mjukuu Harith Ghassany.

Baba yake Mzee Ghassany alisoma Oxford pamoja na Mwinyibaraka.
Nikimjua Mzee Ghassany wala sikuuona huo Uarabu wake na kafanya kazi serikalini hadi alipostaafu.

Nikikutana na Harith huniimbia nyimbo za Kimanyema alizofunzwa na bibi yake.
Nyimbo hata mie sikupata bahati ya kuzijua.

Sasa mnapambana na kizazi hiki ambacho hakijaathiriwa na propaganda za Wamishonari na huku Bara
ngano zenu za Waarabu kutesa Waafrika.

Ndiyo hii Zanzibar ya leo inayodai uhuru wake.
Mohamed Said
Nimekufananisha wewe na Ghassany kama magazeti dada ya uhuru na mzalendo kwa maana kuwa msimamo wenu ni uleule. Ni kama ule msemo wenu watu wa pwani wa "pipa na mfuniko". Wala sikumaanisha kuwa nyie ni wanachama wa chama fulani na mimi ni wa chama kingine. Mimi ni Mtanzania, na sina chama chochote kwa sasa.

Hebu Msome Ndugu yako, Dr Harith Ghassany:

Kwanini uliamua kuandika Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru?
Nataka ifahamike kuwa mimi binafsi nina damu ya Kiarabu na ya Kiafrika. Nia yangu kukiandika kitabu ni kuziondowa fitina za upotoshaji wa historia ili uhusiano mkongwe baina ya Wazanzibari waliochanganya damu, baina ya Wazanzibari na Watanganyika (Watanzania), na baina ya Waafrika na Waarabu, upate kuendelea kutitirika na kuimarika kwa maslahi ya kujenga amani na neema kwa faida ya walio wengi na vizazi vya baadae vya pande zote. Leo hii Mzanzibari amefika kuweza kumuambia Mzanzibari mwenzake: “Leo nitakuambia nini Nabii Yussuf aliwaambia nduguze: “Leo hakutokuwa na atakayefedheka.” Tusisahau kuwa Nabii Yussuf hakuyasema maneno hayo pale alipotupwa na nduguze ndani ya kisima. Na wala Zanzibar haitoweza kuiambia Tanganyika maneno ambayo Nabii Yussuf aliwaambia ndugu zake wakati sauti yenye kuyarejelea maneno ya hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ingali ikisikilizana: “Ningekuwa na uwezo, ningevikokota visiwa va Zanzibar nikavitupilia mbali katikati ya Bahari ya Hindi.”
Au Waarabu/Waislam kuendelea kusakamwa kuwa wao pekee walihusika na biashara ovu ya binaadamu wenzao Afrika Mashariki na Kati. Nabii Yussuf aliweza kuwasamehe nduguze baada ya kuwa na nguvu na hadhi kubwa ambazo zingemuezesha kuwaadhibu nduguze waliomdhulumu. Kusamehe kwenye udhaifu ni kuakhirisha uadilifu. Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuruhakikuja kupigana au kuwapigania wenye kutaka kuviendeleza vita vya jana na vya juzi, bali kimekuja kuleta suluhu na amani katika Zanzibar na Tanzania...

Hayo yalikuwa ni mahojiano yake na mwandishi:SULUHU NA AMANI : ANA KWA ANA NA HARITH GHASSANY « kitoto
Huyu bwana ni katika watu waliochanganya damu, akikua akifiri kuwa na damu ya kiarabu is a big deal- and this is not unique to him. Wengi wa watu wa pwani waliochanganya damu huwa wanafikiri hivyo. Baadaye akaja kupambana na historia na kukuta kuwa kumbe uarabu (bahati mbaya wengi wanafikiri ni synonymous na uislam) ulikuja kufanya kitu mbaya ya utumwa? Akajaribu kuukataa ukweli, ikashindikana-ukweli ukabaki kuwa Waarabu walifanya biashara ya utumwa, East and central Africa. Akaona bora apunguze ukali, wa hiyo dhambi, kwa kusisitiza kuwa waarabu sio pekee waliofanya utumwa. Kwa maana nyingine anahalalisha, kwa vile wazungu na machifu walifanya kule west Africa. Na kama walivyo wengi wao wa hawa waliochanganya damu, wangependa sana waitwe waarabu (kuliko wamanyema), na ikiwezekana hata ndugu zao wa Oman warudi Zanzibar. Na wanauchukia muungano na mapinduzi ya 1964 kwasababu wanafikiri isingekuwa mapinduzi, wao wangekuwa kwenye "special class of citizens", Hizo ndio motives zao/zenu bwana Mohamed Said. Ulimsaidia sana kumwongoza ili kale ka-chuki kenu kasambae kwa waislam wa zanzibar, na sasa mnaendelea huku bara.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na kupigiwa kampeni, pamoja na kuwa akina sykes walikuwa wameshaamua kumpa Nyerere urais, alishinda ushindi mwembamba tu!
Hii yote ni kujaribu kumshusha Nyerere au?

