mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Yericko Nyerere,
Tunajifunza kutoka kwako naomba utufahamishe rais wa TAA mwaka 1949 Alikuwa nani.na Katibu wake alikuwa nani.
Ninafahamu vizuri tena si kwakusimuliwa vibarazani kama afanyavyo Mohamed!
Ninazo na nyaraka zote muhimu!
Rais wa TAA alikuwa Dr Kyaruzi,
Kisha nafasi hiyo ikakaimiwa na Katibu Abdul Sykes baada ya Dr Kyaruzi kuhamishwa De mpaka Mwalimu Nyerere alipokuja kumshinda katika uchaguzi wa pale Arnatouglo mnazi mmoja pale 1953
N,
Lakini mimi siyo Akin wala si mpuuzi na kitabu changu kipo hapo pamoja na vitabu
vya waandishi wengine.
Wala siko hapa JF kwa porojo kwani porojo si sifa yangu.
Labda hujui.
Miaka mingi sana nyuma nilipewa heshima ya kuwa member wa Libary of Congress
na Tanzania nzima tuliopata bahati hiyo tulikwa watu watano tu.
Hiki ni kisa chake ukipenda nitakiweka hapa jamvini.
Umekasirishwa na historia hii.
Hili nalielewa sana.
Watu wanaoifurahia historia hii hivi sasa ni Waislam pele yao.
Sishangai na hamaki ulizoshukanazo.
Zomba wewe hapa jamvini umeshazeeka Nenda kacheze na wajukuu wako acha kuact ujana
Nyerere alikuwa noma sana...ile kutia maguu tu Bongo akawakuta watu wanakunywa kahawa'akawabeep kidogo tu kwa
kuwarushia pipi,wazee wakaingia mazima mazima...jamaa huyoooooo ikulu. Chezea nyerere wewe.
Mkuu hakuna aliyesema wewe ni Todd Akin, au kuwa wewe ni mpuuzi! Just one thing naomba ushahidi wa copy ya ID card yako as a member of Library of congress halafu baada ya hapo tumwage nondo.
Mkuu hakuna aliyesema wewe ni Todd Akin, au kuwa wewe ni mpuuzi! Just one thing naomba ushahidi wa copy ya ID card yako as a member of Library of congress halafu baada ya hapo tumwage nondo.
Wewe una nondo gani za kushindana na historia ya ukweli? Unaweza kuifuta? Unaweza kumyayusha Mshume, Tosiri, Plantan, The Sykes family, Bibi Titi? Unao uwezo huo?
Kweli Hilo ni jibu mujarabuNakushangaa wewe kijana badala ya kwenda kujijengea maisha yako ya baadae, wewe upo hapa jamvini. Mwenzako nnakula kodi za Kariakoo, hata nikikaa hapa 24/7 burdan wa sharaba, wewe Jee?
Ninafahamu vizuri tena si kwakusimuliwa vibarazani kama afanyavyo Mohamed!
Ninazo na nyaraka zote muhimu!
Oyaa hoja kwa hoja after all naongea na mwalimu wako, wewe muda huu ficha hicho kikia chako!!!!!!!!!!!!!!!!
N,
Nilikuwa mwanachama miaka mingi sana nyuma na baada ya USIS kufungwa kwa hofu
za ugaidi...
Mambo yakawa ndiyo mwisho.
Huamini kauli hadi upate ushahidi.
Kwani wewe unaona hilo kuwa member wa Library of Congress jambo kubwa sana kiasi
mie nijisingizie?
Nijisingizie halafundiyo iwe nini?
Mbona hii kuandika hiki kitabu mie inanitosha sana?
Mbona unaingia na vitisho vya nondo?
Unataka kunitisha mie?
Plz naongea na mwalimu wako wewe ficha hicho kimkia chako na makalio yako ya kichina!!!!!!!!!!Jibu swali wewe nyambala wahed.
Plz naongea na mwalimu wako wewe ficha hicho kimkia chako na makalio yako ya kichina!!!!!!!!!!
Yako ya ki nyambala yawache wazi, si umezowea?