Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Remote kwa kuwarahisishia wanajamvi naweka hapa kipande kifupi wakionje:

Nyumba ya mwisho Kipata na New Street ilikuwa nyumba ya Bi. Mluguru bint Mussa mama yake Abdulwahid, Ally na Abbas Sykes.

Ilipokuwa nyumba hii leo ndipo lilipo jengo la Ushirika.

Nyumba hii wakati Tanganyika inaanza kuvitia nguvu vyama vya ushirika walitaka kujenga jumba la ushirika Dar es Salaam.

Inasemekana Nyerere alituma salaam maalum kwa Bi Mluguru kupitia kwa mwanae Abbas aiuzie serikali nyumba yake ilipate kiwanja cha kujenga jumba lile la ushirika na hicho ndicho kilichofanyika.

Bi Mluguru aliiuzia serikali nyumba yake.

Huyu Bi Mkubwa ni kati ya wanawake watu wazima wa mwanzo kumkaribisha Nyerere katika nyumba zao.

Kuna kisa mashuhuri kati ya Nyerere na Bi Mluguru.

Baada ya uhuru kupatikana mengi yakapita na waliokuwa karibu na Nyerere ghafla wakajikuta wako nje ya ulingo lakini maisha hayakusimama yaliendelea kama ilivyo ada.

Siku moja Nyerere akiwa ndani ya msafara wake wa mapikipiki akienda Gerezani kufungua mradi wa viwanda vidogo vidogo, msafawa wake uliingia Mtaa wa Sikukuu ukawa unaelekea mitaa ya Kiungani.

Nyerere akiwa ndani ya benzi lake alikuwa akitupa macho huku na huku akiangalia mitaa yake aliyokuwa akiikanyanga kwa miguu enzi za kudai uhuru.

Bila shaka msafara ulipopita Kipata na Sikukuu Nyerere aliiangalia nyumba ya Mzee Mtamila, msafara ulipoingia Sikukuu na na Kirk kuna shaka alinyoosha shingo yake kuangalia nyumba aliyoijua sana, nyumbani kwa Abdulwahid Sykes na mama yake Bi Mluguru.

Hapa jicho la Nyerere likagongana na sura ya Bi Mluguru aliyekuwa amejipanga mstari pamoja na wananchi wengine kuangalia msafara wa Nyerere.

Alipotambua kuwa yule mama aliyesimama alikuwa Bi Mluguru, Nyerere aliamua gari yake isimame na kwa ghafla dereva wake alisimamisha gari.

Nyerere alitoka nje ya gari akamwendea Bi Mluguru kumwamkia.

Mapikipiki yalisimama madereva wamepigwa na butwaa.

Wanaangalia nyuma wanamuona Nyerere anazungumza na mama mmoja mtu mzima.

Haraka walinzi wakawa wamemzunguka Nyerere na Bi Mluguru.

Kwa hakika kitendo kile kilikuwa cha kushangaza.

Nyerere alipoondoka na msafara wake nyuma aliacha gumzo kubwa.

Ilikuwa miaka michache baada ya kifo cha Abdulwahid.

Walioijua historia ya Nyerere na marehemu Abdulwahid Sykes kitendo kile cha kiungwana cha Nyerere hakikuwashangaza.

Tabu walipata wale waliokuwa hawaijui vyema historia ya Nyerere alipofika Dar es Salaam...
 
Yericko,

Kweli sina taarifa za Sheikh huyu.
Nitashukuru endapo utanipa taarifa zake zaidi.

Bakwata hawana chochote katika historia ya Uislam.
Kweli niamini.

Ama kuna kitabu cha Shekh Abdallah Saleh Farsy kina
taarifa ya masheikh wa Afrika ya Mashariki huyu Shehe
Issa bin Amir hayumo.

Msikiti Mkuu wa Zanzibar ni upi huo?
Kama hawana basi ni makosa yale yale yaliyotokea kwenye uandishi wa kivukoni ndiyo yaliyotokea kwake,

Ni wakati wetu sasa kuhuisha historia za watu wetu hawa,

Ninaamini wengi hawajui historia kwani leo katika hali yakustaajabisha rafiki yangu mmoja ambae nikasisi wa kikatoliki amesema hajui kuwa kunamtu aliyewahi kuhudumu ndani ya ukatoliki aitwae Askofu Arestude Maranta
 
Mimi nikimfahamu Edgar Maranta nikimuona takriban kila siku.
Ila nilishtuka pale wewe ulipoandika jina lake ''Maranda.''