Hapo amepandishwa hadhi sana na wazee wa Dar. Ile kuwekwa tu na akina Sykes nyumbani kwao ujuwe alishapewa hadhi kubwa sana, wamisheni enzi hizo walikuwa hawakai Kariakoo, wanaishia mishen kota.
 
Mimi sihitaji kufananishwa na yeyote, nasimama mimi tu bila kuhitaji mfano!

Mimi simjuvi wala mwanatambo za masika!

Wewe hata Juha Kalulu ana hadhi zaidi yako, kwa kuwa huna ulijualo mpaka sasa zaidi ya ujuvi.
 
Mohamed

Ukisoma hilo andiko linatafsiri kuwa Nyerere alishinda uchaguzi ule au achukua tu kwa fadhila?

Mkuu jaribu kusimama wewe mwenyewe hata kwa muono wako bila kumfuata mwandishi wa andiko hilo,

Hivi ni kweli uchaguzi ufanyike na watu wawili wagombee kisha apatikane mshindi, je utasema amechukua uongozi au ameshinda uchaguzi na kuwa kiongozi?

Usipotoshe hapa mkuu!

Alishinda. Umeshaambiwa na kujibiwa mara chungu nzima na umewekewa page nzima inaelezea huo uchaguzi, ni nini usichokielewa? au lugha iliyotumika inakupa matatizo?

Sasa huo ndio uchochezi wa Mohamed Said au wako? hiyo ndio dhihaka ya Mohamed Said au yako?
 
Mohamed Said
Nimekufananisha wewe na Ghassany kama magazeti dada ya uhuru na mzalendo kwa maana kuwa msimamo wenu ni uleule. Ni kama ule msemo wenu watu wa pwani wa "pipa na mfuniko". Wala sikumaanisha kuwa nyie ni wanachama wa chama fulani na mimi ni wa chama kingine. Mimi ni Mtanzania, na sina chama chochote kwa sasa.

Hebu Msome Ndugu yako, Dr Harith Ghassany:
Kwanini uliamua kuandika Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru?
Nataka ifahamike kuwa mimi binafsi nina damu ya Kiarabu na ya Kiafrika. Nia yangu kukiandika kitabu ni kuziondowa fitina za upotoshaji wa historia ili uhusiano mkongwe baina ya Wazanzibari waliochanganya damu, baina ya Wazanzibari na Watanganyika (Watanzania), na baina ya Waafrika na Waarabu, upate kuendelea kutitirika na kuimarika kwa maslahi ya kujenga amani na neema kwa faida ya walio wengi na vizazi vya baadae vya pande zote. Leo hii Mzanzibari amefika kuweza kumuambia Mzanzibari mwenzake: "Leo nitakuambia nini Nabii Yussuf aliwaambia nduguze: "Leo hakutokuwa na atakayefedheka." Tusisahau kuwa Nabii Yussuf hakuyasema maneno hayo pale alipotupwa na nduguze ndani ya kisima. Na wala Zanzibar haitoweza kuiambia Tanganyika maneno ambayo Nabii Yussuf aliwaambia ndugu zake wakati sauti yenye kuyarejelea maneno ya hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ingali ikisikilizana: "Ningekuwa na uwezo, ningevikokota visiwa va Zanzibar nikavitupilia mbali katikati ya Bahari ya Hindi."
Au Waarabu/Waislam kuendelea kusakamwa kuwa wao pekee walihusika na biashara ovu ya binaadamu wenzao Afrika Mashariki na Kati. Nabii Yussuf aliweza kuwasamehe nduguze baada ya kuwa na nguvu na hadhi kubwa ambazo zingemuezesha kuwaadhibu nduguze waliomdhulumu. Kusamehe kwenye udhaifu ni kuakhirisha uadilifu. Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuruhakikuja kupigana au kuwapigania wenye kutaka kuviendeleza vita vya jana na vya juzi, bali kimekuja kuleta suluhu na amani katika Zanzibar na Tanzania...

