Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

wewe mbona huishi kuchezesha kimkia chako mm naongea na mwalimu wako plz kalale ebo!
Mkuu Nyambala, achana na msukule huo wa mzee Mohamed, upo hapa kutibua na kuwa tia hasira watu wanaoonesha upuuzi wa bwana wake!
 


Mag3,

Nimesoma na nimekuelewa.
Hizo ni fikra zako na una haki ya kuwaza hivyo.

Ila nataka kufanya masahihisho kidogo katika para ya mwisho kuhusu AMNUT.
Sheikh Abdallah Idd Chaurembo hakupata kuwa mwanachama wa AMNUT.

Yeye alikuwa mwanachama wa TANU toka 1954 hadi alipofariki dunia katika miaka ya 1980.

Soma hapa chini kutoka kitabu changu:

This was the beginning of the at times silent opposition to TANU.

In 1959, Ramadhani Mashado Plantan, the veteran journalist, proprietor of Zuhra, the TANU mouthpiece, together with a group of Muslims including Saleh Muhsin, resigned from TANU to form the All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT).

Other founding members were Abdallah Mohamed, a senior civil servant, and Hamisi Hunde. Abdallah Mohamed was elected president and Mashado Plantan secretary.

Plantan provided a room in his house at Kirk Street, Gerezani, as an office for AMNUT. Soon after the formation of AMNUT, a leadership crisis ensued and the office had to be moved from Plantan's house to Libya Street, an Indian neighbourhood in the town centre.

A new leadership came into power and a new secretary, Abdulwahid Abdulkarim twenty-five year-old Afro-Arab, was elected to take the place of Plantan.

Abdallah Mohamed retained his post as secretary.

AMNUT could not maintain the office in this rich India neighbourhood as it found the rent for the premises prohibitive.

AMNUT moved its office back to Kariakoo on Narung'ombe Street, near the mosque of Sheikh Idris bin Saad.

Naenda kukufahamisha kuwa babu yangu Salum Abdallah hakupata kuwa mwanachama wa AMNUT na kama angekuwa ningekufahamisha.
 
G,

Mbona sasa tena unatukana?
Mohamed, huna cha maana zaidi ya ushabiki wa kipuuzi, umezikimbia hoja za msingi alizoleta Nyambala na kukumbatia upuuzi wa mpuuzi mwenzio zomba! huna unalolijua zaidi ya kujisifu na usomi wako njiwa.
 
Wafia dini wa kariakoo gerezani ni wapuuzi sana...utawasikia mie Man U, mie Arsenal, mie Liverpool yaani wanashabikia mfumo kristo bila wenyewe kujijua. Kwanini msishangilie timu za Uarabuni? Mfumo kristo utawatawaleni hadi mnaingia kaburini.
 

N,

Hii ndiyo namna ya mnakasha wetu.
Huwa unakwenda vizuri halafu ghafla uwanja unachafuka.

Wachezaji wanaanza rafu mtindo mmoja.
Sasa ndiyo tupo hapa.

Tunashambuliana.

Sasa sijui wanajamvi mnasemaje.
Tulikunje jamvi tuondekeni?
 
Wiki mbili zilizopita Wafaransa wameingia nchini Mali na wamewatandika wafia dini wote na sasa nchi iko shwari.

Chezea mfumo kristo wewe.
 
Naheshimu dini ya kiislaam japo mimi si muislaam...nawaheshimu Waislaam lakini si Waslaam hawa wa gerezani kariakoo....yaani ni wapuuzi sijapata ona!. Namshukuru Mwl.nyerere kwa kuwatawala wafia dini hawa.
 
Rais wa TAA alikuwa Dr Kyaruzi,

Kisha nafasi hiyo ikakaimiwa na Katibu Abdul Sykes baada ya Dr Kyaruzi kuhamishwa De mpaka Mwalimu Nyerere alipokuja kumshinda katika uchaguzi wa pale Arnatouglo mnazi mmoja pale 1953


Yericko Nyerere,

Nimekuuliza nani alikuwa rais wa TAA mwaka 1949 na Katibu?

Halafu acha kupotosha kama hujui uliza huo uchaguzi wa TAA ulifanyika Arnatouglo siyo huo mwaka uliandika.

Nasubiri jibu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mfumo kristo ulitawala babu zenu,ulitawala baba zenu,na sasa unawatawala nyinyi,utatawala watoto wenu na utatawala
hadi vijukuu vyenu. Amtaki acheni.
 
Naachia kisu hadi kwenye mfupa wa fahamu...sitaki unafiki wa kuuma maneno.

Umeme unaotumia ni mfumo kristo.

Simu na computer yako ni mfumo kristo

Ndege unayopanda kwenda nchi yoyote ile ujue ni mfumo kristo.

Gari unayoendesha ni mfumo kristo

Unavyoshangilia ligi ya Uingereza,Spain,Germany na Italy nao ni mfumo kristo....ndiyo maana nasema mfumo kristo ni kama
maji, usipoyakoga basi utayanywa tu. Mfumo kristo ndiyo unaotawala na kuendesha dunia hii! Kama mimi ni muongo
basi muulizeni ndugu yenu wa magogoni.
 
Mfumo kristo ulitawala babu zenu,ulitawala baba zenu,na sasa unawatawala nyinyi,utatawala watoto wenu na utatawala
hadi vijukuu vyenu. Amtaki acheni.

Naaam naam mfumo huo ndio unaotawala dunia na utatawala daima
 
Na hapa kuna wenzetu utawasikia wakisema "unaona waislamu walvyomsaidia Nyeere?"

Siyo wanasema kama unapingana maneno ya Kambarage sawa yeye mwenyewe anakiri anasema kuna kipindi alikuwa mkiristu peke yake.

Mkuu nasubiri majibu ya TAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…