Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

THE BIG SHOW,

Pole sana kwa ban najua muda si mrefu utarudi usiwe na wasiwasi fikra zako bado zinafanya kazi ndani ya JF.
 
Last edited by a moderator:
WildCard,
Utazunguka kila kona mwisho utarudi pale pale mfumo kirstu umeletwa na Nyerere.
Nijibu basi swali langu. Uislam unalo tatizo la ELIMU? Mwalimu hata ukristo kaletewa ukubwani. Mfumo kristu uliletwa na Wajerumani wakisaidiwa na walowezi akina Sykes. Ukakuzwa na Waingereza. Mwalimu alijitahidi sana kuuvunja. Na katika kufanya vile baadhi ya Masheikh wakajaribu bila mafanikio kuu-replace na mfumoIslam. Mzanaki akawashughulikia kikamilifu. Chuki na historia ya mzee wetu Mohamed inaanzia hapo.
 
WildCard,
Utazunguka kila kona mwisho utarudi pale pale mfumo kirstu umeletwa na Nyerere.

Nyerere hakuleta mfumo kristu ndugu, stuks kidogo basi usigande hapo hapo.

Mfumo kristu uliletwa na mjerumani kabla hijafikiriwa kuwa kuna mtu aitwae Julius Nyetere atazaliwa

Mwalimu kazi kuu aliyoifanya baada ya kushika hatamu za uongozi ni kuutoa/kuufutilia mbali mfumo huo.

Ifamikie Mwalimu hakuzaliwa kwenye ukristu wala uislamu. Yeye kazaliwa kwenye dini za asili.
 
Kwa wale ambao hamjawahi kumuona Mohamed Said mtizameni hapa kwanya link hii,, hadhira alizozowea kuzungumza nazo ndiyo kama hizi, kama kawaidan kila baada ya maneno matatu '' inasemekana'' lazima itumbukizwe humo. Simulizi ni zzile zile

ingia you tube..... bonyeza waislamu tanganyika. Samahanini natumiia sm nimeshiindwa kupost link. Natumai wengine wataziweka hizo you tubes.
 
Uislam hauna tatizo la elimu, aya ya kwanza ya Quran inatuhamlisha Waislam kusoma "Iqra"

Oscar Kambona,Chifu Makwaia, nao kawashughulikia kwa mfumoIslam.
 
Uislam hauna tatizo la elimu, aya ya kwanza ya Quran inatuhamlisha Waislam kusoma "Iqra"

Oscar Kambona,Chifu Makwaia, nao kawashughulikia kwa mfumoIslam.
Tatizo jingine la Uislam ni kuficha kwa saana mapungufu ya DINI hii na yale ya Mtume Mohamad( S.A.W). Hamtatoka mlipo. Endeleeni kuyahamishia matatizo haya kungine au kuyafutika kwenye busati. Hayatatulika!

Ukitaka kujua Mwalimu hakuwa na mchezo katika kusimamia KATIBA na SHERIA za NCHI, OK, rafiki yake mkubwa ni mfano mzuri sana. Jakaya wetu kamgwaya Lowasa!
 
Habari za Kambarage wewe huzijui. Nyerere kalelewa na Father Richard Walsh. Na ndiyo aliyempatia nafasi ya masomo Scotland.

Unategemea nini hapo Father Richard Walsh alikuwa na ushawishi mkubwa katika maisha na fikra za Nyerere.

Acha kupotosha unataka kumtoa Nyerere kwenye Ukisto wake.

Unaweza kulelewa na Father Kanisani halafu usiwe Mkiristu.
 
Tatizo jingine la Uislam ni kuficha kwa saana mapungufu ya DINI hii na yale ya Mtume Mohamad( S.A.W). Hamtatoka mlipo. Endeleeni kuyahamishia matatizo haya kungine au kuyafutika kwenye busati. Hayatatulika!

Umeamia tena kwa Mtume.

Nijibu basi na mimi swali langu la Oscar Kambona.
 
Mfumo kristo utakutawala wewe na vizazi vyako vyote hadi mnaingia kaburini. Kama mimi muongo kamuulize mzee wa magogoni. Wafia dini mtakoma mwaka huu.
 