Hayo yalikuwa ni mahojiano yake na mwandishi:SULUHU NA AMANI : ANA KWA ANA NA HARITH GHASSANY « kitoto
Huyu bwana ni katika watu waliochanganya damu, akikua akifiri kuwa na damu ya kiarabu is a big deal- and this is not unique to him. Wengi wa watu wa pwani waliochanganya damu huwa wanafikiri hivyo. Baadaye akaja kupambana na historia na kukuta kuwa kumbe uarabu (bahati mbaya wengi wanafikiri ni synonymous na uislam) ulikuja kufanya kitu mbaya ya utumwa? Akajaribu kuukataa ukweli, ikashindikana-ukweli ukabaki kuwa Waarabu walifanya biashara ya utumwa, East and central Africa. Akaona bora apunguze ukali, wa hiyo dhambi, kwa kusisitiza kuwa waarabu sio pekee waliofanya utumwa. Kwa maana nyingine anahalalisha, kwa vile wazungu na machifu walifanya kule west Africa. Na kama walivyo wengi wao wa hawa waliochanganya damu, wangependa sana waitwe waarabu (kuliko wamanyema), na ikiwezekana hata ndugu zao wa Oman warudi Zanzibar. Na wanauchukia muungano na mapinduzi ya 1964 kwasababu wanafikiri isingekuwa mapinduzi, wao wangekuwa kwenye "special class of citizens", Hizo ndio motives zao/zenu bwana Mohamed Said. Ulimsaidia sana kumwongoza ili kale ka-chuki kenu kasambae kwa waislam wa zanzibar, na sasa mnaendelea huku bara.

Mbona baada ya mahojiano umeongeza ufukunyuku wako ambao hauna maana yoyote?
 
Just learned from you with your dictionaries. You have very short memory.
No sir!
You implied (boastfully) in your earlier post that Quran teaches everything even how to address others. I guess it taught you a new vocabulary "Nanrenkoko". I never showed you this in the dictionary I used, It didn't exist hitherto, thanks to your Quran Teachings...
Penda usipende, neno mwarabu koko lipo na linatumika hata hapo mtaani kwako Kariakoo. And your guy is a mwarabu koko.
 
Zomba

Unajua tulichokuwa tunajadiliana na Mohamed sasa hivi au uzinduka na kuropoka tu?

Tulia ndugu, linda moyo wako kuliko vyote ulindavyo!
 
Zomba

Unajua tulichokuwa tunajadiliana na Mohamed sasa hivi au uzinduka na kuropoka tu?

Tulia ndugu, linda moyo wako kuliko vyote ulindavyo!

wewe una uwezo wa kujadiliana na Mohamed Said? Kakupa za uso ukatafuta pakutokea, ukakimbilia kwa Mkwawa, ukala knockout ya ki Tyson, ukagwaya kuleta za Abushiri kama ulivyoahidi, mara ooh, naleta hotuba kutoka TBC, mara ooh nakwenda kwa Chifu wa wahehe kuchukuwa data, mara ooh wewe Shigongo. Hata hujuwi unachokiandika halafu wewe ndio wakunambia mimi ninyamaze? Huoni haya wala hujuwi vibaya?
 
Mimi sina cha kulemba wala hoja...nakupiga kisu hadi kwenye mfupa utajua mwenyewe mbele ya safari.

Nyinyi wafia dini wa Gerezani kariakoo mtapiga keleleweeeeeeeee lakini hakuna mtakacho badilisha hapa Bongo na Dunia
mzima kwa ujumla.
(1) Nyerere ndiye kiongozi wa kwanza wa TANU
(2) Nyerere ndiyo waziri mkuu wa kwanza Bongo
(3) Nyerere ndiye Rais wa kwanza Bongo.
(4) Nyerere ndiye Baba wa Taifa la Bongo na haitokuja badilika hadi mnaingia kaburini.
(5) Nyerere atabaki kuwa mtu maharufu na mwenyekupendwa na watu wengi kuliko mtu yeyote ndani ya Bongo.

Mukiweza kuibadili jiografia hiyo hapo juu kwa kuwaweka wafiadini wenzenu wa gerezani basi mimi najipiga kitanzi leo leo.

Je, munalingine?
 
wewe una uwezo wa kujadiliana na Mohamed Said? Kakupa za uso ukatafuta pakutokea, ukakimbilia kwa Mkwawa, ukala knockout ya ki Tyson, ukagwaya kuleta za Abushiri kama ulivyoahidi, mara ooh, naleta hotuba kutoka TBC, mara ooh nakwenda kwa Chifu wa wahehe kuchukuwa data, mara ooh wewe Shigongo. Hata hujuwi unachokiandika halafu wewe ndio wakunambia mimi ninyamaze? Huoni haya wala hujuwi vibaya?
Zomba wewe hapa jamvini umeshazeeka Nenda kacheze na wajukuu wako acha kuact ujana
 
Pamoja na kupigiwa kampeni, pamoja na kuwa akina sykes walikuwa wameshaamua kumpa Nyerere urais, alishinda ushindi mwembamba tu!
Hii yote ni kujaribu kumshusha Nyerere au?