Unakumbuka?
 
Mzee mohamed said
Nimefuatilia kwa ukaribu sana mjadala huu kuanzia mwanzo mpaka hapa ulipofikia sasa
Sikupenda kuwa mchangiaji wala kuwa shabiki wa upande wowote, Lengo likiwa ni kupima hoja kwa hoja pamoja na kuangalia
ukweli halisi wa historia ya wapigsnia uhuru pamoja naTaifa letu kwa ujumla.

Mzee said, kila mtu anayo haki ya kuwa na mawazo/maoni yake lakini hakuna mtu mwenye haki ya kuwa na ukweli wake peke yake.
Mara kwa mara ulipotakiwa kuthibitisha ulichoandika kwenye hicho kitabu chako, majibu yako yamekuwa ni haya,
-sijui,
-waulize wazanzibari,
-hilo waulize waislamu wenyewe n.k n.k.
N
 
ML

Najibu lile nilijualo.
Siwezi kujibu nisichokijua.

Bahati mbaya sana.
 
Na katika hali ya kushangaza kabisa, umediriki hata kutumia kitabu hichohicho kama uthibitisho wa ulichoandika katika kitabu hichohicho
Hivyo basi mzee saidi naweza kusema kuwa ulichoandika sio historia ila ni hisia zako binafsi juu ya ulivyotamani iwe,
Jambo baya zaidi ni kwamba umejaribu kutumia dini kutafuta uungwaji mkono wa hizo hisia zako binafsi,
Kwa sababu ulichoandika kinapotosha uma na kujenga uhasama wa kidini, ​HUO NI UCHOCHEZI.
 
Anafahamika vema, taarifa zake zipo, makao makuu ya kanisa katoliki Tanzania wanamjua na wanamheshimu sana na kumuenzi, laiti angalikuwa mkatoliki angeshakuwa mtakatifu kama wengine waliojitolea kwa jamii zao.

Ninaamini Bakwata nao wanazo taarifa zake, hasa msikiti mkuu wa Zanzibar,

Ninashangaa kwa mtafiti wewe wa masuala ya dini na siasa leo unasema humjui mtu huyu aliyehudumu kuanzia miaka ya 1914-1953

Msikiti wake ulikuwa wapi Dar es Salaam?
 
Na katika hali ya kushangaza kabisa, umediriki hata kutumia kitabu hichohicho kama uthibitisho wa ulichoandika katika kitabu hichohicho
Hivyo basi mzee saidi naweza kusema kuwa ulichoandika sio historia ila ni hisia zako binafsi juu ya ulivyotamani iwe,
Jambo baya zaidi ni kwamba umejaribu kutumia dini kutafuta uungwaji mkono wa hizo hisia zako binafsi,
Kwa sababu ulichoandika kinapotosha uma na kujenga uhasama wa kidini, ​HUO NI UCHOCHEZI.

ML,

Sina tatizo na fikra zako.
Lazima tukhitilafiane katika mawazo.
 
Dada yangu Bi Zubeda.
Umeniuliza maswali mengi na yote Alhamdulilah nayajua.

Ili tusichanganye mambo hebu Insha Allah tuanze na Sheikh Kassim
na nitakupa kwa uchache ( excerpts) kutoka kwenye mada niliyowasilisha
Chuo Kikuu Cha Kenyatta, Nairobu 2006 ''Al Maruhum Sheikh
Kassim bin Juma (1940 - 1994).''

At this juncture Sheikh Kassims khutbas were melancholy and sad at times mentioning the names of Muslim patriots who had supported Nyerere during the struggle for independence but their roles have not been requited.

He also mentioned Muslims who have betrayed fellow Muslims selling themselves to the government. In one of his memorable and most popular Jumaa khutba which his supporters have labelled as Leo Nitataja Majina (Today I Will Mention Names) Sheikh Kassim bin Juma talked about the patriotism of the late Abdulwahid Sykes and his support to Nyerere and TANU.

He told his audience how upon the death of Abdulwahid he was asked by the family to prepare his body for burial which he did together with Maalim Matar.

Maalim Matar was a victim of the Detention Act detained.

Maalim Matar was in no way involved in politics.

He was known in Dar es Salaam and Zanzibar for his piety and love of the Prophet SAW and for teaching Qur’an. In any Maulid he attended Maalim Matar would be given the honour recite the fatha signalling the beginning of Maulid.

Maalim Matar was a sufi and a very likeable character. He always carried a tasbih for dhikr.

He never indulged himself in politics but was nevertheless detained by Nyerere seemingly for no apparent reason.

The mention of Maalim Matar was therefore not without meaning.

Sheikh Kassim was in the game for too long not to have known that his khutbas were being monitored and Nyerere was listening in. Sheikh Kassim wanted purposely to embarrass Nyerere.

Nyerere after being in full control of the country he severed his tie with Abdulwahid Sykes and other patriots who founded TANU.

Nyerere did not want to recognise nor honour the contribution of Sykes in the founding of TANU although the party can be traced from his father who was the founding secretary of the African Association the predecessor of TANU.

Sheikh Kassim was in other words defying Nyerere. Sheikh Kassim knew Nyerere’s psychology. The mention of Abdulwahid associating his name with Nyerere’s rise to power was like a sword piercing through Nyerere’s heart.

Nyerere never mentioned the patriots who were in politics before him because he wanted the people to adore him and him alone as the founding father.

It was clear that Sheikh Kassim was exposing him to Muslims as a swindler and an ungrateful guest who after enjoying the hospitality of his host spit on his face.

In the last days of his life Sheikh Kassim was a person tormented and in deep anguish. His mind was reflecting of where he had come from and needed to undo certain memories.

Sheikh Kassim knew he had dented the government and Nyerere's reputation and confidence before the eyes of Muslims. Sheikh Kassim bin Juma had built a very strong case against Nyerere, Church and government.

After his arrests Sheikh Kassim was detained at a military camp in Monduli, a few miles from Arusha town and was later flown back to Dar es Salaam under heavy escort.

Sheikh Kassim was to reveal to his close confidants that his captors were under instructions to torture him.

At the military camp in Monduli he was to witness many horrifying scenes.

While in remand he was put under solitary confinement and denied medical attention.

When he was brought back to Dar es Salaam from Monduli Sheikh Kassim was received by the Field Force Unit like a dangerous criminal and escorted to his house in Upanga where his house was searched.

While the police were conducting the search and going through his library they took that opportunity to ridicule him by uttering degrading words.

The police found nothing but took away his Jumaa Khutbas which they claimed were subversive.[1] Sheikh Kassim was brought before the court and charged for 'inciting religious animosity between Muslims and Christians.”[2]

[1] Bahari, 11 Februari, 1993.

[2] Criminal Case No. 994 of 1993 Republic v/s 1. Sheikh Kassim bin Jumaa bin Khamis 2. Khalifa Khamisi 3. Alhaj Abubakar Mwaipopo.

Kaka Mohamed Saidi nashukuru sana kwa majibu yako mazuri na ya kusisimua kuhusu Al Marhum Sheikh Kassim Bin Jumaa Imamu wa Msikiti Wa Mtoro!
Kama ulivyoahidi naomba utujuze na hayo mengine nanukuu tena:

Jee, Almarhum Shekh Mohamed Ali Burhi aliyekuwa katibu Mkuu wa Bakwata nini kilisababisha ajiuzulu Ukatibu Mkuu? na Jee, Al marhum Tewa Saidi Tewa alifariki lini? maana mara ya mwisho kumuona Mpigania uhuru huyu ilikuwa mwaka 1991 ktk ukumbi wa Nkrumah Chuo kikuu dar ktk harakati za kuleta mabadiliko Bakwata!

Jee, Mohamed, ktk vitabu vyako umewakumbuka wapigania uhuru wetu wa huku Moshi kama akina Mzee Yusuf Olotu, Osman Farah, Mariam baiskeli, Mama Halima Selengia (bado yu hai), Liwali Musa Mwinyijanga na wengine? hawa Wazee ni watu muhimu sana hasa kwa huku Moshi walishiriki kikamilifu ktk kuchangishana fedha Misikitini na fedha hizo kupewa Tanu ili ijiimarishe! lakini wote wamesahaulika na hakuna mtu anaewakumbuka hata kwa dua!

Natanguliza Shukrani kwa muda unaotumia kutushibisha na historia sahihi Alla akujaze kila la kheri!
 
Msikiti wake ulikuwa wapi Dar es Salaam?

Inatajwa na kuaminika kuwa alihudumu katika msikiti uliokuwa nyuma ya kiwanda cha bia hii leo TBL (mchikichini)

Maeneo hayo yalikuwa vilevile ni maalumu kwa makutano yake na kaasisi Maranta katika juhudi zao za ukombozi.
 
Na katika hali ya kushangaza kabisa, umediriki hata kutumia kitabu hichohicho kama uthibitisho wa ulichoandika katika kitabu hichohicho
Hivyo basi mzee saidi naweza kusema kuwa ulichoandika sio historia ila ni hisia zako binafsi juu ya ulivyotamani iwe,
Jambo baya zaidi ni kwamba umejaribu kutumia dini kutafuta uungwaji mkono wa hizo hisia zako binafsi,
Kwa sababu ulichoandika kinapotosha uma na kujenga uhasama wa kidini, HUO NI UCHOCHEZI.

Mjuni Lwambo

Tumesoma fikra zako ingekuwa vizuri kama ungetufahamisha Mohamed Said alipopotosha umma.

Na uchochezi wake ni upi.
 
Last edited by a moderator:
Mjuni Lwambo

Tumesoma fikra zako ingekuwa vizuri kama ungetufahamisha Mohamed Said alipopotosha umma.

Na uchochezi wake ni upi.
Amepotosha umma kwa sababu ameshindwa kuthibitisha kama alichoandika ndio ukweli, hivyo ni uwongo
Amefanya uchochezi kwa kuibua hisia kuwa wapigania uhuru ambao ni waislamu hawakumbukwi ipasavyo ktk historia, hivyo hawathaminiwi,
Madhara ya huo uchochezi ni kujenga chuki ktk jamii kwa mtazamo wa kidini.
 
Ndio ukweli sahihi wa mambo ambao Mohamed Said anakesha jf kuufuta lakini haufutiki
 
Wanaona tofauti.
 
Mjuni Lwambo,

Kabla ya kumsoma Mohamed Saidi ulikuwa ukimfahamu Abdulwahid Sykes, Abaas Sykes, Ally Skykes, ulikuwa unamjua Mweka Hazina wa TANU Idd Faiz.

Ulikuwa unajua wazo la kuanzisha TANU lilipatikana Burma wakati vita ulikuwa unajua Jengo la TANU lilijengwa na familia ya Sykes.

Ulikuwa unajua Nyerere alikuwa anaishi nyumbani kwa Abdulwahid, ulikuwa unajua Mama Maria Nyerere alipewa duka akawa anauza mafuta ya taa mtaa wa mchikichi.

Ulikuwa unamjua Tewa S Tewa, ulikuwa unamjua Mshume Kiate, ulikuwa unamjua Selemani Takadir, ulikuwa unamjua Mshando Plantan, ulikuwa unamjua Yusuf Olotu.

Hawa wote walikuwa wamepotezwa alichofanya Mohamed Said kawarudisha kwenye historia.
 
Last edited by a moderator:
Ndio ukweli sahihi wa mambo ambao Mohamed Said anakesha jf kuufuta lakini haufutiki

Mohamed Said alivyoaga wote mkavamia jukwaa na kuanza kumshambulia kuwa kakimbia maneno kuwa JF kiboko.

Amerudi kwa kasi mpya unaanza kulalamika anakesha JF.

Kaamua kula JF kulala JF kushinda JF kutoa Ilm mapumziko yake ni kwenda masjid na kula.
 
Kaka Mohamed Saidi nashukuru sana kwa majibu yako mazuri na ya kusisimua kuhusu Al Marhum Sheikh Kassim Bin Jumaa Imamu wa Msikiti Wa Mtoro!
Kama ulivyoahidi naomba utujuze na hayo mengine nanukuu tena:

Jee, Almarhum Shekh Mohamed Ali Burhi aliyekuwa katibu Mkuu wa Bakwata nini kilisababisha ajiuzulu Ukatibu Mkuu? na Jee, Al marhum Tewa Saidi Tewa alifariki lini? maana mara ya mwisho kumuona Mpigania uhuru huyu ilikuwa mwaka 1991 ktk ukumbi wa Nkrumah Chuo kikuu dar ktk harakati za kuleta mabadiliko Bakwata!

Jee, Mohamed, ktk vitabu vyako umewakumbuka wapigania uhuru wetu wa huku Moshi kama akina Mzee Yusuf Olotu, Osman Farah, Mariam baiskeli, Mama Halima Selengia (bado yu hai), Liwali Musa Mwinyijanga na wengine? hawa Wazee ni watu muhimu sana hasa kwa huku Moshi walishiriki kikamilifu ktk kuchangishana fedha Misikitini na fedha hizo kupewa Tanu ili ijiimarishe! lakini wote wamesahaulika na hakuna mtu anaewakumbuka hata kwa dua!

Natanguliza Shukrani kwa muda unaotumia kutushibisha na historia sahihi Alla akujaze kila la kheri!

Bi. Zubeda,

Nakuwekea hapa chini vipande muhimu kuhusu kujiuzulu kwa Sheikh
Mohamed Ali Buhri:

Warsha began to implement education programmes initiated by the
EAMWS butwere left to die after its demise.

Warsha turned four schools built by the EAMWS which were under
BAKWATA into Muslim seminaries that from there on the schools
would only accept Muslims.

Within a short period of time, discipline was restoredinto the schools
and it was compulsory for students to observe prayers and for girls to
dress in hijab.

Mussa Mdidi and Burhani Mtengwa were fully involved in this project.

Warsha conducted a social research project which no Muslim organisation
had attempted before.

It commissioned its educationists to write a research
paper to show why Muslim students were lagging behind in education.

When these s findings were made public and distributed to throughout the
country it came as a shock to Muslims and the government.

For the first time it was revealed that there was a system in the Ministry of
Education supported by Christian functionaries which was discriminatory to
Muslim youths, purposely barring them from institutions of higher learning and
the president of the country Julius Nyerere and the Catholic Church was not
unconnected in this plot.

Such accusations and disclosure, particularly coming from Muslims, threatened
national unity.

The government did not want to find out whether those findings on education
were correct or not.

Its interest was to know the brains behind Warsha isolate them from Muslims
and then persecute them. The government was unprepared for such revelations
and was worried by the direction which BAKWATA was taking.

BAKWATA was now serving the cause of Islam.

This was not what Nyerere had bargained for when he subverted the EAMWS
and helped to found BAKWATA.

Sheikh Mohamed Ali as secretary of BAKWATA was taken to task for allowing
the organisations to be hijacked by were perceived to be hot headed youths.

Warsha were accused of being anti-government, anti Christian and perpetrating
animosity between Muslims and Christians through their writings.

President Nyerere ordered Aboud Jumbe the Vice President to close down the
Muslim seminaries.

A meeting between Aboud Jumbe and BAKWATA was held at Jumbe's official
residence at Laibon Road.

In attendance were Rashid Mfaume Kawawa, Adam Nasibu, Sheikh Mohamed
Ali and Sheikh Abbas Makbul a representative of Darul Iftar.

The stand of Sheikh Mohamed Ali was that if those Muslim seminaries have to
be closed then the decision to take that step should be laid upon the government.

This was a difficult step to be taken by the government as such an act would
provoke Muslims.

The meeting left the decision to close the seminaries upon BAKWATA. [1]

BAKWATA took a unilateral decision and reverted the schools back to its original state.

Warsha not agreeing to BAKWATA's decision called a meeting of all Muslims to discuss
the problem.

What Warsha was strategising was to draw Nyerere and his government into direct
conflict with Muslims.

The government saw through Warsha's plot and the Christian lobbyused its powers and
a crisis was fomented.

The government issued a directive to reinstate the schools takenover by Warsha to their
former secular status, that is, any Tanzania irrespective of faith should have access to
them.

The Christian lobby through the state- radio issued a warning that the meeting called by
Warsha was illegal and any Muslim attending that meeting would be arrested.

For effectiveness this announcement was read by the Director of Radio Tanzania, [2]
David Wakati.

The government accused Warsha of trying to divide the country along religious lines.

The government saw the two Muslim seminaries which were established less than a year
as divisive but turned a blind eye to 19 Christian seminaries which were in existence for
almost a hundred years.

Adam Nasibu meanwhile in connive with of the government travelled to Moshi and the
reason he told the BAKWATA headquarters was that he was going to Kilimanjaro Christian
Medical Centre (KCMC) for treatment.

But that was not the reason.

Once in Moshi with thehelp of Sheikh Senare the BAKWATA chairman in Kilimanjaro and
Sheikh Jambeni from Tanga and other few handpicked BAKWATA members he called a
secret meeting the agenda which was how to oust Sheikh Mohamed Ali from leadership.

It was decided by conspirators that a special meeting should be called in Dar es Salaam
immediately to discuss what had transpired in BAKWATA since the banning of Muslim
seminaries.

The government put at its disposal its manpower and resources to make the meeting a success.
Members of the BAKWATA Central Committee were sent invitations through police message.

This type of communication is usually used by the government for urgent messages because of
its efficiency.

The meeting was called and Sheikh Mohamed Ali was accused of flouting the BAKWATA constitution,
conducting elections under an invalid constitution and in collaboration with Warsha, for "mixing religion
with politics."

Sheikh Mohamed Ali was therefore expelled from BAKWATA and Warsha "banned."

[1] See article by Burhani Mtengwa, ‘Mikutano ya BAKWATA ni Njama za Kuhujumu Uislam" in Mizani 18-31
Januari, 1991.

[2] In the EAMWS crisis of 1968 the state owned radio was used very effectively as a propaganda tool
against Muslims
 
Mohamed:..................Nyerere did not want to recognise nor honour the contribution of Sykes in the founding of TANU although the party can be traced from his father who was the founding secretary of the African Association the predecessor of TANU.

Sheikh Kassim was in other words defying Nyerere. Sheikh Kassim knew Nyerere's psychology. The mention of Abdulwahid associating his name with Nyerere's rise to power was like a sword piercing through Nyerere's heart.

Nyerere never mentioned the patriots who were in politics before him because he wanted the people to adore him and him alone as the founding father
Mohamed, haya ni maoni yako wala haina taabu.
Lakini basi usiyafanye kama ukweli kwasababu huna proof ya hayo niliyokazia.
Hapa ndipo huwa nasema Mohamed kwani historia haikamiliki hadi uwekee watu maneno midomoni mwao!

Ukisoma hoja yake ya Warsha utaona tatizo la ku-generalize mambo lipo pale pale.
Anasema utafiti wa warsha ulionyesha connection kati ya church, Nyerere kuwamaliza vijana wa kiislam kielimu.
Hakuna detail za jinsi hilo lilivyofanyika.

Hapo ndipo anapokwepa swali la je, makakati wa Nyerere na kanisa kuuhujumu Uislam ulianza lini na kwa mbinu gani?

Na kwa vile Nyerere ''never mentioned patriots'' je bado unasimama na hoja yako kuwa Nyerere alipowaaaga wazee wa Dar es Salaam alisema hamjui Sykes! Hata kama hakumtaja kama patriots na alimtaja kwa ubaya hiyo haitoshi kuwa mentioned.

Je, umesoma vitabu alivyoandika Mwalimu Nyerere na kujirisha hakuwataja patriots. Hivi kuwataja ilibidi atamke majina yao wote au angeweza kutumia neno moja kuwaenzi wote. Neno wazee halitoshi. Je, angemtaja Sykes vipi watoto wa Ngozi na Kirlo nao wangesemaje kuhusu Nyerere.

Je, Maryknoll hawapaswi kuangikia katika kundi la Patriots

Hebu fafanua Patriots wanakuwaje tofauti na watu wengine.

Mohamed, utafiti wa Warsha haukutueleza mtazamo wa shule za awali, msingi na sekondari kwamba, kote huko mambo yalikuwa mazuri isipokuwa kuingia elimu ya juu.

Napo pia napata hoja ya kuuliza, Mohamed hivi unaweza kupata mwanafunzi wa chuo kikuu asiyefanya mtihani wa sekondari?
Siyo kusahihishiwa bali asiyefanya mtihani?

Mohamed, kuna utafiti mwingine uliowahi kufanywa kuhusu ellimu ya msingi na sekondari na nini matokeo ya utafiti.

Na tuwakumbushe wasomaji kuwa Mohamed anafanya self reference! halafu anasema ndio ukweli! real
 
Back
Top Bottom