Hili ndilo tatizo kuu la ndugu zangu Waislamu; chochote kinachosemwa kuiunga mkono dini ya Kiislamu dhidi ya adui wa Uislamu, huchukuliwa kuwa ni ukweli, hata kama hakina uthibitisho wowote!

Nakumbuka kisa cha yule Mama wa Mbagala aliyekuwa akilia barabarani kuelekea kwenye harakati, alipoulizwa na Mwandishi wa ITV kwa nini analia; akasema amesikia Kitabu kitukufu kimekojolewa! Mifano ipo mingi mno duniani.

The Big Show, juzi Rais JK ametukumbusha Watanzania; ' AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZA KWAKO'
 
Huyu Padre wamekutana ukubwani tu. Mwalimu akijilea mwenyewe tayari. Ukatoliki wa Mwalimu ulikomaa alipomwoa Maria.
 
Ndugu usipotoshe juu ya nilichokisema, kasisi Richard na Mwalimu Nyerere wamekutana ukubwani tu,
 
WildCard,
Utazunguka kila kona mwisho utarudi pale pale mfumo kirstu umeletwa na Nyerere.
Siyo kweli, mfumo kristo uliletwa na wakoloni kwa kuwa walikuwa wajanja na wamesoma. Waarabu walikuwa mabwege na hawajasoma. Unalo hilo babu mfumo kristo utakutawala hadi ukome...na sasa wanaume wanajiandaa kuipiga Irani
 
Umeamia tena kwa Mtume.

Nijibu basi na mimi swali langu la Oscar Kambona.
OK mwenyewe alinyamaza hadi anakufa kama wazee wake Mohamed. Nisingependa kumsemea. Anayo familia yake. Tuwaulize hao.
 
Huyu Padre wamekutana ukubwani tu. Mwalimu akijilea mwenyewe tayari. Ukatoliki wa Mwalimu ulikomaa alipomwoa Maria.

Ili ukatoliki wako ukomae unatakiwa uwe na umri gani?
 
Ili ukatoliki wako ukomae unatakiwa uwe na umri gani?
Mara baada ya kitu kinaitwa SACRAMENTI ya KIPAIMARA. Umewahi kusikia hilo? Ukioa au kuwa mtawa. padre unakomaa zaidi. Kote huko unapitia mafunzo ya kukukomaza.
 
OK mwenyewe alinyamaza hadi anakufa kama wazee wake Mohamed. Nisingependa kumsemea. Anayo familia yake. Tuwaulize hao.

Kumbe unachagua vitu vya kumsemea mbona maswala ya Waislam unamsemea labda tufahamishe kabla ajakufa alisema nini kuhusu Waislam au hayo maneno unayosema wewe ndiyo maneno yake ya mwisho kabla mauti.
 
Mara baada ya kitu kinaitwa SACRAMENTI ya KIPAIMARA. Umewahi kusikia hilo? Ukioa au kuwa mtawa. padre unakomaa zaidi. Kote huko unapitia mafunzo ya kukukomaza.

Nyerere kapita huko kote?
 
Kumbe unachagua vitu vya kumsemea mbona maswala ya Waislam unamsemea labda tufahamishe kabla ajakufa alisema nini kuhusu Waislam au hayo maneno unayosema wewe ndiyo maneno yake ya mwisho kabla mauti.
Sijawahi kumsemea OK, Ritz. Yupo mke na binti yake waongeaji wazuri tu watafute hao. Sitaki kuwa kama mzee wetu Mohamed na simulizi za wazee wake na DINI yao!
 
Nyerere kapita huko kote?
Kumbe! Ukatoliki ni hatua baada ya nyingine ukianza na kubatizwa. Asingeweza kufunga ndoa na Maria kabla ya kupata sacramenti ya Kipaimara. Ukatoliki uko "well organised". Ukisikia MfumoKristo anaolia nao Mzee Mohamed asili yake ni Ukatoliki. Wenyewe wanajivunia sana mfumo huu. Ni imara na unadumu sana kwa sababu umeboreshwa sana na ELIMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…