S,

Hali ya Dar es Salaam ya 1950s ilikuwa ngumu sana kwa Wakristo.

Najua unapata tabu sana kujua wazee wetu waliishi vipi.
Nyerere angemuingiaje Sheikh Hassan bin Amir bila ya Abdu Sykes na Dossa?

Hii group ya kina Abdu walikuwa watu wengine ''modernists'' nimeleeza katika
kitabu kwa urefu sana ukweli wa hali.

Kuna watu katika wapiga kura hawakumtaka Nyerere na alipochukua uongozi
TAA ikafa.

Najua tatizo ni kuwa mnaamini zaidi ile historia rasmi.

Hapo chini ni kutoka kitabu changu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Soon after Nyerere's takeover, TAA seemed to go into slumber. The militancy and zeal which was associated with the leadership of Abdulwahid was lost.

It had only been once in the history of Dar es Salaam that a Christian, Erika Fiah, had held the banner against the colonial state. Nyerere lived out of town and came to Dar es Salaam only on weekends.

This affected administration of the Association and for a time members seemed to lose interest in it.

Members of the executive committee did not turn up regularly for meetings, in spite of the fact that Dossa Aziz made rounds with his car to collect them.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Dossa Aziz recalls that he would stop outside a member's house and hoot. A child or the wife would come out to announce that he was not in when he in fact was in.

For a while it seemed as if Nyerere was going to be a setback to the movement. This had been the tradition with TAA; its life depended on the calibre and commitment of its leadership.

In the early phase, with Kleist Sykes and Mzee bin Sudi as leaders at headquarters, TAA made great strides. Likewise, in the era of Ali Juma Ponda and Hassan Suleiman in the Dodoma branch, TAA was very active and its leadership was respected even beyond the borders of Tanganyika.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Abdulwahid was available as Vice-President but he was also keen to see Nyerere, as President assuming his full role and making his own decisions. He consulted the TAA inner circle of fellow townsmen-Ally, Dossa Aziz,

Tewa and Rupia, to see what they could do to arrest the deteriorating situation.

By then it was clear that the problem was the transfer of power. Members were apprehensive of the new leadership at the top. This was understandable bearing in mind that it was only three years before that Abdulwahid and Kyaruzi had revived the Association after years of near inactivity. It was decided that Muslim elders in the community should be approached and asked to support Nyerere.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The elders were approached. They were told why the TAA leadership had accepted Nyerere. TAA was being transformed into an open mass movement.

Abdulwahid told the elders, among whom were sheikhs that, the country was entering the last phase of the struggle and that needed the support of every Tanganyika African irrespective of religion or ethnic identity.

The elders were TAA members but they also belonged to their own tribal groups such as the Batetera Union of the Manyema led by Mzee bin Sudi, and the Zaramo Union under the leadership of Makisi Mbwana. Some members were also active in Al Jamiatul Islamiyya. Abdulwahid told the elders that the TAA was headquarters were in great need of their open support, and in particular, the highly educated African leaders such as Julius Nyerere who were close to the colonial state.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The elders consented and began to build Nyerere's image as the unifying force of all Africans. A student of Mufti Sheikh Hassan bin Amir recalls to have seen Abdulwahid, Dossa Aziz and Nyerere on several occasions in early 1950s coming to see the sheikh at his madras in Kariakoo on Amani Street, house no. 36. Usually when Abdulwahid, Dossa Aziz and Nyerere went to see him, Mufti Sheikh Hassan Bin Amir would dismiss his students and consultations would take place there, inside the madras, with the young men sitting cross-legged before him.

Other prominent elders were Sheikh Suleiman Takadir, nicknamed ‘Makarious,' a well learned Muslim scholar; Mohamed Jumbe Tambaza, a landowner; Mshumi Kiyate, a well-to-do fishmonger; Mwinjuma Mwinyikambi, owner of huge tracts of land planted with coconut and mango trees; Rajab Diwani, a simple carpenter but gifted orator; Makisi Mbwana, leader of the Zaramo community in Dar es Salaam; Sheikh Haidari Mwinyimvua, a simple tailor and a man of integrity; Idd Faizi Mafongo and Idd Tosiri two Manyema brothers, cousins to Sheikh Mohamed Ramia of Bagamoyo, the Khalifa of Tariqa Qadiriya.Idd Tosiri was an active member as was Idd Tulio, a respectable elder; and Mashado Ramadhan Plantan, editor and proprietor of Zuhra, and his brother Schneider Abdillah Plantan, distant relatives to the Sykes brothers.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Yericko Nyerere,

Tunajifunza kutoka kwako naomba utufahamishe rais wa TAA mwaka 1949 Alikuwa nani na Katibu wake alikuwa nani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom