Jisomee mwenye uliyoyaandika na niliyokujibu labda utajishtukia:
By
Jasusi
Yaani Begin ndiye Moshe Dayan? Anayehitaji darasa ni wewe.
Uzuri wa JF kama moderators hawajachakachuwa kila kitu kinakuwapo, soma ulichoandika na nilivyokujibu na kukupa darsa:
Uliandika hivi:
By
Jasusi
Arafat alikutana Camp David wakati wa Bill Clinton ambaye aliingia mamlakani 1988.
Hakukuwa na mkutano Camp David enzi za Menachem Begin.
Nikakupa hint:
By
zomba
Jimmy Cater?
Hukunielewa kuwa nilikuwa nakusaidia kiuungwana, ndio maana nilikuwekea jina tu la Jimmy Cater bila maelezo, ili urejeshe kumbukumbu zako, ukajibu bila kufikiri:
By
Jasusi
Hata wakati wa Jimmy Carter haikuwa Moshe Dayan. Dayan alikuwa waziri wa ulinzi. Arafat alikuthttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/383235-uchochezi-wa-mohamedi-said-na-dhihaka-kwa-wapigania-uhuru-wa-tanganyika-na-zanzibar-160.html#post5579623ana na waziri mkuu wa Israel.
Nikakupa darsa baada ya kuona kuwa kumbe huelewi unachokiandika na hata unaposaidiwa kwa kupewa hint bado unajifanya mjanja:
By
zomba
Hiyo niliyokuwekea nyekundu si sahihi na usipotoshe wanaopitia hii mijadala.
Moshe Dayan alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa Jimmy Cater na si Waziri wa ulinzi, Jimmy Cater mwaka 1978 waliposaini mkataba na Anwar Saadat na Menachem Begin, Moshe Dayan alikuwa kiungo muhimu cha kuandika mapatano hayo.
Menachem Begin,
Jimmy Carter and
Anwar Sadat at
Camp David, 1978
In 1977, despite having been
re-elected to the Knesset for the
Alignment, he accepted the offer to become Foreign Minister in the new
Likud government led by
Menachem Begin. He was expelled from the Alignment, as a result and sat as an independent MK. As foreign minister in Begin's government, he was instrumental in drawing up the
Camp David Accords, a peace agreement with Egypt. Dayan resigned his post in October 1979,
Nikakuta kwingine tena ulianza kupotosha kwa hili:
By
Jasusi
Arafat alikutana Camp David wakati wa Bill Clinton ambaye aliingia mamlakani 1988.
Hakukuwa na mkutano Camp David enzi za Menachem Begin.
Nikaamuwa nikupe darsa lingine kwa kuwa huelewi unachokisema:
By
zomba
Usipotoshe wana JF. Menachem Begin ndiye alisaini mkataba wa kwanza wa maridhiano baina yake na Anwar Saadat mwaka 1979 wakati wa Jimmy Cater (akiwa kinara wa mkataba huo). Nimeweka na picha. Na makubaliano hayo yaliyoanzia Camp David 1978 (ndiyo yalipelekea Anwar Sadat na Menachem Begin kupewa kwa pamoja tuzo ya Nobel mwaka 1978) na kufikia kilele na kusainiwa na wote watatu White House mwaka 1979 na ndiyo pia yalichochea Jimmy Cater kupewa tuzo ya Nobel mwaka 2002.

President Jimmy Carter, center, with Egyptian President Sadat, left, and Israeli Prime Minister Begin, right, during a signing ceremony for the Camp David Peace Accords at the White House in 1979. Carter was awarded the Nobel Peace Prize in 2002 for his humanitarian efforts and success in bringing Egypt and Israel to the peace table in 1979. mk/mk/UPI
Read more:
Egyptian candidate says Camp David 'dead' - UPI.com
Sasa unarusha nini? vitu viko kinagaubaga.